Haki ya Mungu CEO Senzo hata kusimamia tu utumiaji wa jezi hawezi halafu wachambuzi takataka wanakuambia jamaa ni kichwa kishenzi yaani wanasema alikuwa kamati ya maandalizi ya world cup jamaa ni genius hatari
Kwa mujibu wa mbunifu wa jezi za Young Africans Sports Club Sheria Ngowi alisema...
TAMWA bado inahimiza mabadiliko ya Sheria ya ndoa ya mwaka 1971 ambayo haiwalindi wasichana dhidi ya kuolewa. Sheria hii inaruhusu wasichana wenye miaka 14 kuolewa kwa (ruhusa maalum ya wazazi), inaruhusu wasichana wenye umri kuanzia miaka 15 kuolewa iwapo umbile lao linaonekana kubwa
Hali hii...
Japo yawezekana kuna mambo yanaweza kukidhi lakini siyo sahihi kuchukua bunduki na kuua police.
Kama alidhurumiwa kwa nini hakuenda kulipoti police?
Yani wanasiasa wa upinzani mnachanganya RAIA kabisa.mnamtetea anayejichulia sheria mkononi na kwenda kuua watu? You can not be serious?
Uchambuzi huu unahusisha kanuni zinazotokana na Sheria ya Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta (EPOCA) ya mwaka 2010, na unapendekeza kufanyia mabadiliko Kanuni zilizowekwa mwaka 2020.
============
ANALYSIS OF TANZANIA's ONLINE CONTENT REGULATIONS AMENDMENTS(2021) by JAMII FORUMS
MAJOR...
Wasalaam wanajukwaa,
Naweza kudiriki kusema kwamba kuna mahali kama taifa tumeshiba sana tuna la amani na ulivyo na amani tuliyonayo ndiyo maana kikundi kidogo cha watu wachache wasiofikiria mbali hakioni aibu kumbambikia kiongozi mkubwa kesi mbaya ya ugaidi ilimradi tu akose dhamana akae...
Kuna SHERIA inaitwa: Judiciary Administration Act ya 2011. Ina weka wazi MAMLAKA ya Chief Court Administrator. Hana MAMLAKA ya kuingilia kazi ya kutoa HAKI au MAGEREZA! Mahakama iliamua kuweka CIVIL SERVANT kuADMINISTER na si kutenda HAKI!
Rais Samia Suluhu Hassan ambaye ni Rais wa Jamhuri ya Tanzania anapoakea ripoti ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 2020, Ikulu Dar. Katika Uchaguzi huo, Mgombea wa CCM Hayati Rais John Magufuli akiwa na Samia Suluhu kama Mgombea mwenza walishinda
Rais Magufuli alipofariki Machi 2021, aliyekuwa...
Akihojiwa na Sarah Wambui Mwangi akiwa Nairobi Tundu Lissu alisema kabla ya kuangukia kwenye siasa alitamani sana kuwa PROFESA wa Sheria ili arudi kufundisha UDSM. Ufinyu wa bajeti uliokuwepo Chuo wakati huo wakati huo haukuwezesha ajira yake kufanikiwa na hivyo akaingia kitaa kutafuta ajira...
Hivi sheria za tozo mpya kila siku nani anatunga? Wabunge wanachojua wao ni kupandisha bei za vitu na kutupa maisha magumu kila
Siku. Nani ataliongelea hili. Mtu ana mshahara wa millioni 11 kwa mwezi ila hatusikii wao wakikatwa. Kodi za nyumba zao zinalipwa na serikali, mafuta kwenye magari yao...
Leo tarehe 19 Agosti, 2021 nimeweza kusikiliza kipindi cha CMA - Commission for Mediation and Arbitration kilichorushwa na TBC.
Katika mahojiano hayo yaliyoendeshwa na Lusekelege Mpula wa CMA ambae ni Afisa Mfawidhi wa CMA Kanda ya Dar, ameweza kueleza ni jinsi gani CMA imejikita kuhakikisha...
Wakuu Nielewesheni Wajuzi tafadhali!
Zinazuka Taarifa za kimkataba hapa kuhusu Hii ishu ya Yusuf Mhilu na Sakata la usajili wake kama si Usahili .
Nasikia hii ya Release Clause ,Kwamba hii haikuwepo kimkataba kuipa nguvu Dili upande wa klabu ya Kagera , SAWA
Nasikia hii ishu ya Kipengele cha...
Sasa BASATA mnafanya kazi nzuri kuzuia au kupunguza unyonyaji wa wasanii, Sasa Kuna inshu kubwa ya hao mnaowatetea pia hao ni wanyonyaji wakubwa Sana wa Maproducer, yaani producer wamebaki chawa, ifwatwe Sheria biti ibaki Mali ya producer na Kama diamond akiuza stream mil 10 basi na lizer apate...
Taifa letu linatia aibu sana, maana ni kama hatuko ulimwengu wa karne ya ishirini na moja, ambayo inataka kuwe na usawa kwa binadamu wote. Maana hakuna ambaye ni special zaidi ya mwingine.
Kuna watu wanaua raia wenzao, wanatesa raia wenzao wakiwa mahabusu na kuwapiga mpaka wanakuwa vilema...
Tukubali ukweli tu kuwa chama chetu hakina watu mahiri na makini kama enzi za akina Marando wa Nccr mageuzi.
Kesho mwamba ataletwa Kisutu na kisha kusomewa Commital. Naona wanasheria wa mwamba wanalalamikia kukamatwa kwake lakini hawajasema kama watamchomoa,means wamekubali yaishe.
Enzi zile...
Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akutana na kuzungumza na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Profesa Edward Hoseah na Mwenyekiti wa Chama cha Majaji na Mahakimu Wanawake Tanzania (TAWJA) Jaji Joaquine De-Mello, Ikulu Chamwino Jijini Dodoma leo tarehe 11 Agosti, 2021.
My Take:
Naona...
Watumishi wa Drs la 7 walioondolewa kwenye utumishi wa umma mwaka 2017 halafu mwaka 2020 wakapewa barua rasmi za kusitisha ajira na kulipwa kiinua mgongo, likizo na nauli.
Swali je, kati ya mwaka 2017 - 2020 Yani miaka mitatu kipindi "wanasota" kusubiri hatma yao kuna stahiki yoyote kisheria...
SIKU zote ninaamini kuwa jamii inayojadiliana mambo yao kwa uwazi bila hofu ya kuhojiwa na dola ni jamii hai. Utamaduni wa mijadala na malumbano ya hoja huzaa maendeleo. Hii ni kwa sababu sisi binadamu ni tofauti na wanyama hayawani wanaoongozwa na hisia-silika. Hawana utashi ndio maana...
Utupaji wa taka hovyo ni changamoto za utunzaji wa mazingira, Serikali na wadau mbali mbali wanaweza kutoa elimu juu ya utunzaji wa mazingira.
Kuanzisha sheria itakayopinga utupaji wa taka hovyo, Kutengeneza dustbin kubwa na kuziweka kwenye maeneo yenye mikusanyiko ya watu kisha zikijaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.