Mfanyakazi wa mapokezi anatakiwa katika shule ya udereva Mabibo

Manala An Academician

Senior Member
Oct 10, 2016
118
54
Sifa
1. Uwezo mzuri sana wa kujieleza na ushawishi wa hali ya juu
2. Aliyetayari kufanya kazi yenye matokeo bila usimamizi
3. Mnadhifu sana na mwenye lugha laini wakati wote
4. Elimu kidato cha nne na awe mdada anayeishi Dar es Salaam
5. Mshahara si tatizo itategemea na uwezo wa kazi
6. Mwenye sifa hapo juu za za ziada tuma cv kwa- whatsapp namba 0765374146

NB: Mwisho ni tarehe 23/02/2021 saa 10:00 alasiri
 
Mbona nakumbuka hili tangazo lilishawahi kutangaza hapa jf... Au Mim ndio napoteza kumbukumbu.... Na kama Niko sahihi inakuaje tena mnarud ten...au mnawatafuna hao wadada
 
"Mshahara sio tatizo inategemea na juhudi za kazi "tuambie ukweli mkuu ni mapokezi au freelancer?
 
Back
Top Bottom