Sitashiriki shughuli yoyote ya Kisiasa Wala kuchangia mjadala wowote wa kisiasa

Civilian Coin

JF-Expert Member
Dec 2, 2012
2,305
4,334
Kwa miaka mingi nimejihusisha na siasa za TANZANIA nawala sijaona mafanikio yoyote Wala mabadiliko yoyote zaidi ni mauaji ya Kina Hamza na mengine mengi. Nimegundua Wanasiasa wa Tanzania wengi Ni mabogazi wako kimaslahi zaidi. DJ. DON NALIMISON nimeamua kukaa Kando Maisha yangu yote, sitajiunga CCM au CHADEMA au Chama chochote nawala sitaanzisha Chama chochote na sitathubutu kushiriki mjadala wowote wa Siasa za TANZANIA. Mimi sio Mtumishi wa Serikali ya bwege. Nawasalimu kwa Link hii yenye ujumbe wa kisiasa.

Kama umepata,pakupatia maslahi yako maana yake ulishazibwa mdomo,utasema nini kwa kuwa ni mbinafsi na mwenye kuangalua maslahi binafsi?
 
Kwa miaka mingi nimejihusisha na siasa za TANZANIA nawala sijaona mafanikio yoyote Wala mabadiliko yoyote zaidi ni mauaji ya Kina Hamza na mengine mengi. Nimegundua Wanasiasa wa Tanzania wengi Ni mabogazi wako kimaslahi zaidi. DJ. DON NALIMISON nimeamua kukaa Kando Maisha yangu yote, sitajiunga CCM au CHADEMA au Chama chochote nawala sitaanzisha Chama chochote na sitathubutu kushiriki mjadala wowote wa Siasa za TANZANIA. Mimi sio Mtumishi wa Serikali ya bwege. Nawasalimu kwa Link hii yenye ujumbe wa kisiasa.

Nyie ndio mliojiunga JFs kuja kushambulia wapinzani kwa ahadi za kulipwa Buku 7. Sasa zimekata na mmekata tamaa.
 
Kwa miaka mingi nimejihusisha na siasa za TANZANIA nawala sijaona mafanikio yoyote Wala mabadiliko yoyote zaidi ni mauaji ya Kina Hamza na mengine mengi. Nimegundua Wanasiasa wa Tanzania wengi Ni mabogazi wako kimaslahi zaidi. DJ. DON NALIMISON nimeamua kukaa Kando Maisha yangu yote, sitajiunga CCM au CHADEMA au Chama chochote nawala sitaanzisha Chama chochote na sitathubutu kushiriki mjadala wowote wa Siasa za TANZANIA. Mimi sio Mtumishi wa Serikali ya bwege. Nawasalimu kwa Link hii yenye ujumbe wa kisiasa.

Kwahiyo ile Ndoto yako ya Urais imeyeyuka ?
 
Hivi huwa naona mnasema huyu jamaa anaitwa Kisandu wakati hili jina (kisandu) si jina geni kwangu... hebu niambieni huyu mtu ni nani halafu naona kwenye comments mara nyingi wadau wanaoneshaga kama huyu bwana dish limetikisika!
Alibadili jina kwa tangazo maalum , kutoka Kisandu hadi hili jina jipya , kuhusu dishi kuyumba inawezekana , maana aliwahi kusaliti Chadema , na kama unavyojua ukisaliti kile chama cha Mungu laana haiwezi kukuacha
 
Back
Top Bottom