sheria

  1. JamiiForums Tanzania Chuo Kikuu cha Jawaharlal Nehru chamtunuku Rais Samia Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa (Doctorate Honoris Causa), leo Oktoba 10, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiendelea na ziara yake ya kitaifa nchini India tarehe 10 Oktoba, 2023. https://www.youtube.com/live/VuNUt9YAn8Q?si=JkkkUnFuBzu6q8PP Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametunukiwa Shahada ya Heshima ya...
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto aidhinisha Sheria ya kubinafsisha Mashirika yanayoendeshwa kwa hasara

    Rais wa Kenya William Ruto ameidhinisha Muswada wa Ubinafsishaji wa mwaka 2023 ambao sasa umekuwa Sheria ukilenga kuondoa urasimu katika Ubinafsishaji wa Mashirika ya Serikali yasiyo ya Kimkakati na yanayoendeshwa kwa hasara. Imeelezwa kuwa Sheria hiyo mpya pia itasaidia Serikali kuongeza...
  3. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bunge la Kenya lapitisha sheria kwamba nyumba zote zitakazojengwa ziwe na mfumo wa kusambaza gesi

    Hawa ndio watu serious kwenye masuala ya miundombinu na maendeleo ya matumizi ya gesi asilia hata kama hawazalishi gesi hiyo! Tanzania pamoja na kuwa na gesi nyingi hatujaweza kuisambaza hata Dar ambapo tayari mabomba kutoka Songosongo yalishawekwa zamani. Ni hawa akina Rostam tulioshindwa...
  4. JamiiForums Tanzania Pongezi Rais Samia, Serikali, Kukubali Kubadili Sheria ya Uchaguzi, Tume Huru ya Uchaguzi!. Tuanze na Katiba Kwanza Ndipo Sheria Au?.

    Wanabodi, Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa, huja na makala zangu elimishi kuhusu Maslahi ya Taifa, ambazo ni kuhusu jambo lolote la Kisiasa, Kiuchumi au Kijamii . Bandiko la leo ni pongezi kwa Rais Samia na serikali yake, kukubali kubadili sheria ya uchaguzi, na kuunda Tume Huru ya...
  5. JamiiForums Tanzania Wadau wa habari wakutana na Tume ya Kurekebisha Sheria Zanzibar

    Mkurugenzi wa Chama cha Waandishi wa Habari Tanzania (TAMWA ZNZ) Dkt. Mzuri Issa amesema kuwa ni muhimu kuwa na sheria nzuri za habari ambazo zinapelekea kuwepo kwa uhuru wa habari na uhuru wa kujieleza kwa jamii. Amesema hayo wakati wa mkutano wa kutoa mapendekezo ya marekebisho ya sheria ya...
  6. JamiiForums Tanzania Hivi viongozi wa Tanzania wana sheria zao wenyewe zilizo tofauti na sie wengine?

    Pengine labda ni ujinga wangu. Labda ni mimi tu ambaye sijui. Kama ni hivyo, basi natumaini mtakuwepo mnaojua na hamtosita kunijuza. Hivi viongozi wa Tanzania wanaruhusiwa kukiuka sheria za barabarani? Niko mjini naenda nyumbani. Nyuma kwa umbali wa mita kadhaa nasikia sauti ya king’ora na...
  7. JamiiForums Tanzania Kwenye kupambana na foleni, je sheria hii ni kandamizi au sio kandamizi?

    Foleni ni tatizo linalosumbua wananchi wote tu. Magari ni mengi. Wenye uwezo wananunua magari yao. Magari mengine madogo, mengine makubwa ya familia. Magari ya usafiri wa umma yanabeba watu 45, 72, mia etc.... wakati huo ya binafsi yanaanzia mmoja hadi kadhaa tu. Lakini yote yanachukua...
  8. JamiiForums Tanzania Uzinduzi wa waraka wa mapendekezo ya sheria ili wanawake wengi washike nafasi za uongozi

    Asasi za kiraia zinazotetea haki za wanawake Zanzibar kwa pamoja zitazindua waraka wa mapendekezo ya sheria ambao una lengo la kuwawezesha wanawake wengi kupata haki ya kushika nafasi za uongozi katika ngazi za maamuzi. Uzindizi huo utafanyika siku ya Alhamis tarehe 05 Oktoba, 2023 katika...
  9. JamiiForums Tanzania Jamii inayopenda kuchukua Sheria mkononi ni jamii maskini na yenye watu wenye roho mbaya

    Ukifika mtaa au mji wowote wadadisi jinsi wanavyowafanya wezi wadogo wadogo wa kuku, nguo, au vitu vingine. Ukiona wenyeji wako wanaanza kujisifu kuwa wao huua wezi hiyo jamii imejaa wajinga na wapumbavu na ina watu wenye roho mbaya a.k.a wachawi. Hakuna maendeleo kwa watu kama hao, kuwekana...
  10. M

    JamiiForums Tanzania WAJUZI WA SHERIA: Mgao wa urithi kwa kesi kama hii mnaisolve kivipi?

    Ni familia ya rafiki yangu mmoja. Iki hivi baba yao alioa mke wa kwanza akazaa nae watoto 2. Baada ya mikaa 3 mke alifaliki. Akabaki baba na watoto 2. Ila baadae baba yao akazaa na mwanamke mwingine tuu bila ndoa. Jumla akawa na watoto 3. Ila hawakufanikiwa kufunga ndoa. Ila mwaka 1996 alioa...
  11. P

    JamiiForums Tanzania Waziri Gwajima tengua uamuzi wako wa kuunga mkono sheria ya maadili Arusha, hili ni bomu unatengeneza

    Moja kwa moja kwenye mada, Uongozi wa Kijiji Arumeru, Mkoa wa Arusha ulipitisha sheria ndogondogo za kukuza maadili baada ya matukio ya vijana kuuawa kwa makosa ya kuiba na mmomonyoko wa maadili ikiwemo kunyoa viduku na kuvaa vimini ndio sababu! Waziri Dkt. Gwajima D uko serious kabisa ku...
  12. JamiiForums Tanzania Rais Samia ateua Katibu Mtendaji wa Tume ya Kurekebisha Sheria

    iyeteuliwa ni George Nathaniel Mandepo akichukua nafasi ya Griffin Venance Mwakapeje aliyeteuliwa kuwa Jaji wa Mahakama Kuu Pia, Rais amemteua Dkt. Saudin Jacob Mwakaje kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA). Dkt. Mwakaje ji Mhadhiri Mwandamizi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam...
  13. JamiiForums Tanzania Sheria hazilindi Mabwege, Watu dhaifu; na Mamlaka huheshimu Mamlaka

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Mimi pia ni mdau wa Ile Kanuni isemayo kuwa Watu wote ni Sawa Mbele ya sheria, ikiwa ni nguzo muhimu kwenye Rule of law. Yaani kila mtu anapaswa kuwajibika Mbele ya sheria na hakuna ambaye atakuwa juu ya sheria. Lakini tukija kwenye Falsafa na uhalisia Kanuni...
  14. JamiiForums Tanzania Mungu alishaweka sheria za vyakula, ni kwanini kipengere kisichokuwepo kiliongezwa katika mabano (Kwa kusema hivi alivitakasa vyakula vyote)?

    Kwa kuwa Mungu alituumba na vingine vilivyomo akaona ni kheri atuepushe kula vitu visvyotufaa kama nzi, vyura, konokono, kenge, mbwa, nguruwe, panya, n.k. Kwanini ilitumika nguvu ya ziada kutaka kuaminisha wasomaji wa biblia kwamba Yesu alipowatetea wanafunzi wake kula bila kunawa mikono...
  15. JamiiForums Tanzania Mbunge Idd Kassim aomba Maboresho ya sera na sheria ili kuwanufaisha wachimbaji wadogo

    Mbunge wa Jimbo la Msalala Mkoani Shinyanga ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini Mheshimiwa Iddi Kassim Iddi ameomba kufanyika kwa mabadiliko ya Kisera na Kisheria ili kuendelea kuwanufaisha wachimbaji wadogo wa madini hapa nchini. Mhe. Iddi ametoa maombi hayo...
  16. JamiiForums Tanzania Sheria Za nchi zinasemaje!? Huyu mbona anaachwa tu?

    Fisi maji huyu..!
  17. U

    JamiiForums Tanzania Naombeni kujua Sheria mpya, Far Rabat imetolewa champions Ligue haitashiriki shirikisho

    Nimesikia katika online TV moja kuwa timu ya Far Rabat ikinolewa na nabi kipara former kocha wa yanga , haitashiriki shirikisho kulingana na Sheria mpya , sote tunajua awali ilikuwa ilikuwa ukitolewa hatua hii unaangukia shirikisho kama ilivyokuwa Kwa yanga mwaka Jana. Kwa anayejua atusaidie...
  18. JamiiForums Tanzania Sheria za mabaharia kwenye utu ubadi

    1. Kamwe usilale kwa mwanamke ambae hujamlipia ww hiyo nyumba kodi 2. Kamwe usimuachie shahawa nguo yoyote au kitambaa 3. Kamwe usitambulishe pisi ndugu yako yoyote ruksa tu kama naye baharia mwenzetu 4. Ukishindwa kumla ndani ya weekend mbili futa namba block. 5. Usitoke out na pisi kwenda...
  19. JamiiForums Tanzania Maendeleo madogo katika kuendeleza Uhuru wa Vyombo vya Habari na Uhuru wa Kujieleza yamefutwa na baadhi ya Sheria kandamizi

    Uvunjaji wa Uhuru wa Vyombo vya Habari ni jambo la kawaida katika Bara la Afrika ikijumuisha Ukandamizaji hasa kwenye Mtandao, kukamatwa kwa Waandishi, na vitendo vya Ukatili dhidi ya Wafanyakazi wa Vyombo vya habari ambavyo kawaida havichukuliwi hatua za Kisheria. ============================...
  20. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto aagiza Wizara ya Mawasiliano kuandaa Sheria itakayowezesha Ushindani wa Kidigitali

    Rais William Ruto ametoa maagizo hayo na kueleza Serikali yake imeweka nia ya kutengeneza mazingira yenye Ushindani ikiwemo kuongeza ushawishi kwa Makampuni ya Teknolojia kwaajili ya kuwekeza zaidi Nchini humo. Kauli ya Ruto inakuja siku chache tangu aanze ziara ya siku 10 katika Mataifa ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…