A
Anonymous
Guest
Naomba SERIKALI ifuatilie maagizo kuhusu MSHAHARA KIMA CHA CHINI Kwa TAASISI binafsi hasa Kwa shule mbali mbali MFANO shule ya mchungaji mwema sec iliyoko NGARA KAGERA inalipa Watumishi TSH. 150000 badala ya 350000
Soma Pia Wafanyakazi kwenye Kampuni Binafsi tunapata shida sana kulipwa stahiki zetu
Soma Pia Wafanyakazi kwenye Kampuni Binafsi tunapata shida sana kulipwa stahiki zetu