shughuli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. chiembe

    JamiiForums Tanzania Utapeli wa kisiasa wa CHADEMA: Robert Amsterdam hana leseni ya kufanya shughuli za uwakili Tanzania

    Shughuli za uwakili nchini Tanzania hufanywa kwa mujibu wa Sheria ya Mawakili (The Advocates Act) ambayo kimsingi, inatoa masharti, ikiwemo kuhudhuria shule ya sheria (Law School) na kisha kuapishwa na Jaji Mkuu baada ya kufaulu. Huyu Robert Amsterdam hana leseni ya kufanya shughuli za sheria...
  2. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania Swali Fyatu: Utendaji wa Shughuli za Mahakama Unatungwa na Nani na Kwanini?

    Ni swali ambalo limetokana na yanayoendelea katika sakata la Mbowe. Wabunge wanarushwa mubashara. Tunasikia mawazo yao, malumbano yao, na hata ufyatu wao. Tunasikia wakishangilia na wakizodoa; tunawasikia wakicheka na kuchekana au kuchekeana. Vyombo vya habari vya taifa na vya binafsi vinapewa...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Serikali yawataka wanaotoa tiba kwa kutumia vyakula kuendesha shughuli hizo kwa kibali cha Wizara ya Afya

    Dodoma. Serikali imesema watu wanaojiita watoa tiba kwa kutumia vyakula wanatakiwa kuendesha shughuli hiyo kwa kibali cha Wizara ya Afya. Katazo hilo limetolewa na mganga mkuu wa Serikali, Dk Aifello Sichwale jana Ijumaa Septemba 11, 2021 jijini Dodoma wakati akizungumza na waandishi wa...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Mrisho Gambo: Wafanyabiashara wa maduka ya kubadili fedha za kigeni walioporwa fedha na mali zao warudishiwe

    Mbunge wa Arusha Mjini (CCM), Mhe. Mrisho Gambo ameiomba Serikali kuwarejeshea mali na fedha zilizochukuliwa katika maduka ya kubadilisha fedha kwani “wameporwa pesa zao, magari yao, hati zao za nyumba, viwanja, wamewaacha hoi-bin-taaban.” Pia, soma: Arusha: Maduka yote ya kubadilishia fedha...
  5. Mtombangile Mitwango

    JamiiForums Tanzania Apple iMac huwa zinafaa kwa shughuli za stationary?

    Wadau naomba msaada kidgo kujua kama, Kompyuta za apple znaweza kufaa kutumika katika kazi za stationary bila kuleta matatizo au usumbufu wowote? Maana nlitaka kununua kuna jamaa yangu akaniambia mizigo ya apple huwa ni utumwa au wenyewe wanaita ni gereza la kifahari. Nikaona sio mbaya nije...
  6. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Bunge lasitisha Shughuli zake ili kujadili bei ndogo ya Mahindi nchini

    Bunge limesitisha kwa muda shughuli zake za leo ili kujadili changamoto ya bei duni inayowakumba wakulima wa mahindi nchini. Wabunge wameeleza kutoridhishwa na bei ndogo ya mahindi, bei ghali ya mbolea hivyo wameitaka Serikali kuiongeza hela NFRA ili inunue mahindi kwa wakulima. Waziri wa...
  7. G

    JamiiForums Tanzania Watu wenye uzoefu wa kusimamia na kuongoza miradi na shughuli za shirika lisilo la kiserikali

    Habari za wakati huu wakuu Naomba kuwasiliana na watu wenye uwezo na uzoefu wa kusimamia na kuongoza miradi ya shirika lisilo la kiserikali. Kwa wale watu ambao waliwahi kufanya kazi kwenye mashirika kama wafanyakazi ,wasimamizi ,viongozi nk, naomba tuwasiliane pls , Pia naomba ushauri na maoni...
  8. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Serikali yalipa bilioni 212 kwa ajili ya ndege 5

    Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa, amesema kuwa serikali imefanya malipo ya awali ya shilingi bilioni 212.95 kwa ajili ya Ndege 5, Ndege kubwa 2, za masafa ya kati 2 na Bombardier ndogo 1, pamoja na malipo ya bilioni 50 kwa ajili mradi wa kufua umeme wa katika bwawa la Julius Nyerere...
  9. Civilian Coin

    JamiiForums Tanzania Sitashiriki shughuli yoyote ya Kisiasa Wala kuchangia mjadala wowote wa kisiasa

    Kwa miaka mingi nimejihusisha na siasa za TANZANIA nawala sijaona mafanikio yoyote Wala mabadiliko yoyote zaidi ni mauaji ya Kina Hamza na mengine mengi. Nimegundua Wanasiasa wa Tanzania wengi Ni mabogazi wako kimaslahi zaidi. DJ. DON NALIMISON nimeamua kukaa Kando Maisha yangu yote, sitajiunga...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Samizi, ashiriki kama Mgeni rasmi kwenye sherehe ya Jubilee ya miaka 25 ya shule ya wasichana ya Bonoconsili Mabamba

    Mbunge wa Muhambwe mkoani Kigoma Mhe Florence George Samizi Jana Jumamosi Agosti 28, 2021 alishiriki kama Mgeni rasmi kwenye sherehe ya Jubilee ya miaka 25 ya shule ya wasichana ya Bonoconsili Mabamba. Akiwa kwenye sherehe hiyo kama Mgeni rasmi Dkt. Samizi alizawadiwa na Askofu wa Jimbo la...
  11. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Australia atetea kufungwa shughuli za umma kupambana na COVID-19

    Waziri Mkuu wa Australia Scott Morrison ametetea mkakati wa taifa hilo wa kuzifunga shughuli za kawaida kama sehemu ya juhudi za kudhibiti kusambaa kwa virusi vya corona hadi angalau asilimia 70 ya watu wa nchi hiyo watakapopata chanjo ya virusi hivyo. Akizungumza kwenye mahojiano na shirika la...
  12. mama D

    JamiiForums Tanzania Shughuli za Misiba, Maziko na Maombolezo zimeanza kupoteza maadili ya asili na imani zetu, Utu na Ubinadamu katika jamii

    Ninavyojua mimi kwenye misiba huwa kuna utani kati ya watani ambayo inasaidia kupunguza uchungu na kubadili hali ya hewa kwa muda kwa kuwaondoa wafiwa kwenye tension ya msiba walau kwa dakika chache, bila kumvunjia marehemu heshma au kuleta taharuki Lakini leo nimekutana na hii clip nikabaki na...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Shughuli za Mahakama zinaingiliwa kwa bahati mbaya?

    Tanzania siku hizi ni kawaida kuona au kusikia watu wakiingilia shughuli za Mahakama. Hii inatokana na watu kutojua sheria au Mahakama yenyewe inaruhusu kuingiliwa? Nawasilisha.
  14. Jemima Mrembo

    JamiiForums Tanzania TANZIA Buriani Mama Tumaini Kakuyu Mlewa, Mpambanaji hodari, mwasisi wa shughuli za usafi maofisini na upambaji wa kumbi za mikutano, sherehe nk

    Tumaini Kakuyu Mlewa alikuwa ndiye mtu wa Kwanza kuwa na kampuni professional ya usafi akichukua tenda kwenye ofisi za makampuni mbalimbali, mahospitali viwanda nk kupitia kampuni yake ya Fame Consolidated Services LTD. Pia aliasisi shughuli za upambaji wa kumbi za starehe, mikutano etc. Huyu...
  15. Offshore Seamen

    JamiiForums Tanzania Mifumo rafiki kwa watumiaji boti kwa shughuli mbalimbali.

    Kutokana na kupanda kwa gharama za mafuta kila mara, si watumiaji pekee wa magari wanaoathirika. Boti ndogo za uvuvi,utalii na matumizi binafsi wamekuwa wakitumia petrol kwa ajili ya kuendeshea boti zao. Sasa inabidi kutumia njia mbadala za nishati kama jua,umeme au gesi asilia kuendeshea...
  16. W

    JamiiForums Tanzania SoC01 Nguvu ya baadhi ya mambo katika shughuli za kiuchumi

    NGUVU YA BAADHI YA MAMBO KATIKA SHUGHULI ZA KIUCHUMI Nitaeleza ni nguvu gani iliyo ndani Ya baadhi ya mambo kwa wewe unaesoma nakala hii ambayo unaweza kuitumia katika Nyanja ya uchumi na ukaleta mabadiliko yako binafsi na jamii kwa ujumla ,sanasana nalenga vijana maana wao ndo wenye...
  17. S

    JamiiForums Tanzania SoC01 Namna vijana wanavyoweza kushiriki/kushirikishwa katika shughuli za maendeleo kitaifa

    Hebu fikiria, umepata nafasi ya kuzungumza ana kwa ana na Mh Samia Suluhu (Rais wa JMT) na una dakika tatu tu za kueleza nini ungetamani afanye ambacho kitakufaidi wewe (Kijana) na vijana wengine. Kwa dakika tatu hizo ungemweleza nini? Bila shaka umepata jibu. Hii inaonesha kuwa kila mtu ana...
  18. S

    JamiiForums Tanzania SoC01 Kwanini vijana wanapaswa kushiriki/kushirikishwa katika shughuli za Maendeleo ya Kitaifa

    Hebu fikiria, umepata nafasi ya kuzungumza ana kwa ana na Mh Samia Suluhu (Raisi wa JMT) na una dakika tatu tu za kueleza nini ungetamani afanye ambacho kitakufaidi wewe (Kijana) na vijana wengine. Kwa dakika tatu hizo ungemweleza nini? Bila shaka umepata jibu. Hii inaonesha kuwa kila mtu ana...
  19. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Shughuli za Mwenge zinaendelea. Je, Katazo la Wizara halina mashiko?

    Ndio tatizo la kuwa na serikali ambayo iko so disorganized, kila Mtu anaongea lake, tumejenga nyumba za kujifukiza, tukaharibu na mimea lakini vyote vimeachwa. Leo hii Wizara imetoa tamko la kuzuia mikusanyiko na kuchukua tahadhari dhidi ya Covid 19 ila cha kushangaza Shughuli za mwenge...
  20. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mara: Jafo asimamisha shughuli za uchenjuaji mtambo wa Double F

    WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Selemani Jafo amesitisha shughuli za uchenjuaji dhahabu katika mtambo wa Double F katika kijiji cha Nyakisya, wilayani Tarime kutokana na uchafuzi wa mazingira. Alitoa agizo hilo jana mkoani Mara baada ya kupokea malalamiko ya...
Back
Top Bottom