shule

  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Shule ya Msingi Kishangazi (Tanga) ina Mwalimu mmoja, wengine wanashinda tu mtaani

    Mimi ni Mkazi wa Kijiji cha Kishangazi, Kata ya Shaghayu, Wilaya ya Lushoto Mkoani Tanga. Shule yetu ya Msingi Kishangazi, hapa kijijini ina Mwalimu mmoja tu kuanzia chekechea hadi darasa la saba, hivyo tunaomba serikali iliangalie hili. Walimu wameajiriwa lakini hawataki kuingia shuleni...
  2. Damaso

    JamiiForums Tanzania Diwani Jackson Chatanda ametoa msaada wa sahani 300 kwa shule ya msingi Ulonge

    Diwani wa kata ya Igumbilo Manispaa ya Iringa Jackson Chatanda ametoa msaada wa sahani 300 kwa wanafunzi wa Shule ya Msingi Ulonge, hatua iliyolenga kutatua changamoto kubwa ya ulaji iliyokuwa ikiikabili shule hiyo kwa muda mrefu. Kwa mujibu wa taarifa kutoka shuleni hapo, wanafunzi wengi...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania Haitaji Shule za Bweni za Jinsia Moja

    Katika dunia ya sasa, Tanzania inakua na changamoto nyingi za kijamii na kielimu. Mojawapo ya changamoto hizo ni mfumo wa shule za bweni za jinsia moja (hasa zile zisizo za kidini). Ingawa mfumo huu ulikuwa na nafasi yake katika historia, leo hii unazalisha matatizo makubwa kuliko faida. 1...
  4. youngkato

    JamiiForums Tanzania Soma kwa Bidii, Maliza shule maisha yakuchanganye: Ukweli Ambao Wengi Hawakuusema Wazi

    Shule inakupa maelezo. Maisha yanakupa ufahamu. Ukichagua kimoja tu, utaishia kuchanganyikiwa. Kwa Nini Hili Ni Muhimu Wengi wetu tulifundishwa kufanya jambo moja tu: kuwa mtoto mwema kufuata sheria kupata alama nzuri kubaki salama kusubiri “baadaye” Halafu “baadaye” ilipofika, ilionekana...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Shule ya Msingi IDETE iliyopo Wilaya ya KILOLO - Iringa ipo katika hali mbaya sana

    Hii ni shule ya msingi iliyopo Kijiji cha Idete, Kata ya Idete Wilaya ya Kilolo Mkoani Iringa. Mazingira ya shule ni hatarishi kwa watoto wetu kama inavyoonekana katika picha. Tafadhali uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo utusaidie kuboresha mazingira haya ya shule.
  6. E

    JamiiForums Tanzania Ludewa kujengewa maktaba 45 kwa shule za msingi

    Wilaya ya Ludewa mkoani Njombe imefaidika na mpango madhubuti wa maktaba za shule unaoanza katika shule za msingi 45 wilayani humo kwa lengo la kuboresha upatikanaji wa vitabu na vifaa vya kujifunzia vinavyolingana na mtaala mpya wa Taifa. Mkurugenzi Mtendaji wa Uwezo Tanzania, Baraka...
  7. idiomer

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike watoto bado wanakaa chini baadhi ya shule ???

    Je ni kweli limetushindaaa?
  8. Z

    JamiiForums Tanzania Rangi ya Plate number za mabasi ya shule

    Habari wakuu, Naomba kujua kwa mabasi ya shule inabidi yawe na plate number za njano ama plate number nyeupe? Naona baadhi ya magari yana rangi nyeupe na mengine njano.
  9. W

    JamiiForums Tanzania KERO Shule ya Sekondari Kisungu-Dar, Wanafunzi wanapewa adhabu ya kuleta tofali za kujenga uzio

    Nina rafiki yangu ambaye mtoto wake anasoma Shule ya Sekondari Kisungu iliyopo Kinyerezi Dar es salaam. Alikuja kwangu kuniuliza iwapo kwenye saiti yangu nimebakiza walau tofali 20. Nilimuuliza tofali hizo anazihitaji kwa ajili ya nini, ndipo akaniambia kuwa mtoto wake alichelewa kufika shuleni...
  10. USSR

    JamiiForums Tanzania Waziri wa TAMISEMI na UCHUKUZI(TANROAD) na RC Chalamila mmekubari kuanzisha Dampo karibu na shule ya msingi mbezi mwisho.

    Karibu na roundabout ya Goba eneo la mbezi mwisho mita 6-8 kutoka ilipo shule ya msingi mbezi mwisho [ENEO LA HIFADHI ] ya barabara kuna dampo kubwa jipya linalokuwa kwa kadi na kuvutia watupaji wa taka kutoka maeneo ya Kimara na mbezi huku likihatarisha usalama wa wanafunzi, kituo cha afya na...
  11. U

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mkopo kwa ajili ya kuboresha shule yangu ya day care

    Habari ndugu wanaJF wenzangu mimi ni mgeni humu ndani. Nimejulishwa jukwaa hili na rafiki yangu wa karibu baada ya kumuelezea changamoto nazopitia katika ofisi yangu. Kiufupi ni kwamba mimi ni msichana umri miaka 25 nimemaliza shahada ya ualimu mwaka juzi. Baada ya kukaa mtaani kwa takrban...
  12. Seran

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri juu ya mtoto asiyepelekwa shule kisa hakuna ada

    Ni kuhusu baba hampeleki mtoto shule, kwa ufupi tu mtoto anatakiwa aingie Grade 2 lakini hata grade 1 hajaimaliza, baba yake anaforce shule za ada kubwa wakati ameshakwama kimaisha, anamlea katika mazungira ya gharama sana kitu ambacho hakiwezekani kwa sasa! Mtoto hasomi anasema anasikilizia...
  13. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Kuna mazingira ya ukiukwaji wa taratibu za udahili kwa Shule ya Nyanza English Medium (Mwanza)

    Napenda kutoa taarifa hii ili kufichua vitendo vya urasimu na ukiukwaji wa taratibu katika zoezi la utoaji wa nafasi za kujiunga na Shule ya Nyanza English Medium kwa Mwaka wa masomo 2026, hususan kwa Madarasa ya awali na Darasa la Kwanza. Awali, uongozi wa shule hiyo ya Serikali ambayo...
  14. uran

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya Kidato cha Nne 2025 yatangazwa

    Ufaulu Umepanda. Futatilia hapa. https://www.youtube.com/live/uwbLeIIRXOc?si=m-Iyj06qeAYHlPCl Kupata Matokeo fungua link hii: https://matokeo.necta.go.tz/results/2025/csee/index.htm --- Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha nne uliofanyika kuanzia...
  15. Mgeni wa Jiji

    JamiiForums Tanzania BASATA: Yapo wapi maadili kwenye hii nyimbo "Darasa la saba ya Mbosso" inayohamasisha mapenzi kwa watoto wa shule?

    Habari wana JF, Niende moia iwa moja kwenye hoja yangu ambayo pia naileta kama swali kwa baraza la sanaa ambalo huwa linasimamia pia maadili kwenye kazi za sanaa pamoja na mamlaka zetu zote zinazohusiana na kumlinda mtoto zikiongozwa na wizara husika. Kuna huu wimbo mpya ya msanii Mbosso...
  16. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Kuna shule Morogoro ilipokea 56,787 kwa mwaka wa fedha 2024/25 ili kufinance elimu bure

    Ili kuhakikisha elimu bure kwa shule za serikali, serikali hutoa fedha ili kuhakikisha jambo hilo linafanikiwa. Kwa data za TAMISEMI, shule ya Msingi Matambwe iliyoko Wilaya ya Morogoro, tarafa ya Kisaki, ilipokea Tsh 56,787 kwa mwaka wa fedha 2024/25. Shule hii ina jumla ya wanafunzi 18 kuanzia...
  17. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mikoa iliyoongoza kwa wanafunzi wa sekondari kuacha shule kwa mwaka 2024

    Kwa Takwimu zinazotolewa na TAMISEMI kuhusu elimu zinaonesha kwa mwaka 2024 jumlay ya wanafunzi 100,109 waliacha shule. Katika idadi ya watoto hao, idadi ya wanawake na wanaume ina tofauti ambapo watoto wa kike walioacha shule ni 49661 na wakiume ni 50448. Mikoa inayoongoza kwa kuacha shule ni...
  18. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Shule za sekondari 355, zina waalimu chini ya 10

    Shule za serikali kwa mujibu wa takwimu za TAMISEMI ni kuwa mikoa yote Tanzania ina shule ambazo zinawalimu chini ya 10. Hata hivyo Lindi inaongoza kwa kuwa na shule nyingi zenye waalimu chini ya 10. Aidha shule 21 zina walimu 5 au chini ya hapo na shule 2 zilizoko mkoani Mara zinawalimu...
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kuna shule za Mbeya hazipokei Wanafunzi wa Darasa la Kwanza kama hawajui kusoma na kuandika vizuri

    Suala la uandikishaji wa darasa la Kwanza, Sera ya Elimu inasema mtoto ataanza shule akiwa na umri wa miaka 6, lakini shule nyingi za Mkoa wa Mbeya zinakataa kuandikisha Wanafunzi wenye miaka 6 hadi 7 kisa tu hawajui kusoma vizuri. Je, utaratibu huu ni waraka kutoka Serikalini au shule nyingi...
  20. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Maisha yanaenda kasi sana, leo hii mabinti wanafundishwa cat walk plus malingo na kijana wa kiume

Back
Top Bottom