Uchaguzi 2020 Prof. Lipumba: Katika kipindi cha miaka mitano, mzunguko wa fedha umekuwa mdogo, tunahitaji kubadilisha hali hiyo

CUF Habari

JF-Expert Member
Dec 12, 2019
239
234
IMG_20200908_172135_756.jpg


"Katika kipindi Cha miaka mitano, mzunguko wa fedha umekuwa mdogo, biashara haitoki, hakuna mzunguko wa fedha unaokidhi mahitaji, tunahitaji kuibadilisha hali hiyo".Prof. Lipumba-Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

RAIS MAKINI
SERIKALI MAKINI
 
Back
Top Bottom