TBC mpo serious kweli? Mnakata matangazo ya Bunge mnaweka shughuli za Mkuu wa Mkoa?

MIGNON

JF-Expert Member
Nov 23, 2009
4,087
5,079
TBC mpo serious kweli? Mnakata matangazo ya Bunge mnaweka shughuli za Mkuu wa Mkoa?

Unakata matangazo ya Bunge unatunganisha na shughuli za Mkuu wa Mkoa Mbeya, kweli?
 
Saa 6 mchana unaacha shughuli zako unaangalia bunge la chama kimoja lisilo na msaada wowote kwa wananchi!?,huna kazi za kufanya!?,halafu unalalamika kuondoka kipindi kwenye TV hadi unakimbilia kuanzisha thread!?.., kwa style hii acha tuendelee kusindikiza wengine tu.
 
Back
Top Bottom