Na. M. M. Mwanakijiji
Serikali ya Marekani ingeweza kuchukua hatua kali zaidi kuliko ambazo imechukua kwa nchi rafiki kama ya Tanzania. Tangu wakati wa Kikwete Tanzania imejisogeza zaidi na Serikali ya Marekani kiasi kwamba ni sawa kabisa kuamini kuwa tuna uhusiano wa karibu na wa kirafiki na...
Kutokana na hili la Mkuu wa mkoa wa Dar es salaamu kuzuiliwa kuingia Marekani, watu waengi wamajitokeza kila mmoja akileta mawazo yake juu ya jambo hilo.
- Wengine serikali ipige marufuku wamarekani kuingia nchini
- Rais atoe tamko
- Marekani imevunja sheria ya kidiplomasia na mengine mengi...
Serikali kila siku inajidai ina fedha za kutosha, inakusanya mapato mengi kuliko serikali zote, Leo kimewakuta nini hadi kilio kila kona.
Ni nashauri tokeni hadharani muwaambie wananchi kwamba Yale mliyokuwa mnajimbwambafai kwa wananchi ilikuwa ni uongo na hadaa.
Wachumi walikuwa wanahoji kila...
habarini za wakati huu.
Ushauri wangu kwa rais ni kumpa mbinu ambazo atazitumia kutatua changamoto za kifedha kama world bank(WB) watasitisha kutupa mkopo wa $500million tuliokuwa tunatarajia kuupata ili tukatatue changamoto katika sekta ya elimu nchini.
"japo kuna wanyapiaji nyuma ya pazia...
Serikali ya Marekani inayoongozwa na Rais Donald Trump imefurahishwa na utendaji wa serikali ya awamu ya 5 na imetoa msaada wa vifaa mbalimbali vya kijeshi.
Miongoni mwa vifaa hivyo ni pamoja na magari ya kisasa ya kijeshi.
Sherehe ya makabidhiano imefanyika katika viwanja vya kambi ya jeshi...
Bunge limemtaka AG ambaye pia ni mbunge kuchunguza kama kitendo cha mbunge wa Kigoma mjini mh Zitto kutumia nyaraka za bunge kuishtaki serikali huko benki ya dunia hakina chembe chembe za Jinai ndani yake.
Hapa nina maswali mawili:
Mosi, Jinai inachunguzwa na mwanasheria mkuu wa serikali...
Nimeona Tanzania inaingiza kama Watalii milioni 1.5, ili kupata hizo milioni 500 tulizonyimwa tuzichukuwe ktk kwa Watalii, ni Dola ~USD 330/Mtalii tunaipata hiyo milioni 500.
Ni swala la kutafuta vitu 30 anavyofanya Mtalii hapa kwetu na kumuongezea Dola 10, kwa Muzungu wa first World country...
My Take:
Hizi ni aina za mahakama zinazotambua vyema wajibu wake wa kulinda haki za watu.
Hizi information zikiwa ploriferated huna pa kukimbilia maana fingerprints ndiyo password yako usiyoweza kuibadili
Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi amesema kwa takwimu za mpaka September 2019, uchumi wa Tanzania umekua kwa 6.9% huku matarajio yakiwa ni kufikia hadi 7.1% “kwa Afrika Mashariki tunahangaika na Rwanda, kwa Nchi za SADC Tanzania ni miongoni mwa Nchi ambazo zinaongoza kwa uchumi wake...
SAKATA LA MHESHIMIWA ZITTO, SERIKALI NA BENKI YA DUNIA LITUFUNGUE MACHO KUHUSU UMUHIMU WA MARIDHIANO YA KISIASA NCHINI
Nimeona barua iliyoandikwa na Mheshimiwa Zitto Kabwe, Mbunge wa Kigoma Mjini kwenda Benki ya Dunia kuiomba Benki hiyo izuie au iahirishe kutoa mkopo kwa Serikali ya Tanzania...
Waziri Mkuu Mh Majaliwa amesema serikali haiwezi kukubali kurudiwa kwa uchaguzi wa serikali za mitaa kama ilivyoombwa na Chadema kwa sababu kila uchaguzi una kanuni na taratibu zake.
Majaliwa amesema Wagombea wa Chadema ndio waliopaswa kulalamika na kukata rufaa kwa mujibu wa sheria na sio...
Mimi siyo mnafiki ila kiukweli ninayajua na kuyafahamu mengi yanayofanywa na Serikali ya Magufuli. Serikali kusema kweli imekuwa ikifanya mambo ya ukandamizaji na haya yanayohubiriwa hakuna lolote lile.
Sasa basi mimi nitaendelea kutoa ushirikiano kwa wadau wanaotaka mambo yaende sawa. Kusema...
Mara kadhaa sasa tunashuhudia uradidi wa kutafuta chanzo cha tatizo na kimbilio likiwa kwenye sababu zile zile "Walimu hawafundishi vizuri"na tunashuhudia adhabu zikitolewa ikiwemo ile ya kushushwa vyeo.
Ni kama tunaamini ukiumwa kichwa tu ni malaria na inatakiwa kumeza dawa ya kutuliza...
Tazama mahojiano ya BBC jinsi Kiongozi wa ACT Wazalendo Ndg. Zitto Kabwe anavyopangua propaganda dhaifu za CCM na Serikali ya Rais Magufuli kuhusu kusogezwa mbele kwa maamuzi ya Benki ya Dunia (WB) kuipa mkopo wa elimu Tanzania kutokana na hoja zilizotolewa na Zitto na wanaharakati wa Tanzania...
Nashangaa sana serikali hii ya CCM. Hakuna mu mwenye akili timamu asiyejua au kuona kuwa toka utawala wa awamu ya tano uanze mmekuwa mwiba mchungu sana kwa vyama vya upinzani nchini. Mmewabana kwa kila namna mnayoweza kufikiria. Mmewafunga midomo ndani na nje ya Bunge, mmewanyima haki katika...
Kwa wataalamu wa sheria na katiba ,naomba tu kufahamu najua hatuwezi kukosa fedha za uchaguzi hata kidogo lakini je ikitokea tuakakosa kabisa,nini kitatokea?
Je, Serikali iliyopo madarakani itaendelea kuongoza wakati muda wake utakua umekwisha, hadi wakati itakapopata fedha za uchaguzi, au...
Niandikapo uzi huu ni kuwa hatimaye miraculously nimebahatika kutoka Nyabugombe katika barabara Rusumo kuelekea Rusahunga njia kuu iendayo Dar baada ya kuwepo hapo kwa siku karibia 2.
Kwa hakika hii haina tofauti na escape from Sobibo. Wengine wengi watoto na kina mama bado wapo pale.
Si chini...
Kwa hili serikali lazima iwajibike. Pia lazima tuandamane tupate serikali nyingine!
Haiwezekani Aston Villa Wazungu wanamnyima pasi champions boy Samatta halafu serikali inaangalia tu. Haiwezekani lazima wawajibike
Akihojiwa na Zuhura Yunus wa BBC nchini Uingereza Mbunge wa Kigoma Mh Zitto Kabwe amesema uzalendo sio kuitetea serikali bali kulipenda na kulitetea taifa.
Amesisitiza kuwa uzalendo bora ni ule wa kuikosoa serikali kwa manufaa ya taifa na kwamba yeye hajaomba Tanzania ifutiwe mkopo bali mkopo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.