Wako wapi wachekeshaji wa Serious Funny TZ?

Kalamu Nzito

JF-Expert Member
Aug 13, 2015
318
662
Kulikua na wachekeshaji wanajiita Serious Funny TZ ambao walianza takribani miaka 7 iliyopita.

Hawa jamaa walikuwa na content za uchekeshaji kuliko comedy tunazoziona sasa hivi. Sikuhizi siwaoni tena. Wako wapi?

 
Kuna mmoja anaitwa Said , huwa namuona Sana maeneo ya charambe Majimatitu
 
nilikuwa nawakubali, hawa jamaa walikua bora sana... badae walipokuja kumegeka, wakatengana ndo wakapoteana....
but walikuwa na contect kali sana
 
Back
Top Bottom