shilingi

The shilingi (Swahili; English: shilling; sign: TSh; code: TZS) is the currency of Tanzania. It is subdivided into 100 senti (cents in English).
The Tanzanian shilling replaced the East African shilling on 14 June 1966 at par.

View More On Wikipedia.org
  1. aka2030

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nini kinaisibu Shilingi ya Kenya?

    Kila siku inazidi kushuka thamani sasa ni kenya tsh 1 sawa na tsh 16.51 wakati zamani ilifika mpaka 22 Ni hujuma kwa Ruto Ama wakenya wamerudia tabia yao ya asili ya uvivu
  2. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania TANESCO Kujenga Kituo cha Umeme Ushetu - Kutumia Shilingi Bilioni 12

    Shirika la umeme Tanzania (TANESCO) lina mpango wa kujenga kituo kidogo cha umeme (Switching Station) kwenye Wilaya ya Ushetu eneo la Nyamirangano ili kuboresha hali ya upatikanaji wa umeme wilayani humo. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga kwa niaba ya Naibu Waziri...
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Bunge lapitisha Muswada unaotaka wake wa Marais na Maspika wastaafu kulipwa kiinua mgongo

    Bunge limepitisha muswada wa sheria ya marekebisho ya sheria mbalimbali namba 4 wa mwaka 2023 ambapo moja ya marekebisho katika sheria ya Mafao ya Kustaafu katika Utumishi wa kisiasa inapendekezwa Wenza (Mke/Mume) wa Marais Wastaafu, Wenza wa Makamu wa Rais Wastaafu na Wenza wa Mawaziri Wakuu...
  4. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Shilingi Bilioni 23 Zimeelekezwa Kwenye Miradi ya Maendeleo Wanging'ombe

    NAIBU WAZIRI DUGANGE: BILIONI 23 ZIMEELEKEZWA KWENYE MIRADI YA MAENDELEO WANGING'OMBE ZAIDI ya Sh. Bilioni 23 zimepelekwa katika Wilaya ya Wanging'ombe mkoani Njombe kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya afya, elimu na barabara katika kipindi cha miaka miwili ya uongozi wa Rais...
  5. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Kwanini tunalipwa mgao wa shilingi inayoshuka thamani kutoka kwenye migodi yetu badala ya kuchukua dhahabu isiyoshuka thamani?

    Dhahabu ni pesa isiyoshuka thamani,tangu kuumbwa kwa dunia,dhahabu haijawahi tetereka katika soko la dunia,tukisubiri kugawana pesa baada ya hesabu wajanja watatangaza hasara,na kwa nini pesa na si dhahabu isiyoshuka thamani, tubadili sheria, tugawane Gold Bars(vitofali),Wazalendo wa nchi hii...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Rais wa Yanga, Eng. Hersi amelipa Tsh. Milioni 40 kununua tiketi za mchezo wa leo

    Taarifa hii ni kwa mujibu wa Msemaji wa Yanga, Ally Kamwe ambae anasema Raisi huyo wa Yanga aliamua kufanya hivyo kuondoa usumbufu na pi imesaidia kukabiliana na zile njama/mbinu za kupandisha viingilio katika hii mechi. Ally Kamwe amesema haya wakati akihojiwa baada ya mechi kwisha.
  7. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Leo nimemeshangaa sana kwamba Dada poa Marekani ni shilingi laki 7, Tanzania tukae kwa kutulia

    Nimeshangaa sana hii ishu na huenda ndio maana wamarekani huwa wanalia sana ukiendekeza wanawake unafilisika. Yaani kununua dada poa ni dola 300 (Tshs laki 7 na nusu), ukiomba upunguziwe na kakuelewa labda 250 (Tshs laki 6 na 20), ukilia sana basi iwe walau short time basi 200 (Tshs laki 5 )...
  8. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Shilingi Bilioni 3 Kudhamini Jezi za Timu ya Taifa

    SHILINGI BILIONI 3 KUDHAMINI JEZI ZA TIMU ZA TAIFA; DKT. NDUMBARO ASHUHUDIA UTIAJI SAINI Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amelipongeza Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kwa kuendelea kuwatumia wawekezaji wa ndani kutengeneza jezi za mpira wa miguu wa timu...
  9. Tommy 911

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza glass protector za simu kwa shilingi elfu moja

    Habarini Wana JF. Glass protector aina zote zinapatikana kwa bei ya shilingi elfu moja per item. napatikana kivule dar es salaam ukihitaj nakuletea popote ulipo kwa dar es salaam. Contact: 0753158943
  10. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Binafsi sijapata ongezeko la mshahara hata shilingi 1. Ni Mimi tu au ni wote?

    Habari! Vipi jamani na kwenu imekuwa kama Mimi hamjaoana nyongeza hata Senti moja au ni Mimi tu? Thanks
  11. Azniv Protingas

    JamiiForums Tanzania Niandae bajeti ya shilingi ngapi ili kutembea Kenya?

    Habari wanajamii, Nilikuwa naomba mnipe mchanganuo wa pesa ili niandae nikatembee Kenya, nina mpango wa kukaa wiki moja, siku nne Mombasa, siku tatu Nairobi. Mchanganuo ujumuishe: -Pesa ya usafiri (Dar-Mombasa-Nairobi-Arusha-Dar) -Malazi (nimejaribu kuangalia mtandaoni kuna cheap hotel mpaka...
  12. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Kushuka kwa thamani ya Shilingi dhidi ya Dola kutaongeza Deni la Taifa kwa karibu Tsh. Trilioni 2

    Tanzania huenda ikatumia gharama kubwa kugharimia deni la Taifa, ikiwa ni miongoni mwa athari zinazosababishwa na kuongezeka kwa thamani ya Dola ya Marekani dhidi ya Shilingi. Hali hiyo ina athari hasi katika uchumi wa nchi kwa sababu hivi sasa inahitajika shilingi nyingi zaidi ili kupata Dola...
  13. Equation x

    JamiiForums Tanzania Watu hawataki kutembeleana siku hizi, kila mmoja yuko bize kusaka shilingi

    Kuna mzee mmoja nilikutana naye eneo moja la kazi miaka 12 iliyopita, na katika mazingira ya kazi tulikuwa tukiheshimiana sana, na tulikuwa tukiishi kama familia; leo tukale wapi au kunywa wapi, mara moja moja ilikuwa ni kitu cha kawaida. Baada ya muda kupita aliamua kung’atuka na kwenda...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Miradi ya uchimbaji mkubwa wa madini ambayo Serikali ina hisa, imechangia mapato ya Serikali ya jumla ya Shilingi Trilioni 1.53

    MIGODI MIKUBWA YENYE UBIA NA SERIKALI YACHANGIA SHILINGI TRILIONI 1.53 KUFIKIA JUNI, 2023 Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge Nishati, Madini ataka STAMICO iongezwe nguvu Katibu Mkuu Mahimbali aeleza Mipango Kabambe kuendeleza Sekta ya Madini, aeleza Miradi Mingine Mbioni kupewa Leseni Dodoma...
  15. M

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Akiba ya dola za Kimarekani yakauka Benki Kuu ya Tanzania

    Hili sakata la dola linanivuruga sana, ukifuatia kulikuwa na taarifa mtandaoni kuwa Tanzania kuna uhaba wa dola Za kimarekani. Sasa naona tena kuna taarifa inazagaa mtandaoni kuwa BoT akiba hiyo imekauka kabisa, na si dola pekee sasa hadi shilingi ya Tanzania nayo imekauka. Kuna ukweli hapa...
  16. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Maumivu kwa Waagizaji Bidhaa Nje, Shilingi ya Tanzania yazidi kushuka Thamani dhidi ya Dola

    Maumivu kwa Waagizaji Bidhaa Nje, Shilingi ya Tanzania yazidi kushuka thamani dhidi ya Dola Watanzania sasa wanalazimika kuingia zaidi mifukoni mwao ili kulipia zaidi katika uagizaji wa bidhaa kutoka nje ya nchi huku kukiwa na hali ya kutia wasiwasi juu ya kuendelea kuporomoka kwa shilingi...
  17. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kwa ajili ya safari ya kitalii Afrika

    Tafadhali naomba mchango wako wa mawazo! Nimekuwa nikitamani sana kuzitembelea baadhi ya nchi za Afrika ambazo bado sijafika. Ninatarajia kutimiza sehemu ya hiyo hiyo ndoto hapo baadaye mwaka huu. Ninatarajia kutembelea alau nchi nne, kama bajeti itaruhusu, nazo ni AFRIKA KUSINI, BOTSWANA...
  18. Superintendent kimura

    JamiiForums Tanzania Serikali yasaini mkataba wa Bilioni 30 kukarabati Uwanja wa Benjamin Mkapa

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni Sanaa na Michezo, Said Yakubu amesema Serikali ya [emoji1241] imetoa Tsh 30 𝘽𝙄𝙇𝙇𝙄𝙊𝙉 kwa ajili ya kuufanyia ukarabati uwanja wa Mkapa. Amesema maboresho hayo yatafanyika katika maeneo ya kuchezea, vyumba vya wachezaji na kutoa viti vyote vya uwanja huo. Uwanja...
  19. Pascal Ndege

    JamiiForums Tanzania Aliyewapa tenda CCM kazi ya kutete DP world kwa wananchi ni nani? Amewapa shilingi ngapi?

    Kuna campaign nchi nzima na mikutano ya usiku na mchana kutetea uwekezaji Bandari ya Dar es salaam na uwekezaji wa baadae kwa Bandari zote za Tanzania kwa kampuni Moja tu ya DP World. Hizi pesa za campaign zingewekezwa kwenye elimu na barabara nchi ingekuwa mbali kiuchumi. Mimi naona campaign...
  20. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Jimbo la Igunga - Shilingi Bilioni Mbili zimetumika kujenga Madaraja ya Kata za Mtungulu na Mwamashiga yaliyokuwa kero kwa muda mrefu

    📍 Mtungulu, Igunga Msafara wa Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe. Nicholaus George Ngassa ukiwa umesimama kwenye Daraja la Mto Mtungulu huku Wajumbe wa msafara wakicheza kwa furaha baada ya kuona ujenzi wa daraja umekamilika kwenye Mto uliokuwa ukisumbua Wananchi kuvuka kutoka upande mmoja kwenye...
Back
Top Bottom