sheria

  1. D

    JamiiForums Tanzania Sheria zinasemaje kuhusu Polisi kuvamia ubalozi na kukamata mtu bila ruhusa ya balozi husika?

    Kiutaratibu naona jeshi la Polisi ni kama wamefanya uvamizi nje ya ubalozi wa Ujerumani na kukamata mtu akiwa kwenye ombi la kuonana na balozi husika. Mbaya zaidi balozi wa Ujerumani nchini hakuwa na taarifa hizo. Sijui sheria zinasemaje ila nahisi jambo hili litazua hisia sana kutoka kwa pande...
  2. JamiiForums Tanzania Itatokea nini kama 'SIMBA' akiwala na kuwamaliza wanyama wote porini? Madhara ya CCM vs CCM

    Ikiwa bunge lijalo ni la CCM tupu na limetokana na kuua wapinzani wote porini (Tanzania) haya ndio madhara yanayoenda kutokea ambayo wayajuao ni wachache. 1. Wananchi kukosa wawakilishi wao bungeni. Wawakilishi kwa maaana ya watetezi wao, kwasababu wote waliopita kupitia CCM hawana ubavu au...
  3. JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Magufuli: Hamasishaneni mkapige kura kesho. Ukimaliza rudi nyumbani ili kuitunza tunu ya amani na mshikamano tulionao

    RAIS Dk. John Magufuli amewataka Watanzania kutumia utashi wao kuchagua viongozi wanaowafaa, watakapokwenda kwenye vituo vya kupigia kura kesho. Akizungumza jana wakati wa uzinduzi wa msikiti uliojengwa katika Wilaya ya Chamwino jijini Dodoma, aliwataka Watanzania kuhamasishana kwenda kupiga...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Je, sheria kweli ni msumeno? Dkt. Mwinyi awataka Wazanzibari wajitokeze wengi wakampigie kura za ndio tarehe 27 Oktoba

    Wapwa Dr Mwinyi amewataka Wazanzibari wajitokeze kwa wingi kumpigia kura za ndio tarehe 27 October, ikumbukwe Mgombea wa ACT Maalim Seif aliwambia Wazanzibari wajitokeze tarehe hiyo hiyo 27 akapigwa nyundo na ZEC siku 5. Tunatega sikio kusikia kauli ya ZEC ya kumuita na kumpiga nyundo ya siku...
  5. JamiiForums Tanzania Kinga kwa Rais aliyeko madarakani na wastaafu ni kichocheo cha uvunjaji haki, Iangaliwe upya

    Katika nchi yetu kuna sheria za ajabu sana, mojawapo ni hii ya kumlinda Rais Mstaafu kutokana na makosa aliyoyafanya akiwa Rais. Habari juu ya Ufisadi uliofanyika katika awamu ya tatu ya Uongozi wa nchi yetu ni dira tosha ya kutufanya tufikirie upya juu ya Kinga ya Rais Mstaafu ya kutoshitakiwa...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini watumishi wa Umma waliokatazwa na sheria kujihusisha na siasa wanavaa nguo za vyama vya siasa?

    Wapo watumishi wa mahakama, tume, vyombo vya dola na taasisi nyingine wamekatazwa na sheria kwa kipindi chote Cha utumishi wasijihusishe na siasa lakini aidha kwa kujua au kutokujua leo wanavaa nguo za vyama, wanaposti picha kwenye mitandao wakiwa na nguo za chama Cha siasa na kuandika katika...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Askofu Gamanywa: Haki ni tunda la utii wa sheria vs Shehe Kishki: Haki ni tunda la uhuru wa binadamu. Ipi ni sahihi?

    Askofu Gamanywa ameitafsiri Haki kama tunda la utii wa sheria na kwamba Sheria ndio hutoa haki. Gamanywa amesema Amani ni muhimu kuliko haki kwa sababu Haki hubadilika badilika kulingana na mabadiliko ya sheria lakini Amani iko pale pale. Naye shehe Kishki ametofautiana na askofu Gamanywa kwa...
  8. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Je, sheria inaruhusu Mgombea Urais wa JMT Tundu Lissu kumpigia kampeni mgombea urais Zanzibar, Maalim Seif?

    Nafahamu kwamba sheria hairuhusu mgombea urais wa JMT mh Membe kumpigia kampeni mgombea urais wa JMT mh Tundu Lissu Hali ikoje pale Maalim Seif wa Zanzibar anapopanda jukwaa la CHADEMA na kumpigia kampeni Tundu Lissu? Au Tundu Lissu kumpigia kampeni Maalim Seif? Maendeleo hayana vyama!
  9. JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Mahera: Kuna watu wana chokochoko, wasimamizi wa uchaguzi fuateni sheria kuepuka shari

    Mkurugenzi wa Uchaguzi Dkt. Wilson Charles amewaagiza wasimamizi wa Uchaguzi ngazi ya majimbo kutekeleza majukumu yao kwa kuzingatia sheria ili kuepuka malalamiko yanayoweza kusababisha uvunjifu wa amani. Dkt.Charles ametoa agizo hilo wakati anafungua mafunzo ya uchaguzi kwa wasimamizi wa...
  10. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Polisi ihakikishie vyama vya siasa kuwa utekwaji wa mawakala hautakuwepo na Tume iwahakikishie haita waengua bila kufuata sheria na taratibu

    Kuanzia mchakato wa kuwateua Wabunge na madiwani na kukiuka maadili ya chama mengi yameshuhudiwa na malalamiko kwa tume ni mengi sana ambayo hayajajibiwa hadi leo. Maswali ni mengi na imekuwa kama siri, sasa kama tume inafanya siri sisi wananchi tutaiamini au ni njama za upendeleo. mfano wa...
  11. JamiiForums Tanzania Kwanini academic certificates zinafanyiwa verification kwa wataalam wa sheria badala ya taasisi husika ya elimu kama RITA wafanyavyo kwa vyeti vyao?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Ndugu zangu Watanzania eti; Kwanini academic certificates zinafanyiwa verification kwa wataalam wa sheria badala ya taasisi husika ya elimu kama RITA wafanyavyo kwa vyeti vyao? Nilipokuwa ninamsaidia mdogo wangu kuomba mkopo wa elimu ya juu...
  12. JamiiForums Tanzania Wasaidizi wa sheria wa majaji rufani wafundwa mashauri ya uchaguzi

    Jaji Mkuu Mstaafu wa Tanzania, Mhe. Mohamed Chande Othman amewataka Wasaidizi wa Sheria wa Majaji kutumia taaluma yao na kuzingatia umahiri na weledi katika uendeshaji wa mashauri ya uchaguzi sambamba na kujiepusha na ushabiki wa kisiasa. Akifungua mafunzo ya Wasaidizi wa sheria 39 wa Majaji wa...
  13. JamiiForums Tanzania Vijana mnaosoma sheria, jikiteni sasa kwenye sheria za uchaguzi

    Tanzania inapitia kipindi cha mabadiliko makubwa sana ya kisiasa. Alichojaribu kufanya Magufuli na serikali yake katika hii miaka mitano na resistance aliyoipata hasa kipindi hiki cha uchaguzi ni uthibitisho wa kile ninachokisema. Mfumo wetu wote wa siasa unabadilika mbele ya macho yetu, kuanzia...
  14. JamiiForums Tanzania DC Sabaya: Wanaolitumikia Jeshi la Polisi nao ni binadamu na kuna mahali huwa wanafika wanakasirika. Msivunje sheria halafu mnataka huruma nyepesi

    Mkuu wa wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya, amesema hakuna Askari aliyemzuia Mbowe kufanya kampeni na kwamba hata video inayosambaa mitandaoni ikimuonesha yeye na Askari wakibishana ni kwa sababu alivunja utaratibu kwa kutaka kufanya kampeni eneo ambalo hakutakiwa kinyume na kanuni za Tume. Kauli...
  15. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kwanini IGP Sirro na Jeshi la Polisi hawawashughulikii Wasimamizi wanaokiuka Sheria na kuvuruga Kampeni na Uchaguzi?

    ..IGP Sirro na jeshi la Polisi wamekuwa mstari wa mbele kukemea wanasiasa wanatoa kauli ambazo ameziita za kichochezi, na za shari. ..Kauli ambazo IGP amekuwa akizikemea mara nyingi huelekezwa kwa Nec na Wasimamizi wa uchaguzi. ..Je, tatizo ni wanasiasa wakorofi na washari, au tatizo ni...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu anakaguaje ujenzi, maendeleo na uhai wa chama usiku? Je, sheria inaruhusu?

    Mimi siyo Mwanasheria ndio maana naomba kuelimishwa huu utaratibu wa wanachama kukutana usiku kujadili ujenzi na uhai wa chama Je, isingewezekana mkutano wa CHADEMA Kibaha na Mlandizi ikaahirishwa hadi leo asubuhi au mchana? Majibu Tafadhali. Maendeleo hayana vyama!
  17. B

    JamiiForums Tanzania Mafao: Kwanini Hela zangu zitungiwe sheria za ajabu?

    "Kwa nini hela zangu zitungiwe sheria za ajabu?" Amesikika mdau mmoja aliyeachishwa kazi na bahati mbaya kupata ajira nyingine imekuwa ngumu kwake. Alipofuatilia mafao yake NSSF kaelezwa akae miezi sita ndio atalipwa stahiki zake na atakuwa akilipwa asilimia 33 ya mshahara wake wa awali Huyu...
  18. F

    JamiiForums Tanzania Chuo kikuu cha Dar es Salaam kilianza rasmi 01/10/1961. Ni kina nani wanafunzi 14 wa Kwanza wa Kitivo cha Sheria ambao ndiyo wazinduzi wa chuo hiki?

    Wadau habari za Jumapili? Historia inaonesha chuo kikuu cha UDSM kilianza rasimi 01/10/1961. Kilianza na Kitivo cha Sheria, yaani Faculty of Law ikiwa na wanafunzi 14 tu. Baadae kadri muda unavyokwenda vitivo vingine viliongezwa sambamba na udahili wa wanafunzi kuongezwa. Saivi ni chuo cha...
  19. JamiiForums Tanzania GE2020 Jaji Mutungi avitaka Vyama vya Siasa kuheshimu Sheria na Taratibu za Uchaguzi

    Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi amewataka viongozi wa vyama vya siasa na wadau wote kuheshimu Sheria na Taratibu za Uchaguzi kama zilivyoainishwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), ili kuepuka migogoro isiyo ya lazima. Akizungumza Jijini Dar es Salaam, katika kikao kati ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…