Niko serious natafuta mchumba

bigmen

Senior Member
Jul 3, 2020
147
319
Habari JF,

Mara nyingi humu ndani mtu akiandika kitu anaonekana hayuko serious, Juzi nimeweka Uzi apa nimesema kuwa nahitaji mchumba lkn watu wakatania tania tuu sikupata hata mumoja,

Kuna mumoja nikajaribu kumfata Pm nikamwomba tuwe marafiki tuu lkn hatujafika popote anadai kuwa yeye ni mshangazi kwangu kisa yeye ana miaka 35 mm Nina miaka 29, au pengine ameona Kama mm ni mtoto Sina ishu. Lkn niwakumbushe mnao dharau watu wa umri mdogo Kama mm kuwa umri so akili nina akili kubwa tuu ya kimaisha.

Turudi pale pale kwenye point yetu ya juzi, natafuta mchumba wa kujenga nae maisha au kufanya maisha nae Niko serious,

Umri nimeongeza 25adi 35
Awe mrefu kiasi,
Asiwe mnene
Awe mweupe au mweusi maji yakunde sawa tuu
 
Mungu akupe hitaji la moyo wako,mbona hujaweka vigezo vya mwanamke unayemtaka....au huo umri tu unatosha ?
 
Mbona kama una mng'ang'ania/umemind shangazi. Bora kasema ukweli kuliko kukudanganya ukazama mwisho ukaishia kujinyonga kisa mapenzi.
 
Habari JF,

Mara nyingi humu ndani mtu akiandika kitu anaonekana hayuko serious, Juzi nimeweka Uzi apa nimesema kuwa nahitaji mchumba lkn watu wakatania tania tuu sikupata hata mumoja,

Kuna mumoja nikajaribu kumfata Pm nikamwomba tuwe marafiki tuu lkn hatujafika popote anadai kuwa yeye ni mshangazi kwangu kisa yeye ana miaka 35 mm Nina miaka 29, au pengine ameona Kama mm ni mtoto Sina ishu. Lkn niwakumbushe mnao dharau watu wa umri mdogo Kama mm kuwa umri so akili nina akili kubwa tuu ya kimaisha.

Turudi pale pale kwenye point yetu ya juzi, natafuta mchumba wa kujenga nae maisha au kufanya maisha nae Niko serious,

Umri nimeongeza 25adi 35
Mtaani hapo umekosa? Mbona warembo wapo kila mahali. Cha kuzingatia tu uwe na hela watakutongoza wenyewe.
 
FB_IMG_17113044239709672.jpg

Chukua huyu ameshalipiwa mahari
 
Habari JF,

Mara nyingi humu ndani mtu akiandika kitu anaonekana hayuko serious, Juzi nimeweka Uzi apa nimesema kuwa nahitaji mchumba lkn watu wakatania tania tuu sikupata hata mumoja,

Kuna mumoja nikajaribu kumfata Pm nikamwomba tuwe marafiki tuu lkn hatujafika popote anadai kuwa yeye ni mshangazi kwangu kisa yeye ana miaka 35 mm Nina miaka 29, au pengine ameona Kama mm ni mtoto Sina ishu. Lkn niwakumbushe mnao dharau watu wa umri mdogo Kama mm kuwa umri so akili nina akili kubwa tuu ya kimaisha.

Turudi pale pale kwenye point yetu ya juzi, natafuta mchumba wa kujenga nae maisha au kufanya maisha nae Niko serious,

Umri nimeongeza 25adi 35
Awe mrefu kiasi,
Asiwe mnene
Awe mweupe au mweusi maji yakunde sawa tuu
Nendaaanytclub mkuukuleeutakuta walioserious kama wewe ekuachana na ushetani watulie
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom