Samizi, ashiriki kama Mgeni rasmi kwenye sherehe ya Jubilee ya miaka 25 ya shule ya wasichana ya Bonoconsili Mabamba

BWANKU M BWANKU

JF-Expert Member
Jan 12, 2019
328
414
Mbunge wa Muhambwe mkoani Kigoma Mhe Florence George Samizi Jana Jumamosi Agosti 28, 2021 alishiriki kama Mgeni rasmi kwenye sherehe ya Jubilee ya miaka 25 ya shule ya wasichana ya Bonoconsili Mabamba.

Akiwa kwenye sherehe hiyo kama Mgeni rasmi Dkt. Samizi alizawadiwa na Askofu wa Jimbo la Kigoma zawadi ya keki huku uongozi wa shule hiyo ukimzawadia container ya shanga ya kutunzia vifaa vidogo vidogo.

#KaziInaendelea.

IMG-20210829-WA0084.jpg

IMG-20210829-WA0081.jpg

IMG-20210829-WA0080.jpg

IMG-20210829-WA0082.jpg
 
Mbunge wa Muhambwe mkoani Kigoma Mhe Florence George Samizi Jana Jumamosi Agosti 28, 2021 alishiriki kama Mgeni rasmi kwenye sherehe ya Jubilee ya miaka 25 ya shule ya wasichana ya Bonoconsili Mabamba.
Y
Akiwa kwenye sherehe hiyo kama Mgeni rasmi Dkt. Samizi alizawadiwa na Askofu wa Jimbo la Kigoma zawadi ya keki huku uongozi wa shule hiyo ukimzawadia container ya shanga ya kutunzia vifaa vidogo vidogo.

#KaziInaendelea.

View attachment 1915311

View attachment 1915312

View attachment 1915313

View attachment 1915314
Huyu nae gaidi kma kada mwenzake hamza
 
Gaidi mamako ,nyie bavicha mnamatatizo Sana hapo kilicho kufanya umuite gaidi ninini?

USSR
Dada najua unawashwa mtaro mimi situmii,hamza kawainua sana wiki hii ccm mko kma shoga aliekosa bwana....ccm wote ni magaidi,mafisadi,wezi,wauza unga etc
20210825_220518.jpeg
 
Back
Top Bottom