Ndugu zangu naomba kupata elimu na hii ni baada ya matukio kadhaa yanayotokea nakutuchanganya kidogo. Hivi Msemaji Mkuu wa Ikulu anaweza post kitu au maudhui yanayo muhusu Rais wa nchi bila pata kibali cha Msemaji Mkuu wa Serikali?
Pili Je ni sahihi kwa msemaji wa Ikulu kupost au kuweka maudhui yanayo muhusu Rais wa nchi bila kuwa kwanza yamepostiwa kwenye Ikulu tovuti au msemaji mkuu wa serikali? Au kwenye ukurasa wa Rais binafsi?
Je ni sahihi kutengeneza maudhui yeyote iwe yakibunifu au vyovyote vile yanahusu serikali na Rais na kupost bila kuwa yamefanyiwa check na balance na msemaji mkuu wa serikali au muhariri?
Naomba kutolewa matongotongo.