Habari,
Mimi ni mzazi nawakilisha wazazi wenzangu ambao wamechoshwa na kero hii. Mimi ni Mkazi wa Kibaha Manispaa, mkoa wa Pwani. Tumechoshwa na kero ya michango mashuleni hasa shule ya Msingi Mkuza iliyopo kata ya Picha ya Ndege kituo cha daladala maarufu kwa Mbonde
Wamekuwa na utaratibu wa...
Anonymous
Thread
chakula
kero
kibaha
michango
mkuza
msingi
shuleshule ya msingi
Mwalimu Mkuu Msaidizi wa Shule ya Msingi Tulieni iliyopo Manispaa ya Mpanda, Mkoa wa Katavi amesema shule hiyo inakabiliwa na changamoto mbalimbali ikiwemo upungufu wa madawati ambapo mpaka sasa shule hiyo ina madawati 169 ikilinganishwa na idadi ya wanafunzi 2,500 ambao wengi wao hawana sehemu...
✨Shule nzuri sana inauzwa
✨SQMT 5800 (heka1 na nusu)
✨Bei billion 1.5 maongezi yapo
✨Ina madarasa 14
✨Wanafunz 110
✨️Unauziwa na wanafunzi waliopo
✨️Location : bahari beach
✨️ Eneo lake linafaa kwa uwekezaji wowote
Hati miliki imenyooka sana Kutoka Wizara ya Ardhi
Anahitajika serious buyer tu...
Katika safari ya maisha, kuna vitu tunaita "Gatekeepers" au walinzi wa malango. Hawa ni pamoja na Cheti cha Kuzaliwa, NIDA, na Vyeti vya Elimu. Wengi wetu tukikosa hicho cha mwisho (Cheti cha Elimu), tunaanza kukata tamaa na kujiona hatuna thamani ("Self-esteem" inashuka). Lakini ukweli ni upi...
Katika mazingira ya elimu, mahafali si sherehe ya kawaida bali ni jukwaa la maono, msukumo na mwelekeo wa maisha ya wahitimu. Ndiyo maana uchaguzi wa mgeni rasmi hubeba uzito mkubwa kuliko inavyodhaniwa, kuna wakati viongozi waandamizi haswa mkuu wa shule pamoja na wasaidizi wake huzungusha...
Mashirika hasa ya dini kama KKKT na RC pamoja na wawekezaji binafsi watusikie Wazazi wa Dodoma.
Dodoma kuna uhitaji mkubwa sana wa Shule bora za Sekondari za kutwa, kwa sababu Mwakani 2027 Watoto watamaliza shule ya msingi wakiwa wadogo wengi katika wastani wa miaka 10 mpaka 11.
Hivyo, wazazi...
Anonymous (e1e0)
Thread
dodoma
mashirika
mkubwa
shule
taasisi
uhitaji
uhitaji mkubwa
Nimeona leo waziri mkuu akitoa maelekezo mepesi kwenye jambo zito hilo jambo ni zito tena zito kweli mnasema kweli elimu bila malipo na serikali kila mwezi inapeleka pesa mashuleni pesa ambazo matumizi yake na mambo mengine yanaitaji uwazi sasa niwape changamoto tu hizo shule za serikali si zipo...
Wakazi wa Matosa - Goba DSM, hususan eneo la Shule ya Msingi More Light, tumekumbwa na changamoto kubwa ya ukosefu wa maji kwa takribani mwezi mmoja sasa.
Kila tunapouliza, tunaelezwa kuwa bomba linaloleta maji kutoka Uzalamoni limeharibika, hata hivyo, inashangaza kuona kuwa bomba hilohilo...
Anonymous
Thread
dar
eneo
eneo la shule
goba
maji
mmoja
msingi
mwezi
mwezi mmoja
shuleshule ya msingi
Umri ni miaka 14, Mtoto ana uwezo mzuri darasani wala sina shaka juu ya uwezo wake.
ana uwezo wa ziada wa kulisakata gozi (mpira)
Shule ya msingi alisoma mchanganyiko ya kutwa.
Katika likizo hii ya wanafunzi wa sekondari, nilipata wazo la kumpeleka mtoto kufanya interview katika shule ya...
Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa Mkoa wa Dodoma njia haipitiki, ni hatari jamani warekebishe barabara basi, hata wanafunzi hapo hawawezi kwenda shule.
Hali ya ubovu imeongezeka tangu mvua zilipoanza kunyesha takribani mwezi mmoja sasa, Wanafunzi wamekuwa waathirika wakubwa wanashindwa kwenda...
Anonymous (8b17)
Thread
barabara
dodoma
mkoani
ratiba
shule
ubovu
ubovu wa barabara
wanafunzi
Walimu wa sekondari wailes wanaongoza kwa kubuni michango shule ni tatizo ni nini? Mtoto asipoenda kusoma jumamosi anadaiwa tofali 5 mpaka 10 za sementi na hela aliyotakiwa kulipa jumamosi anailipa pia ingawa hakusoma, walimu wakujitolea wazazi ndio wanakiwa kuwalipa kwa mwezi 2000,
Kuna kusoma...
Eneo hili la shule linauzwa
Ukubwa wa eka moja na robo
Lipo Goba kwa Ndambi Eneo ambalo mteja anaweza kujenga hata apartments kwa Goba zinalipa sana.
Hapo ni Goba jirani sana na Mbezi Beach Masana
Bei ya kutupa Tsh 650m/- mazungumzo yapo
*Lina hati halali
Anauza kwa hasara sana ili...
Mimi ni mwalimu wa Shule ya Sekondari katika Halmashauri ya Arusha DC.
Hivi karibuni wanafunzi wa kidato cha nne walifanya mitihani ya pre-mock, ambapo kila mwanafunzi alitozwa shilingi 12,000 kwa madai ya kugharamia usahihishaji wa mitihani hiyo.
Cha kushangaza na kusikitisha ni kwamba...
Anonymous
Thread
arusha
halmashauri
karibuni
katika
kidato
kidato cha nne
mimi
mitihani
mwalimu
sekondari
shuleshule ya sekondari
wanafunzi
Kuna mwalimu mmoja anaitwa Nandi, anafundisha Shule ya Msingi Katusa iliyopo Manispaa ya Sumbawanga Mkoa wa Rukwa anafundisha darasa la tano.
Yeye anafundisha tuition kwa shilingi 300 na mtihani 200 lakini shida yake wanafunzi wasipoenda kwa wingi anaotaka anaenda kufundisha mkondo A ambao...
Anonymous
Thread
msingi
mwalimu
shuleshule ya msingi
sumbawanga
tuition
wanafunzi
Nafahamu uwepo wa mapumziko mafupi kwa wanafunzi wenu, hivyo basi nimeona nikiwapa namna bora ya kufikisha taarifa kwa wazazi na walezi kwa haraka na ufanisi mno.
Suluhisho ni mfumo wa BULK SMS ambao utakurahisishia kutuma ukumbusho wa ada kwa wazazi wote hata wakiwa elfu 50 kwa dakika Moja...
TAARIFA KWA UMMA
Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashuari ya Wilaya ya Lushoto imeona taarifa iliyotolewa katika Mtandao wa kijamii wa JamiiForums ikieleza kwamba katika Shule ya Msingi Kishangazi, iliyopo Kijiji cha Kishangazi, Kata ya Shagayu ni Mwalimu Mmoja tu ndiyo anafika shuleni...
Mkoani Arusha, Shule ya Secondary KIUTU haina maabara mpaka sasa Machi 2026, form four wanatarajia kuhitimu na shule haina maabara.
Haina Walimu wa kutosha, wapo Walimu 10 wa 11 ni Mkuu wa Shule! Hii imekuwa changamoto kubwa sana na ukiangalia form 3 wapo wanafunzi 315, hapo bado form four...
Kwa mujibu wa Tamko la Rais Na. 10998, kuanzia tarehe 1 Januari 2026, Marekani imesitisha utoaji wa Viza za kutembelea zisizo za uhamiaji zilizo katika Makundi B-1/B-2, Viza za wanafunzi na programu za mabadilishano zilizo katika Makundi F, M, na J, pamoja na Viza zote za uhamiaji, kwa raia wa...
Walimu wamekuwa na tabia ya kuwapeleka wanafunzi muda wa vipindi kufanya kazi za shamba, ikiwamo kulima, kupalilia, kuvuna na kupukuchua mahindi pamoja na kuwachotea na kuwapelekea maji walimu majumbani kwao wale wanaoishi kwenye nyumba za kota za shule.
Nyakati nyingine wanafunzi wanarudishwa...
Anonymous
Thread
habari
katika
kero
kigoma
kijiji
mkoani
msingi
shuleshule ya msingi
wilaya
Wazazi wa kisasa kwenye kusomesha watoto shule wanafanana na wauza maduka wa sinza.
Duka la sinza fremu kodi milioni, decorations za duka zinatumika milioni 10.
Halafu mtaji wa bidhaa za kuuzwa dukani thamani yake laki 7 tu.
Hivyo hivyo kwa wazazi. Mtoto primary analipiwa ada kwa mwaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.