Kuelekea uchaguzi mkuu 2020, ndugu mtanzani amini usiamini unao uwezo wa kuiondoa CCM madarakani, nitaelezea kwenye uzi mwingine jinsi unavyoweza kulitumia sanduku la kura kuleta mageuzi chanya. Kwa leo naomba tukumbushane machache tu ambayo serikali ya CCM imeyafanya na hivyo kustahili kupewa...
Serikali ya ccm sijaelewa njiani hugawa cash sana kuliko kuzingatia bajeti iliyopangwa katika eneo husika na siku hizi anatembea nazo hasa kwe ye nyumba za ibada na kugawa maburungutu na haijulikani zinatoka wapi.
Katika maongezi na Waziri Mkuu wa India nimegundua kuwa miradi ya maki ya nchi...
Samahani wanasheria wasomii, napenda kujua kuhusu sheria ya umiliki wa ardhi serikali la mitaaa, kwani tumekuwa tukiteswa na migambo na vuobgozi wa maendeleo kuhusu uharibifu wa mazibgira ,hata kama ukilima sehemu isiyokuwa ndani ya hidadhi wanakukamata na fine ni zaid ya laki 6.
Napenda...
Ndugu zangu wana jukwaa hebu tujadili pamoja jambo hili la Sukari kwa Tanzania na bei yake ambayo sasa ni kero kwa nchi nzima, tulishuhudia Waziri akitangaza bei elekezi lakini cha ajabu bei iko juu palepale kwa maana ya Tshs 3000 na kuendelea.
Sasa tuamini hii ni biashara ya vigogo wenyewe...
Tanzania tumejaliwa kuwa na eneo kubwa la bahari, bahari ni utajiri tosha.Nchi inapoteza mapato mengi kupitia bahari ambapo bahari ingeweza kuleta mapato zaidi ya madini nchini.
Sekta hii imesahaulika sana na kufanya kuwa sehemu ya upigaji mkuu.
Serikali inabidi ianzishe bodi ya bahari ili...
Baadhi ya marekebisho ya kodi
KODI YA KIPATO (PAYE)
Wanaopata chini ya tsh 270,000 kwa mwezi kutokakatwa kodi ya mapato.
Watu wa kipato cha Zaidi ya 270,000 kwa mwezi lakini ni chini ya 520,000 watalipa kodi 9%
KODI YA ZUIO KWA HUDUMA ZA MTANDAO
Bajeti imeweka kodi ya zuio ya 10% kwa mawakala...
Kwenye utawala bora, Ulinzi na Usalama
Serikali haijaonyesha fedha zilizokusanya kwa waliosamehewa kwa makosa ya Uhujimu uchumi...
Inawezekana pesa zile zimekuwa za mtu binadsi sio mali ya umma. Kwenye mapato ya serikali hazipo
Kuna wakati niliwahi kusikia serikali imewachukulia hatua watu wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja akiwemo james delicious na amber ruti.
Nimeuliza kwa sababu mara nyingi nawakuta hawa watu mitandaoni wakiendelea kujitangaza kua wanahusika na mapenzi ya jinsia moja au ya kinyume na...
Tarehe 11/06/2020 Ubalozi wa Marekani umetoa tamko lingine linaloelezea ongezeko la maambukizi ya ugonjwa wa COVID-19 nchini Tanzania, na kuwashauri raia wake kukaa ndani na kuachana na mizunguko isiyo ya lazima. Taarifa hii inafuatia tahadhari mbali mbali ambazo imekuwa ikizitoa tangu ugonjwa...
Serikali imezindua rasmi mwongozo wa uendeshaji wa Shughuli za Utalii nchini Tanzania wakati huu wa janga la Corona na kuwataka wadau sekta hiyo kuzingatia matakwa yaliyo katika mwongozo huo ili kulinda usalama wa Watanzania na watalii wanaowasili nchini kutembelea vivutio vilivyopo.
Akizindua...
"I can't breath" ni kauli aliyoitoa George Floyd wakati askari mmoja huko marekani alipomkamata na askari huyo kuweka goti lake katika shingo ya George Floyd, jambo lililosababisha akose hewa kisha kufariki.
Naipa kauli hiyo muktadha wa kitanzania kisiasa.
Ni mambo gani ambayo yanafanya...
Ni aibu kwa bunge badala ya kujadili bajeti ya nchi, linatumia siku mbili kujadili tukio la kuvamiwa Mbowe. Cha kusikitisha hawajadili namna ya kumsaidia mbunge mwenzao bali wanapiga majungu.
Jana Msukuma kasema Mbowe alikuwa anakunywa Konyagi Kubwa (Faru John) na ndio iliyopelekea kuanguka na...
Habari wakuu!
Uzi huu nimeuleta kwenye jukwaa la siasa ili ikiwezekana viongozi angalau wawili watatu wauone huenda wataamka.
Binafsi ajira yangu ya kwanza ilikuwa mgodini Bulyanhulu as security officer 2014-15.
Kisha nikaacha kazi kwasababu zangu binafsi then nikaajiriwa na four Seasons...
Mkazi Mmoja huko Mkoani Mtwara amewashangaza na hadi leo Kuwaacha Hoi Wananchi huko baada ya Kuanzisha Duka lake la Kuuza Bidhaa mbalimbali tokea Miezi Minne iliyopita ila huwa halifungi kabisa huku ikifika Usiku analiacha hivyo hivyo na kwenda zake Kulala eneo lingine lakini hakuna chochote...
Rais wa zamani wa Malawi Joyce Banda amesema nchi hiyo haina virusi vya Korona na kuituhumu serikali kwa ‘kugushi’ takwimu.
Vyombo vya habari vya Malawi vimeripoti kuwa Bi Banda alinena hayo akizungumza kwenye mkutano wa hadhara.
Aidha ametaka fedha za misaada dhidi ya Corona zitumike kwa...
#HABARI Mahakama ya Afrika Mashariki (EACJ) imetupilia mbali rufaa iliyokatwa na Serikali, baada ya ushindi wa kesi ya kupinga baadhi ya vifungu vilivyoonekena kuwa kandamizi katika sheria ya huduma za vyombo vya habari ya mwaka 2016./ Serikali yabwagwa kesi sheria huduma vyombo vya habari
====...
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Temeke Jijini Dar es salaam imefanya uchunguzi dhidi ya mhasibu wa zahanati ya Tambukareli iliyopo katika kata ya Azimio, kwa makosa yafuatayo:
(1) Kuisababishia hasara serikali kinyume na kifungu namba 284 cha sheria ya kanuni ya adhabu sura...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Taifa (Bara) Mhe. Tundu Lissu leo Jumatano, Juni 10, 2020, kuanzia saa 5 asubuhi, atazungumza na Watanzania kupitia vyombo vya habari, kwa njia ya kidigitali, kuhusu tukio la kushambuliwa na kujeruhiwa kwa Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. Freeman Mbowe.
Chanzo...
Hii ni kutokana na serikali kuifunga website iliyokuwa ina report trend ya maambukizi ya coronavirus/covid-19.
Mahakama imetoa hukumu kuwa kupata habari ni takwa la kikatiba na Rais asitumie ugonjwa wa covid-19 for political gain!
Mh CJ Juma, umewasikia wenzako?
====
A Brazilian supreme...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.