sheria

  1. JamiiForums Tanzania Google, Twitter na Facebook zatishia kuacha kutoa huduma Hong Kong

    Kiongozi wa Hong Kong amepuuza onyo na Kampuni kubwa za Teknolojia zikiwemo Google, Facebook na Twitter zilizosema zinaweza kuacha kutoa huduma katika Jiji hilo ikiwa Mamlaka zitaendelea na Sheria mpya ya faragha. Mamlaka zimeainisha mipango ya kupitisha Sheria mpya inayolenga kitendo cha...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tuzungumze kuhusu Vyama vya Ushirika na Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania

    Tuzungumze kuhusu ushirika na kinachoendelea juu ya mabadiliko ya Sheria ya vyama vya ushirika Na. 6 ya mwaka 2013. tuzungumze juu ya Time ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania. Tuzungumze juu ya umuhimu wa Maafisa ushirika nchini, na je ni kwanini serikali haioni umuhimu wao? Pia kwanini Tume ya...
  3. JamiiForums Tanzania Mdude Nyagali, shikilia hapo hapo na usipoe

    Kijana tunajua spirit yako ni moto sana, Hujawahi kuwa dhaifu hata siku moja, toka umetekwa mara ya kwanza na hata ulipokaa jela zaidi ya mwaka na nusu. Walitumia silaha yao ya kuteka, kutesa na kukubambikia madawa ya kulevya, walipoona haupoi, wakaamua kukubambikia kesi ya kubumba. Hawa CCM...
  4. JamiiForums Tanzania Awamu iliyopita ilituondoa kwenye Staha na Utu wa Kiafrika, sasa ni zama za kufuata Katiba na Sheria

    Wakati wa kampeni za uchaguzi mwaka jana, haya yalipatwa kunenwa na aliyekuwa makamu wa rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Je, hapo alinena kama mama, kama makamu wa rais na mjumbe wa kamati ya usaama ya taifa au kama mwanasiasa? Kwa kauli hii mama alikuwa na staha kweli hasa kwa raia wa...
  5. JamiiForums Tanzania Nini kinachotuongoza? Sheria na Katiba au hila na fadhila za Rais?

    Wanasema eti kuuliza si ujinga! Wakati ujinga ni hali ya kutojua kitu au jambo fulani. Sasa kama kitu unakijua au jambo unalijua, unauliza ili iweje sasa? Baadhi ya hii misemo ya Kiswahili ukiichambua kwa undani utabaini haina mantiki kabisa. Ah! Hayo ya misemo ya Kiswahili tuyaache kwa leo...
  6. JamiiForums Tanzania Dkt. Ndugulile: Sheria ya ulinzi wa taarifa binafsi inakuja

    Picha: Dkt Faustine Ndungulile Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dkt Faustine Ndungulile ameeleza azma ya serikali katika kuanzisha Sheria ya ulinzi wa taarifa binafsi (Personal Data Protection). Dkt. Ndugulile amesema serikali inathamini jambo hili linalozidi kuwa maarufu...
  7. JamiiForums Tanzania Sheria au Sera gani inayotuongoza katika kufungua uchumi kwa hisani ya wawekezaji?

    Salamu! Ni vyema tunaposema kuwa tunaenda kufungua uchumi kwa kualika wawekezaji wa nje tuwe na sera mahsusi na sheria dhibiti zinazotuongoza katika utekekezaji. Iwapo Sera na Sheria zetu ni duni katika hili tutegemee kuanguaka kiuchumi. Je, Sheria au Sera ya kufungua uchumi kwa hisani ya...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Elimu kwanini sheria ya bodi ya mkopo ina ubaguzi?

    1.Ilipoanzishwa VRF 6% mwaka 2013 ikatumiwa kwa wote hata wale waliokopa kabla ya 2013. 2. Ilipoanzishwa makato 15% mwaka 2016 ikatumika kwa wote hata wale waliokuwa wanakatwa kabla ya 2016. 3. Ilivyofutwa VRF 1st May 2021 na Rais Samia imeanza kutumika kuanzia mwezi huo huo May 2021. Huku...
  9. JamiiForums Tanzania Sheria inasemaje ukifanya maamuzi ya kuuza Mali bila mshirikisha mweza wako au familia

    Watalamu tunaomba msaada wa hili Jambo una mashamba yako ambayo ulinumua kwa hati ya manunuzi ikiwa na jina lako familia inajua mkeo au mumeo anajua tuna mashamba uko Morogoro. Kutokana na changamoto za hapa na pale unaenda chukua hati unauza lile shamba bila mshirikisha mumeo au mkeo baada ya...
  10. JamiiForums Tanzania Askofu Benson Bagonza: Kuweka nchi sawa ni kazi isiyoisha

    Askofu Dkt. Benson Bagonza, Askofu Mkuu wa kanisa la KKKT Dayosisi ya Karagwe "Nampongeza mama kwa "100 kwanza". Namwombea "100 tena" zenye maono mapana zaidi" "Haki na uhuru ni misingi imara ya kuweka nchi sawa. Ukiyaahirisha unajitwisha mzigo mzito. Dai la katiba mpya lina faida kubwa kwa...
  11. JamiiForums Tanzania Inakiwaje rais anadai tufuate sheria wakati huo akivunja katiba juu ya mikutano ya kisiasa

    Ivi hapa mama Samia kapotea. Inaqezekanaje usisitize juu ya kufuata sheria za nchi wakati huo ukivunja katiba ya nchi kwa kuzuia shughuri za kisiasa? Ni sheria ipi inayotaka vyama vifanye mikutano ya ndani pekee? Ni sheria gani inayosema siasa kwa mbunge na eneo lake pekee hapa tanzania?
  12. JamiiForums Tanzania Rais ana uwezo wa kuifuta sheria ya vyama vya siasa (Na. 5 ya 1992) inayoruhusu mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa?

    Kama jibu ni ndiyo, Sheria ipi nyingine ana madaraka ya kuifuta bila kushirikisha Bunge?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Rais kuzuia mchakato wa mabadiliko ya Katiba ni kuvunja Sheria

    Taifa zima limekuwa likidhani kuwa suala la katiba mpya ni hisani ya CCM au rais aliyeko madarakani. Hili jambo siyo kweli hata kidogo. Suala la katiba mpya linaongozwa na Sheria ya mabadiliko ya katiba ya mwaka 2012. Katika sheria hii, hakuna mahali rais amepewa mamlaka ya kuzuia mchakato wa...
  14. JamiiForums Tanzania Waziri wa afya wa Uingereza ajiuzulu kwa kuvunja sheria za corona

    Waziri wa afya wa Uingereza Matt Hancock amejiuzulu. Hancock amejiuzulu baada ya kuvunja sheria ya kuthibiti kuenea kwa virusi vya corona kwa kuweka umbali wa mtu mmoja hadi mwingine akiwa na msaidizi wake mkuu Gina Coladangelo anayedaiwa kuwa na uhusiano wa kimapenzi naye. Gazeti la The Sun...
  15. JamiiForums Tanzania Fatuma Karume: Mwambieni Ndugai Kanuni za Bunge si Sheria za Nchi, hazituhusu sisi

    Swali kwa Job: Kwani Wanahabari ni Wabunge mpaka uwapeleke kwenye Kamati ya Maadili ya Bunge? Ushauri wangu ni: Job soma kanuni ya 2 ya Kanuni za Bunge. Kanuni zenu zinatumika kuendesha Bunge na si NCHI. Hazituhusu sisi. Si SHERIA za Nchi. Bunge si Mahakama. Halina MAMLAKA la kumuhukumu mtu...
  16. JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa kisheria kuhusu changamoto hii niliyoipata katika kiwanja changu

    Habarini za Majukumu Wadau. Naomba msaada wenu wa ushauri kisheria kulingana na tatizo langu. Mimi nilinunua kiwanja cha makazi vilivyo kuwa vinauzwa na halmashauri X, sikukiendeleza kile kiwanja kwa muda wa miaka kadhaa. Baada ya kujipanga na kuwa tayari kukiendeleza kile kiwanja...
  17. JamiiForums Tanzania Sigara Vs Bangi: Kwanini bangi haramu na sigara si haramu?

    Kwa nini serikali zote duniani zinaendesha vita dhidi ya matumizi ya bangi mpaka leo lakini zikiiacha sigara kuwa biashara halali wakati tafiti za kutosha zinaonyesha sigara ni chanzo cha matatizo mengi sana makubwa ya kiafya kwa binadamu tofauti na bangi? Tafiti zimeonyesha sigara ni...
  18. JamiiForums Tanzania Tupate somo fupi kuhusu sheria ya FIFA namba 11

    Hii ni somo fupi iliyoambata na mifano halisi juu ya sheria namba 11 (kuhusu offside). Ni moja ya sheria inayowapa shida watu wengi sana kuitafsiri. Mfano kwenye mechi ya Yanga vs Mwadui kuna watu wanasema ile ni offside na wengine wanasema ni goli halali. Ukipitia hii video itakupa mwanga...
  19. JamiiForums Tanzania Serikali itunge sheria; iwe lazima mmiliki wa nyumba au kiwanja kupanda miti isiyopungua minne

    Nawasalimu wana Jamvi. Mi sina mengi, lakin kutokana na mabadailiko ya kimazingira naona ni muhimu kwa serikali kuja na sheria pamoja na sera itakayo tamka kuwa kutokupambana miti ni kosa la jinai na mmiliki wa nyumba au eneo atapaswa kuwajibika. Kwa mfano kwa kwa kila nyumba au kiwanja...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Tanzania wananchi tunawaogopa viongozi badala ya Sheria? Je, viongozi hawawaheshimu waajiri wao ambao ni wananchi?

    Nimekuwa nikijiuliza mawaswali mengi pamoja na hayo ya utanguzi. Je, hii inatokana na Katiba mbovu? Au wananchi hatuzijui haki zetu ndani ya Katiba? Viongozi Wana kiburi Cha madaraka? Maana tunatofauti na majirani zetu hata waganda wanatuidi japokuwa mu7 ana watawala kwa mkono was chuma...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…