Hizi moments huwa nazipenda sana nikiwa kwenye shughuli za kilimo

kabila01

JF-Expert Member
Apr 21, 2009
4,235
4,949
Amani kwenu Wakulima wenzangu

Umeamka asubuhi saa 11 umeingia shamba/bustani nyumbani ukapiga mzigo (Kuweka mbolea, kutengeneza tuta la kupanda mboga, umelimia miti, umeandaa shamba nk). Ukapiga kazi ukiwa mwenyewe au na vibarua mpaka mida ya saa 4:30 asubuhi.

Moment ya mapumziko ndo hua naipenda sana unaenda kivulini unapiga chai na mihogo au viazi mmechemsha na vijana palepale shamban unapumzika unapigwa na upepo safi.

Moment nyingine mchana mmetafuta dagaa au samaki mmepiga ugali wenu ukiwa kwenye sufuria humo humo

Moment nyingine jion unasogea kijijini unapiga bia moja na chipsi vumbi then unapanda gari kurudi mjini siku inakua imeisha vizuri sana

Unaweza kushare nawe best moments unapokua shamba au katika shughuli za kilimo
 
Best moment ni wakati wa mavuno
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom