Jimbo la Igunga - Shilingi Bilioni Mbili zimetumika kujenga Madaraja ya Kata za Mtungulu na Mwamashiga yaliyokuwa kero kwa muda mrefu

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
May 16, 2020
1,897
941
đź“Ť Mtungulu, Igunga

Msafara wa Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe. Nicholaus George Ngassa ukiwa umesimama kwenye Daraja la Mto Mtungulu huku Wajumbe wa msafara wakicheza kwa furaha baada ya kuona ujenzi wa daraja umekamilika kwenye Mto uliokuwa ukisumbua Wananchi kuvuka kutoka upande mmoja kwenye upande wa pili unaounganisha Kata ya Mtungulu, Kata ya Bukoko, Kata ya Itumba, na Igunga Mjini.

Mheshimiwa Ngassa (MB) ameishukuru Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kutoa Fedha za Barabara Vijijini Jimbo la Igunga Shilingi Bilioni Mbili (Tshs. 2,000,000,000/=) ambazo zimetumika kujenga Madaraja ya Kata za Mtungulu na Mwamashiga yaliyokuwa kero kwa muda mrefu na kuboresha Barabara za Vijijini.

"KAZI NA MAENDELEO"

Imetolewa na:
Ofisi ya Mbunge
Jimbo la Igunga
 
Mtungulu, Igunga

Njoo hapa silencer unionyeshe picha tuyajenge
 
Kumbe siku hizi Mutungulu imekuwa kata! Hongereni.

Zamani kata ilikuwa ni Bukoko ikijumuisha vijiji vya Bukoko, Mutungulu, Mwazizi , Ipumbulya na Mangungu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom