Hii ndo habari iliyotufikia hivi punde, kwamba msafara wa Makamu Mwenyeki (Chadema),Mh lissu ,umezuiliwa kuingia Ngorongoro ili kufanya Mkutano wake na wananchi wa Ngorongoro,
Hata ivyo taarifa za awali zinasema msafara wa M/mwenyekiti mh Lissu, wamefunga barabara na wamehaidi kutohondoka...
WAKILI MWABUKUSI ANATAKA MKUU WA MAJESHI AZUIE UVUNJIFU WA KATIBA.
"Nchi inaongozwa kwa mujibu wa sheria na katiba. Kazi ya kukamata wa halifu ni ya Jeshi la Polisi. Jeshi la wananchi halina mamlaka kisheria na kikatiba kuingia kufanya msako mitaani kwa kisingizio cha kutafuta sare zao. Jukumu...
Wanabodi,
Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa huja na makala zangu elimishi za Kwa Maslahi ya Taifa, ambazo zinachapishwa kwenye gazeti la Nipashe kila siku za Jumapili.
Leo naendelea na sehemu nyingine ya Ijue Katiba ya JMT kwa jicho la mtunga katiba. Sehemu ya kwanza nilifundisha katiba ni...
Kwa wasomaji wapya, leo ni muendelezo wa sehemu ya pili ya somo la Ijue Katiba ya JMT kwa jicho la mtunga katiba. Sehemu ya kwanza ilitoka wiki iliyopita, Ijue Katiba ya JMT-1: Katiba ni nini, ya nani, ya kazi gani? Msemo "Katiba ndio kila kitu" Una maana gani? Katiba ina umuhimu gani...
Mwigulu Nchemba amependekeza kwenye Sheria mpya ya Manunuzi Serikali inunue Ndege, Vichwa vya Treni, Mabehewa ya Treni, Meli zilizotumika badala ya kuagiza mpya na wabunge wanasherehekea bungeni kwa sababu wanajua wananufaika na nini kufanya maamuzi hayo.
Sheria hii ikipita iko siku taifa...
Sheria ya Makosa ya Adhabu namba 16 na Kanuni zake haimzuii mtu kumiliki wala kuvaa mavazi rasmi ya Jeshi ikiwa vazi hilo rasmi litavaliwa kwaajili ya matamasha au maigizo yanayowakilisha Jeshi lolote la Polisi kwa "Nia Njema"
Kifungu cha 178 kifungu kidogo 1, 2 na 3 cha Sheria hii pamoja na...
MBUNGE EDWARD LEKAITA AKICHANGIA MSWADA WA MABADILIKO YA SHERIA YA KANDA MAALUM YA UWEKEZAJI (MAUZO YA NJE) NA UCHUMI
Mhe. Edward Ole Lekaita akichangia Bungeni jijini Dodoma katika Mswada wa Mabadiriko ya Sheria ya Kanda Maalum ya Uwekezaji na Mauzo Nje ya Nchi na Mswada wa Mabadiliko ya...
Nchini Tanzania kwa sheria za sasa , shambani kwako kukikutwa madini , basi haraka sana madini hayo na shamba lako hilo vinageuzwa kuwa mali ya serikali , na baada ya muda mfupi wataletwa wawekezaji wa kiarabu au wa kizungu kuchimba madini hayo , huku wewe ukitimuliwa kwa mijeledi au hata...
Posho ya vijana wa mujibu na vijana wa kujitolea huwa sawaa nadhani hii huchangia kwa kiasi fulani kupitia kwa baadhi ya Vitu vya vijana wa mujibu wa sheria (kuluta).
Mana vijana wanao jitolea huwa hawana kazi extra kwaajir ya kuendesha maisha na kujikimu wenyew katika nguo,mafuta na maitaji...
Serikali inaendelea kufanya mapitio ya sheria ya utumishi ili kupata muarobaini wale wote wanaojitolea katika taasisi mbalimbali za umma.
Hayo yameelezwa leo Jumatatu Septemba 04, 2023 Bungeni Jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Utumishi na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete wakati akijibu swali la...
Uhaini ni kosa la jinai . Ni kosa kati ya makosa makubwa ya jinai. Katika jinai yapo makosa makubwa na yapo makosa madogo.
Yumkini udogo na ukubwa wa kosa waweza kupimwa kwa kutizama adhabu ya kosa. Kosa ambalo huadhibiwa kwa adhabu ndogo huwa ni...
Nimemsikiliza askari aliyekuwa akihojiwa na CloudsTV anasema sheria ya mavazi ya jeshi unasema;-
"Ni marufuku raia kuvaa sare za jeshi ama mavazi yanayofanana na sare za jeshi". Ili iweje?
Yaani ktk zama hizi za sayansi na teknolojia bado jeshi letu linataka kujitofautisha na raia kwa mavazi...
Jamani hili Taifa letu tunaendaje? Vyeo vinakuwa vingi Sana. Ina maana ofisi ya Waziri Mkuu imekuwa kubwa sana mpaka utendaji unakuwa Mdogo na kuamua kuiongeza nguvu kumpa msaidizi vipi? Vipi wizara zilizo chini yake?
Ningependa kujua majukumu ya Naibu Waziri Mkuu yatakuwa yapi kwa mujibu wa...
cheo
huwa
katiba
kisheria
kuanzishwa
majukumu
manaibu
mkuu
mujibu wa sheria
nafasi
naibu waziri
nyeti
ovyo
sana
sheria
ufafanuzi
viongozi
waliowahi
waziri
waziri mkuu
yapi
Kwa kumbukumbu zangu hii Wizara haina Waziri aliyekaa zaidi ya mwaka mmoja na nusu Taingia awamu ya tano mwishoni.
Embu tusaidieni wanabodi. Kuna tatizo gani?
Mawaziri wa Katiba na Sheria kuanzia mwaka 2015
2015 -2017
Mhe.Dkt Harrison George Mwakyembe (Mb)
2017 - 2019
2019 - 2020
2020 -...
Serikali imeyaondoa mapendekezo yaliyopelekwa Bungeni ya kufanya marekebisho ya sheria ya Sheria ya Mamlaka ya Nchi Kuhusiana na Umiliki wa Maliasili ya mwaka 2017 na Sheria ya Mapitio na Majadiliano Kuhusu Masharti Hasi Katika Maliasili ya nchi ya mwaka 2017 kuwa zisitumike katika miradi ya...
Nawasalimu Kwa jina la JMT...🇹🇿
Jana katika pita pita zangu nilikutana na Taarifa kutoka ikulu ikisema kuwa Rais amemteua Bw Hussein Massoro Kuwa balozi na kumuweka Balozi Ali Idi Siwa kuwa DG mpya TISS. (kongole kwake).
Japo jambo hilo lilizua mijadala mingi ikiwemo uwepo wa Tengua tengua Ya...
Inasemekana huko mitandaoni kuwa Serikali ya China imepitisha Sheria ya kupinga Mapenzi ya Jinsia Moja(ushoga), na Adhabu kali kwa yeyote atakaye jihusisha na na Mapenzi ya Jinsia Moja ndani ya nchi hiyo.
Enzi za utawala wa Mwinyi miaka ya 80, mwanasiasa machachari Joseph Mtikila alikuwa akimuita Rais Mwinyi ni ‘TX’ kutoka Zanzibar na aliwahi kumwambia arudi mwenyewe Zanzibar kabla hajarudishwa kwenye jeneza, hii ilikuwa kwenye mkutano wa hadhara viwanja vya Jangwani kwa waliokuwepo wakati huo...
Utawala wa William Ruto umeshutumiwa kutokana na mwenendo deni la Taifa nchini Kenya huku akiwa ndiye Rais aliekopa pesa nyingi zaidi ndani ya mwaka mmoja tangu Taifa la Kenya liumbwe.
Deni hilo limeongezeka kwa $ bilioni 10.8 kufikia $ bilioni 70.75 kulingana na takwimu zilizotolewa Jumanne...