Huu ni mtazamo wangu katika kuunga mkono juhudi za Serikali kupambana na COVID-19. Watu wasikae ndani moja kwa moja lakini, ili kupunguza kuenea kwa tatizo nchi nzima, ni vizuri Serikali ikaamua watu wa dar wafanyie Shughuli zao Dar, Arusha na Mwanza kadhalika...Hii ni mikoa ya biashara hivyo, kufunga moja kwa moja ni ngumu watu hawalimi wanategemea biashara zao....hivyo pamoja na kuchukua tahadhari lkn wasitoke nje ya hiyo miji na watu wengine wasiingie.
Tukiacha watu waendelee kuingia na kutoka kwenye hii miji, itafika hatua Serikali itapata WAZIMU, pale ambapo mara unasikia watu 10 wamefia Arusha, mara unasikia 100 Tabora, mara 50 Dodoma, mara 200 Chato!! hapo itakua toooo late.
Nafahamu Mh JP alishasema, ukimshauri ndo unaharibu ila, naomba ausikilize huu ushauri wenye nia njema ya kupunguza, maana wala si mzito sana, ukizingatia watu watabaki kwenye miji yao wakiendelea kupiga kazi na kujikinga...japo ilitakiwa wawe NDANI KWENYE NYUMBA ZAO...LAKINI kuzingatia hali dhoofu ya uchumi wetu....walau wabaki mijini kwao wasiendelee kusambaza nchi nzima. SHETANI AKAMWAMBIA YESU JITUPE CHINI MAANA MUNGU ATAKUAGIZIA MALAIKA WAKE WAKUSHIKE WALA MGUU WAKO HAUTADHURIKA...YESU AKAMWAMBIA IMEANDIKWA USIMJARIBU BWANA MUNGU WAKO...TUCHUKUENI TAHADHARI TUACHE KUMJARIBU MUNGU. ASANTENI.