Kwanini Mungu anaitwa Mungu na hakuitwa jina lingine? Kama Shetani ni mharibifu kwanini aliachwa hai?

AIMENTER

JF-Expert Member
Jan 18, 2014
621
825
Miongoni mwa maswali najiuliza kila uchwao ni kwanini Mungu aliitwa Mungu na sio jina lingine?,Ni nani alimpatia hilo jina? Na kama yupo alikuwa nani?

Kwanini Mungu hakummaliza shetani hukohuko kama kweli ni muharibifu? kiasi kwamba anatuletea tabu ambazo tunaamini yeye ni chanzo? na anashindwaje kumuangamiza hata sasa ili hali hakuna anachondwa?
 
Mungu anayo majina mengine mengi kulingana na lugha, tamaduni na kabila.. Hivyo Mungu hana jina MOJA

1. ADONAI-Mungu Mwenye Enzi Yote Mwanzo 15:2-8

2. EL – SHADAI-Mungu ututoshelezae/Mungu mtoshelezi
Mwanzo 17:1

3.EL-OHEENU- Bwana Mungu Wetu Zaburi 99:5,8,9

4. EL- GIBBOR- Mungu Mwenye Nguvu, Isaya 9:6-9

5. EL-OHEEKA- Bwana Mungu Wako Kut 20:2,5,7

6. EL-ELYON -Mungu Aliye Juu Sana Mwanzo 14:18

7. EL-OHIM- Muumbaji wa Milele Mwa 1:1

8. YEHOVA- SABAOTH Bwana wa Majeshi 1Samwel 1:3

9. JEHOVA TSIDKEMU -Bwana ni Haki Yetu Yeremia 23:6

10. JEHOVA RAPHA- Mungu Atuponyae,kutoka 15:26

11. JEHOVA MEKADDISHKEM- Mungu atutakasaye Kutoka 31:13

12. JEHOVA ROHI-Bwana Mchungaji Wangu Zaburi 23:1

13. JEHOVA JIREH- Mungu Atupaye /Atoaye Mwanzo 22:14

14. JEHOVA HOSEENU -Bwana Aliyetuumba Zaburi 95:6

15. JEHOVA NISSI- Bwana ni Beramu (Bendera)
yangu
Kutoka17:15

16. JEHOVA SHALOM -Bwana ni Amani, waamuzi 6:24

17. JEHOVA SHAMMAH -Bwana Yupo Hapa, Ezekiel 48:35

18.El-hai-Mungu aliyehai,Joshua 3:10,1 Samwel 17:26

19.El-elohe-israel-Mungu wa Israel, Mwanzoh 33:20

20.El-Olam-Mungu wa milele,Ufunuo 4:8,kutoka 3:14

Majina haya yapo katika Lugha za kiebrania

Shetani sio mwili ni roho na roho ikizaliwa haifi
 
Kwamba hata Mungu hana uwezo wa kuiua hiyo roho(shetani)!!??
 
Miongoni mwa maswali najiuliza kila uchwao ni kwanini Mungu aliitwa Mungu na sio jina lingine?,Ni nani alimpatia hilo jina? Na kama yupo alikuwa nani?

Kwanini Mungu hakummaliza shetani hukohuko kama kweli ni muharibifu? kiasi kwamba anatuletea tabu ambazo tunaamini yeye ni chanzo? na anashindwaje kumuangamiza hata sasa ili hali hakuna anachondwa?
Kumbe aliachwa Hai?
Mimi mawazo yangu yote nilijua aliachwa pale Himo.
 
Miongoni mwa maswali najiuliza kila uchwao ni kwanini Mungu aliitwa Mungu na sio jina lingine?,Ni nani alimpatia hilo jina? Na kama yupo alikuwa nani?

Kwanini Mungu hakummaliza shetani hukohuko kama kweli ni muharibifu? kiasi kwamba anatuletea tabu ambazo tunaamini yeye ni chanzo? na anashindwaje kumuangamiza hata sasa ili hali hakuna anachondwa?
Paragraph ya mwisho ni sawa, ila ulivyo anza juu ya jina ni swali la kitoto
 
Mungu ni matendo yako mema. Shetani ni matendo yako maovu
 
Mungu anayo majina mengine mengi kulingana na lugha, tamaduni na kabila.. Hivyo Mungu hana jina MOJA

1. ADONAI-Mungu Mwenye Enzi Yote Mwanzo 15:2-8

2. EL – SHADAI-Mungu ututoshelezae/Mungu mtoshelezi
Mwanzo 17:1

3.EL-OHEENU- Bwana Mungu Wetu Zaburi 99:5,8,9

4. EL- GIBBOR- Mungu Mwenye Nguvu, Isaya 9:6-9

5. EL-OHEEKA- Bwana Mungu Wako Kut 20:2,5,7

6. EL-ELYON -Mungu Aliye Juu Sana Mwanzo 14:18

7. EL-OHIM- Muumbaji wa Milele Mwa 1:1

8. YEHOVA- SABAOTH Bwana wa Majeshi 1Samwel 1:3

9. JEHOVA TSIDKEMU -Bwana ni Haki Yetu Yeremia 23:6

10. JEHOVA RAPHA- Mungu Atuponyae,kutoka 15:26

11. JEHOVA MEKADDISHKEM- Mungu atutakasaye Kutoka 31:13

12. JEHOVA ROHI-Bwana Mchungaji Wangu Zaburi 23:1

13. JEHOVA JIREH- Mungu Atupaye /Atoaye Mwanzo 22:14

14. JEHOVA HOSEENU -Bwana Aliyetuumba Zaburi 95:6

15. JEHOVA NISSI- Bwana ni Beramu (Bendera)
yangu
Kutoka17:15

16. JEHOVA SHALOM -Bwana ni Amani, waamuzi 6:24

17. JEHOVA SHAMMAH -Bwana Yupo Hapa, Ezekiel 48:35

18.El-hai-Mungu aliyehai,Joshua 3:10,1 Samwel 17:26

19.El-elohe-israel-Mungu wa Israel, Mwanzoh 33:20

20.El-Olam-Mungu wa milele,Ufunuo 4:8,kutoka 3:14

Majina haya yapo katika Lugha za kiebrania

Shetani sio mwili ni roho na roho ikizaliwa haifi
Nakubaliana nawe lakini unaposema Jehova Shammah kwa mfano,tafsiri yake ni MUNGU mwenye nguvu,,ukitazama hayo yote yanaleta sifa ya huyo Mungu,ambaye jina lake thabiti ni MUNGU,Orodha yako yote inaanza na MUNGU nakumalizia na sifa(labda ni kwa sababu ya utofauti wa lugha,hoja yangu ni kwamba kwanini MUNGU ASINGEITWA JUMA,AMA MWIJAKU,AMA MSHANA NK,AKAITWA MUNGU,kunipatia hayo majina yeye sifa ni sawa na kuniambia JUMA MJANJA,JUMA MPOLE,JUMA MWIZI,JUMA MPONYAJI NK.I want a clear fact why was he name GOD and not other name,when you look carefully your bible,the bible detailed why LUCIFER was so named with that name,but not GOD.
 
Mungu wana majina mengi.
Kwenye Kiswahili kuna mswahili mmoja alitunga neno Mungu
Wasukuma wanasema Seba
Wazungu wanasema God
Wachina wanasema 上帝
Wahindu wanaita ਹਡਜਗ
hilo ni suala la maana katika lugha husika,ukirudi katika uhalisia wa kuitwa hivyo na tukawa na tafsiri hiyo moja,yaani MUNGU mbaye ni GOD,ambaye ni SEBA nk,ningesemabasi kwanini LIITWA SEBA na sio ELIA,ndio hoja yangu
 
Paragraph ya mwisho ni sawa, ila ulivyo anza juu ya jina ni swali la kitoto
Jibo hoja acha uvivu,ni ulize mimi kwanini naitwa AIMENTER na sio G'taxi nitakujibu kwanini naitwa hivyo na sio vinginevyo,hebufanya kama kweli unakichwa chenye ubongo wenye akili,labda kama unakichwa chenye ubongo ulio kosa akili naweza kufunga mjadala nawe ukithibitisha hili
 
Angepewa hilo jina jingine ungekuja hapa kuuliza kwanini hakupewa hili alilonalo leo.
ingekuwepo sababu ya msingi yakupewa hilo jina lahasha angepewa lakini naweza kuzani haikuwepo isipokuwa ya jina hili MUNGU,ndicho hicho nakitafuta
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom