serious

Serious is an observational documentary series made by the BBC and broadcast as part of their children's programming. It encompasses Serious Jungle (2002), Serious Desert (2003), Serious Arctic (2005), Serious Amazon (2006), Serious Andes (2007), Serious Ocean (2008) and Serious Explorers (2011). Serious Ocean consisted of ten 30-minute episodes, while each previous series was six 30-minute episodes. In each series a group of eight 12- to 15-year-olds embark on an expedition to an extreme part of the world, in order to help wildlife or assist in environmental projects. The programmes have won numerous awards, among them honours from BAFTA and the Royal Television Society.
So far only Serious Amazon, Serious Ocean and Serious Andes have been aired in Australia, on ABC1 and ABC3.
The series has also been shown on Discovery Kids/The Hub, where five complete seasons have been shown. Slovenian television Kanal A has bought the rights to air Serious Amazon. The show airs Saturdays at 2:10 pm, under the title Vse o Amazonki (All About the Amazon).The Italian television network RAI in early 2009 aired Serious Jungle, Serious Desert, Serious Arctic, Serious Amazon, and Serious Andes.

View More On Wikipedia.org
  1. Jamani muwe serious basi

    Humu wengi wanachekesha, jameni mjue kuwa nyie hampo serious kweli mnaamini picha za avatar. Haya basi kama mnataka mtu awe utakavyo siunagharamia sasa mtu kafikia alipofikia unashangaa what niwewe ,?? Eh kwani nimegharamiwa ili nipendeze what if naona mi nilivyo nipo sawa. Hi sio facebook...
  2. Y

    Looking for a serious woman to be a wife

    Am looking for a a single woman to mary Me: age-30 Job:public servant Location : southern highlands Woman looking for: Age : below 30 Able to relocate Not having a child Job its not issue for me If interest check me through inbox
  3. Simba wakimpa thank you CHAMA ndio nitaamini wako serious na Mabadiliko, tofauti na hapo YANGA BINGWA 2024/2025

    Hizi kelele za Thank You ni kama zimemponya Mangungu, vipi ndugu zangu tuwape muda au bado libeneke liko palepale? Ngoja kwanza nicheke kikatuni Teh teh teh teh teh teh teh! Huyu mchezaji huwa anadhihakiwa sana na mashabiki kwamba kachoka na anaichomesha timu kwenye mechi muhimu! Sasa...
  4. G

    Hivi serikali iko serious na vita ya ushoga ama inatafuta kiki za kisiasa tu?

    Ndugu watanzania jambo lolote lililoharamishwa nchi hii huwa limetungiwa sheria kali. Na yeyote atakayelishabikia ama kulitenda jambo hilo huangukia kwenye mikono ya sheria. Si mnaona mimea ya bangi inavyokatwa na wakulima wake wanavyokamatwa? Si mnaona wapika gongo na wanywa gongo...
  5. A

    Natafuta mke hasa mtu mzima wa kuoa ambae yupo serious

    Jmn natafuta mke
  6. B

    Top 10 African countries with serious leadership

    The following is the list of top 10 African Countries with serious leaders; 1. Burkina Fasso 2. Kenya 3. Rwanda 4. Cote d' Voire aka Ivory Coast 5. Uganda 6. Senegal 7. Guinea 8. Niger 9. Mali 10. Egypt
  7. Ukiwa serious sana na maisha unakitafuta kiharusi

    Kwenye maisha usiwe serious sana ishi Kama mwijaku furahia maisha fanya vitu ambavyo vinaonekana vya ajabu mtu mzima kuvifanya mfano kubebana mgongoni,. Kuwa serious kwenye ishu ya posho tu maana usipokuwa serious kwenye hela unaweza kudhulumiwa usipate gawio. Kula vinono na kunywa pombe...
  8. Niko serious natafuta mchumba

    Habari JF, Mara nyingi humu ndani mtu akiandika kitu anaonekana hayuko serious, Juzi nimeweka Uzi apa nimesema kuwa nahitaji mchumba lkn watu wakatania tania tuu sikupata hata mumoja, Kuna mumoja nikajaribu kumfata Pm nikamwomba tuwe marafiki tuu lkn hatujafika popote anadai kuwa yeye ni...
  9. Nahitaji ushauri wa haraka sana maana nahisi Nachanganyikiwa sasa

    Habari wanajamvi naandika Bango Hili nikiwa sijui nini nifanye na nikiwa nimechanganyikiwa Kwa Yaliyotokea na sielewi hili.wala lile. IKo hivi Mimi ni Kijana mwenye Umri wa Miaka 46, Nilikuwa nina Mke wangu ana Umri wa Miaka 34 Tulikuwa Tunaishi naye lakini kutokana na mambo Ya kimajukumu...
  10. Uturuki wajitetea kwamba matamshi yao dhidi ya Israel ilikuwa siasa tu, wasichukuliwe serious

    Kwamba jameni ile ilikua siasa tu, msiwe mnachukulia kila kitu kwa uzito. ============ While Turkish President Recep Tayyip Erdogan has been attacking Israel since the war in Gaza began, he actually wants to improve diplomatic relations with Israel, Maariv reported on Tuesday. Last week, the...
  11. TANESCO Hamko serious hata kidogo

    Nimegundua mita yangu haikati umeme hata unit zikiisha, ni mpya kabisa na imefungwa kwenye nguzo yao ya umeme. Wamefunga mita za nyumba kama 4 kwenye nguzo hiyo, kwahiyo tunatumia vile vi remote ku control. Sasa baada ya kubaini hitalafu hiyo jana nikaenda kwenye ofisi yao kuripoti, mhudumu...
  12. B

    Wanawake wanaoomba hela muda mfupi baada ya kutongozwa huwa wanakuwa kwenye mahusiano ya maana?

    Habarini, Nimewaza hali ya uchumi ilivyo, na tabia ya wanawake kupiga mizinga kila mwanaume anaewatongoza. Najiuliza, mwanaume gani ataombwa hela siku chache baada ya kutongoza, halafu aweke kambi kwa huyo dada? Sana sana ama akiombwa hela mara ya kwanza atakimbia, au atahonga mara ya kwanza...
  13. R

    A breach of the Constitution, however, is such a grave and serious affair by Judge Lugakingira, 1993

    Haya aliyasema katika hukumu ya kesi ya Rev. Mtikila v Attorney General, 1993 Leo tunaona Rais na kila mmoja upande wa CCM wanavunja KATIBA kama vile kuvunja uchumba! Jaji Lugakingira akasisisitza kuwa ingawa rules of Private litigation can not be applied to Public interest Litagation, lakini...
  14. S

    Rais Samia, ichunguze Benki Kuu(BoT) kama kweli wako serious katika kusimamia Sheria ya Huduma Ndogo za Fedha kwa wanaokepesha bila leseni

    Hii taasisi kila wakati inatoa taarifa kwa umma kupitia tovuti yao ya www.bot.go.tz kuonya watu waache kufanya biashara ya kukopesha bila leseni yaani kinyume na Sheria ya Huduma Ndogo za Fedha ya mwaka 2018 na kanuni zake. Kinachinishangaza ni kuona matamko mengi ya kuonya watu wanaojihusisha...
  15. Wako wapi wachekeshaji wa Serious Funny TZ?

    Kulikua na wachekeshaji wanajiita Serious Funny TZ ambao walianza takribani miaka 7 iliyopita. Hawa jamaa walikuwa na content za uchekeshaji kuliko comedy tunazoziona sasa hivi. Sikuhizi siwaoni tena. Wako wapi?
  16. Hivi nyie baadhi ya wanaume unavyoandikia mwanamke meseji Huwa mnawaza Nini?

    Kwema? Hivi nyie baadhi ya wanaume unavyoandikia mwanamke meseji, huwa mnawaza nini? Mtu anakuandikia mambo? Unamjibu poa tu. Anauliza tena, Kwema? Unamjibu kwema? Anauliza tena, uko poa lakini? Unajibu poa? Sasa anamalizia tena, "NIAMBIE" 😣 Jamani, hebu muwe serious basi. Umeanza mwenyewe...
  17. M

    TBC mpo serious kweli? Mnakata matangazo ya Bunge mnaweka shughuli za Mkuu wa Mkoa?

    TBC mpo serious kweli? Mnakata matangazo ya Bunge mnaweka shughuli za Mkuu wa Mkoa? Unakata matangazo ya Bunge unatunganisha na shughuli za Mkuu wa Mkoa Mbeya, kweli?
  18. Mfumuko wa bei upo juu, Viongozi wapo bize na uchaguzi na kununua makasri Dubai

    Ndugu zangu, Bidhaa ghafi kama sukari inakimbilia TZS 5,000+ halafu Waziri wa Kilimo anatuambia mashamba ya miwa yamejaa maji... ina maana mipango na mikakati ya serikali ni namna wanavyosurvive leo na hawana 10+ years plan. Serikali haina akiba ya chakula ndiyo maana soon watakimbilia...
  19. AirBnB zaruhusiwa kurekodi na kuzuia vitambulisho vya Wageni kwa Muda kutokana na kuzidi kwa Mauaji

    Kutokana na kuongezeka kwa ripoti za vitendo vya uhalifu ikiwa ni pamoja na kesi za mauaji, katika nyumba za makazi maarufu kama (AirBnB) na Hoteli Mamlaka ya Udhibiti wa Taarifa Binafsi imetoa maagizo yanayolenga kuzuia vitendo hivyo na kuhakikisha usalama wa wakazi na wageni Mamlaka hiyo...
  20. Enyi Vijana, chezeni kwenye ajira za serikali lakini ajira za makampuni / biashara binafsi muwe serious sana na kazi, kufukuzwa ni instantly

    Nayaongea haya mchana huu ikiwa nimepigiwa simu na kijana graduate niliemtaftia kazi mwezi wa 11 mwaka jana kuniambia kafukuzwa kazini, ishu yake ni kwamba alikuwa mtu wa kutoka toka muda wa kazi. Ajira za serikalini mambo ya kutoka wakati wa kazi yamezoeleka, waweza fanya masihara utavumiliwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…