Shule ya Sekondari Nsongwi Juu (Mbeya Vijijini) imekuwa shule yenye utawala mbovu imefikia hatua mpaka Walimu wanashindwa kufanya kazi kwa sababu ya utawala huo. Kesi zimekuwa nyingi zimefika mpaka kwa Afisa Elimu Kata na Afisa Elimu Wilaya lakini hazitatuliwi, sasa hatujui shida ni nini...
Anonymous
Thread
changamoto
mbeya
mbovu
sekondari
shuleshule ya sekondari
utawala
utawala mbovu
vijijini
Muswada wa Sheria ya Elimu ya Msingi, 2026 unapendekeza masharti mapya na makali kwa watu au taasisi zinazotaka kuanzisha na kuendesha shule za msingi na sekondari nchini Kenya.
Kwa mujibu wa muswada huo, mwombaji atalazimika kuwasilisha ombi kwa County Education Board, ambayo itatathmini iwapo...
Muswada wa Sheria ya Elimu ya Msingi, 2026 unapendekeza masharti mapya na makali kwa watu au taasisi zinazotaka kuanzisha na kuendesha shule za msingi na sekondari nchini Kenya.
Kwa mujibu wa mswada huo, mwombaji atalazimika kuwasilisha ombi kwa County Education Board, ambayo itatathmini iwapo...
Nimeshangaa sana kuna shule za mjini mpaka miaka hii wanafunzi bado wanapeleka kuni za kupikia na wanafanyishwa kazi za kufagia mavumbi asubuhi shuleni.
Shule ya msingi niliyosoma ilikuwa na ujinga wa kututuma mbolea na maua bila kujali kama 99% ya wanafunzi hawakuwa wafugaji wala wenye bustani...
Mimi ni mzazi mwenye mtoto anayesoma katika Shule ya Msingi Bonyokwa iliyopo Wilaya ya Ilala, Kata ya Segerea, Dar es Salaam. Ninaomba kuwasilisha kilio changu kuhusu hali ya mazingira ya kujifunzia ambayo watoto wetu wanapitia shuleni hapo.
Changamoto kubwa ni wanafunzi wa Darasa la Tatu ambao...
Anonymous
Thread
bonyokwa
madawati
masomo
msingi
shuleshule ya msingi
wakati
watoto
watoto wetu
Habari wakuu nyumba ( pagale). Linauzwa ….
ipo mbezi marambamawili karibu na shule ya msingi kingazi jirani na tank la dawasco …
Ukubwa wa eneo ni sqm400……
Mauziano serikari za mitaa…
Bei sh 21m(bei inapungua)..
(Lina vyumba 6 (sio vikubwa)
0692669235
N:B.. amna udalali (karibuni)
Mwalimu wa Shule ya Sekondari Galula wilayani Songwe, Nisetas Dimoso amefariki dunia baada ya kushambuliwa na watu wanaodaiwa kuwa wafugaji, kufuatia jitihada zake za kuzuia mifugo kupita ndani ya eneo la shule.
Mwalimu Dimoso alifariki dunia Julai 28, 2026 katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya...
Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa, Julai 23, 2026 akiwa ziarani amewataka viongozi wa halmashauri na vijiji mkoani Kilimanjaro kujiongeza na kutafuta suluhu za haraka za kisekta badala ya kusubiri bajeti kuu ya serikali ili kutatua changamoto ya ukosefu wa madawati na miundombinu mashuleni...
SHULE INAUZWA
IPO DSM, KITUNDA
UKUBWA WA ENEO NI EKA 12
FULL DOCUMENTS
BEI NI TSH 9b/-
🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717
#houseforsale #plotforsale #luxuryapartments #property #creatorsearchinsights
Hoja ya awali ya Mdau ~ Shule ya Sekondari Kipande, Wilayani Nkasi - Rukwa haina madawati, Wanafunzi wanakaa chini
Mtakumbuka tarehe 15/07/2026 mtandao wa Kijamii wa JamiiForums ulitoa taarifa kuwa wanafunzi wa Shule ya Sekondari Kipande iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi mkoani Rukwa...
Habarini,
Yaani waumini wa kiafrika waliowengi ni maskini lakini wanajitoa kwa sadaka ili kujenga hospital8 na zhule za makanisa na miskiti ila wanalipia juduma zote kwa 100%.
Kwanini watu wa Mungu hao wasio na uwezo wasitibiwe bure wakati makanisa na miskiti hailipi kodi?
Wajinga ndiyo waliwao!!
Nguzo za madaraja ya baharini hujengwa kwa teknolojia maalumu ili ziweze kustahimili maji, mawimbi, mikondo ya bahari, na uzito wa daraja.
Kwa ujumla, hatua zake ni hizi:
Uchunguzi wa eneo
Wahandisi hupima kina cha bahari.
Huchunguza aina ya udongo au mwamba ulioko chini ya maji.
Hupima nguvu...
Leo nlikuwa napitia baadhi ya mitihani yangu ya shule ya Chekechea nimekumbuka sana wadau au classmates zangu wa Chekechea katika kindergarten ya Step Up Nursery School, tulikuwa tunavaa shati za pink na kaptura au sketi za light bluu, dah kitambo sana.
Binafsi nlimaliza 1997, nlisoma Nursery...
Hii ni historia nyingine muhimu sana kwa Rais Samia kwa kuweza kufanyia kazi wazo la kimaendeleo katika huduma za jamii.
Ukiondoa alama nyingine muhimu sana ya ujenzi wa majengo ya huduma za dharura yaani Emergency Medicine Departments katika vituo zaidi ya 100 vya huduma za afya leo hii...
NYUMBA INAUZWA – KIBAMBA SHULE (HONDOGO), DAR ES SALAAM
💰 Bei: TZS Milioni 27 tu
Sifa za nyumba:
✅ Kiwanja ukubwa wa mita 23×25
✅ Umbali wa km 3 kutoka barabara ya lami
✅ Vyumba 2 vya kulala:
Master Bedroom 1
Single Bedroom 1
✅ Sebule
✅ Jiko
✅ Public Toilet
✅ Plasta ya ndani...
Mimi ni mdau wa elimu na ninaomba utambulisho wangu ubaki kuwa siri kwa sababu za usalama.
Naomba mamlaka husika zifanye uchunguzi wa kina kuhusu mwenendo wa Mkuu wa shule huyu kutokana na tuhuma zifuatazo:
Matumizi mabaya ya fedha za umma: Inadaiwa hutumia fedha za shule bila idhini ya vikao...
Haya mambo ya kupeleka watu kukaa darasani miaka kwa miaka kujifunza nadharia mbalimbali miaka kumi ijayo bado yatakuwa na maana?
Naona maendeleo ya teknolojia yataondoa vikwazo vingi kwa watu kujifunza nadharia kadhaa bila ya kuhitaji kukaa darasani.
Marekani baadhi ya shule na vyuo...
Shule hii imetangaza zaidi ya nafasi 28 za walimu. Shule inapatikana Dodoma na yeyote anaweza akaomba. Maelekezo Zaidi juu ya namna ya kuomba na Taratibu zao Soma Hapa.
Kitu cha tofuati kuhusu shule hii ni kwamba, inakwenda na wakati, mfumo wake wa maombi ya kazi ni kama ule wa ajira portal...
📚 VITABU, VITINI NA MITIHANI YA SHULE ZA MSINGI VINAPATIKANA 📚
Je, wewe ni mzazi, mlezi, mwalimu au unamiliki shule ya msingi?
Tunatoa vitabu na vifaa mbalimbali vya kujifunzia kwa Shule za Msingi za Swahili Medium na English Medium, kwa madarasa yote kuanzia Awali hadi Darasa la VII...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.