The shilingi (Swahili; English: shilling; sign: TSh; code: TZS) is the currency of Tanzania. It is subdivided into 100 senti (cents in English).
The Tanzanian shilling replaced the East African shilling on 14 June 1966 at par.
Habari za saa hizi Wanajamii Forums,
Kwa mtu anayejua, Mwenyekiti wa Mtaa na Diwani wanalipwa mshahara kiasi gani, na wakistaafu wanalipwa shilingi ngapi?
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, amesema serikali kupitia mfuko wa maendeleo ya vijana imetoa mikopo yenye thamani ya shilingi bilioni 1.88 kwa ajili ya kuwezesha miradi 85 ya vijana katika sekta za kilimo, viwanda na biashara kwenye halmashauri 28.
Ameyasema hayo Aprili 16, 2023, wakati...
Hii ni kwa mujibu wa riport ya CAG. Ambapo kiasi cha shilingi bilioni 80 hazionekani zilipo, pesa ambazo ukizigawa kwa halimashauri zote 187 nchini ni kila halimashauri imepoteza milioni 420. Hii haiingii akilini kabisa, iweje pesa ndefu kama hiyo wadaiwa waingie mitini. Maafisa maendeleo wa...
Hilo ndilo swali kubwa ninalojiuliza, ni kwanini hao watendaji wetu wa Serikali, ambao wanafahamika hata Kwa majina, waliotajwa kwenye ripoti ya CAG, kuwa wamefisadi mabilioni ya shilingi za Umma, ni kwanini Rais Samia Suluhu Hassan, hawatengui kwenye nafasi zao, wakati ni yeye mwenyewe ndiye...
Kupitia ukagauzi uliofanywa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa mwaka 2021/2022 imebainika kuwa Vyura 500 bado wapo Marekani licha ya kumalizika kwa mkataba wa matunzo.
Serikali ilipeleka Vyura hao katika bustani za Bronx na Toledo ili kupisha ujenzi wa mradi wa...
AYSHAROSE MATTEMBE ACHANGIA MILIONI 10 KUNUNUA MAJIKO YA GESI KWA WANAWAKE
Mbunge wa Viti maalum Mkoa wa Singida, Mhe. Aysharose Mattembe amefanikisha Semina kubwa ya mafunzo ya Utunzaji wa Mazingira na Uwekezaji kwa wanawake wa UWT Mkoa wa Singida huku Akiwapatia Majiko ya Gesi yenye thamani...
Siku zote nimekua nikinunua compact ya cha 56000 elf kwaajili ya mpira sasa sitakuepo mwezi huu hivyo wife ameshauri tununue cha 23000 maana yeye hafatilii mpira zaidi ya maigizo tu
Nikaona isiwe kesi Nikalipa sasa cha kuchekesha ni kwamba zimekuja channels hizo apo kwenye picha yaani...
Mfanyabiashara unaweza kupata taarifa ya viwango vya kubadili fedha kupitia simu yako, una-google, kutembelea mabenki n.k lakini cha muhimu zingatia utofauti wa kiwango cha kubadilishia fedha hiyo, Wafanyabiashara wengi mwanzo wa mwaka hadi mwisho wa mwaka anakuwa haelewi kwa sababu hajui...
Mwishoni mwa miaka ya 1980, Benki Kuu ya Tanzania ilitoa noti ya Shilingi Mia Mbili. Noti hii maarufu upande wake mmoja ulikuwa na picha ya wavuvi wawili wakiwa wamebeba samaki mkubwa wakiwa wanaelekea nchi kavu.
Najua wengi wetu hatufahamu kwanini iliwekwa picha ya wavuvi wale? Basi jua...
Mkuu wa Wilaya Korogwe Mhe. JOKATE MWEGELO apokea Vifaa vya TEHAMA katika Shule 6 wilayani Korogwe vyenye Thamani ya zaidi ya Shilingi Milioni 92 kutoka kampuni ya Vodacom Tanzania.
MBUNGE MHE. NANCY NYALUSI AMETOA SHILINGI MILIONI 10 KUSAIDIA UJENZI WA WODI YA WANAWAKE ILALA SIMBA.
MBUNGE wa Viti Maalumu (CCM) Mkoa wa Iringa Mhe. Nancy Nyalusi ametoa Shilingi Milioni 10 kwa uongozi wa kijiji cha Ilalasimba kilichopo katika kata ya Nzihi kwenye Halmashauri ya wilaya ya...
Baada ya kurudi toka USA nikiwa sina kitu,kazi ya kwanta ilikuwa kutafuta shughuli ya kufanya.
Rafiki yangu mmoja tuliyesoma nae High School alikuwa tayari ni boss kwenye kampuni moja ya simu za mkononi.
Miaka hiyo ajira hazikuwa za taabu,akanioachika kitengo cha Call center,kazi ya kuoikea...
Habari wana MMU? Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha. Naomba kuwashirikisha kisa kimoja na mpenzi wangu Salma. Tumekuwa kwenye mahusiano kwa takribani miaka 2 ijapokuwa kimtindo. Siku za nyuma nilimfungulia kibiashara akawa anajishughulisha nacho lakini baadaye alikula mtaji...
Kuna dogo langu anajitolea mahali flani kwenye kampuni ya waturuki,wanampa laki 5 kwa mwezi ambayo haina makato yoyote yale.kaniomba ushauri aende kwenye interview ya hawa nhc huko Daslamu au apotezee?
Nafasi aliyoitiwa huko nhc ni temporary sales representative, so anataka kujua huko nhc kwa...
Habari wakuu.
Natumaini mnaendelea vizuri na maandalizi ya sikukuu.
Bila kuwachosha sana, nimeweza ku save jumla ya shilingi milioni 64 hadi sasa, kiasi hiki nimeweza kukisave kuanzia mwezi April mwaka huu kutoka kwenye mshahara wangu. Nipo mkoa wa Dodoma.
So far, nimefikiria kuwekeza katika...
Yaani Zanzibar wauziwe unit moja ya umeme kwa tsh.130 kama alivyoeleza Waziri wa Nishati na Madini Zanziber wakati sisi huku bara tunauziwa shilingi 350 na senti kadhaa.
Na wale wataosema Zanzibar ni wanyonyaji wanakosea, Tukumbuke kwamba Bara ndio inang'ang'ania sana huu muungano matokeo yake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.