Hii ndo tofauti kati ya serikali zilizopita na hii ya Magufuli

Missile of the Nation

JF-Expert Member
May 24, 2018
13,498
51,090
Tundu Lissu amekuwa akizungumza kuhusu mapungufu ya serikali za CCM zilizopita lakini hakuacha kutoa credit kwa watawala waliopita hasa kwenye kuhangaika kunusuru wananchi kipindi cha Majanga, hii ni kuanzia nyakati za baba wa Taifa ambaye hakuacha watu wafe kwa njaa kisa ukame ni janga la asili, hivyohivyo Mzee Mwinyi, Mkapa na Kikwete.
Lakini Maguful anasema wazi kuwa njaa ikipiga wala hataleta chakula mwafaaa

Ni wajibu wetu sisi wananchi kufikiri, Je tuko tayari kuendelea na mtu ambayo tukifikwa na janga atatuacha tufe au tuchague mtu atakayefanya ataaloweza kutusaidia kipindi cha majanga.

Hii video hapa chini ni ushahidi wa kauli ya Lissu

Mi nampongeza magu hajawai kwenda kubusu miguu ya trump tangu aingie madarakani,,
We ukienda marekani ingia kijeshi wao wakija kwetu tunawakaribisha na mbwembwe za Shangwe utazani malaika kashuka

Huko ni kujizalilisha
 
Tundu Lissu amekuwa akizungumza kuhusu mapungufu ya serikali za CCM zilizopita lakini hakuacha kutoa credit kwa watawala waliopita hasa kwenye kuhangaika kunusuru wananchi kipindi cha Majanga, hii ni kuanzia nyakati za baba wa Taifa ambaye hakuacha watu wafe kwa njaa kisa ukame ni janga la asili, hivyohivyo Mzee Mwinyi, Mkapa na Kikwete.
Lakini Maguful anasema wazi kuwa njaa ikipiga wala hataleta chakula mwafaaa

Ni wajibu wetu sisi wananchi kufikiri, Je tuko tayari kuendelea na mtu ambayo tukifikwa na janga atatuacha tufe au tuchague mtu atakayefanya ataaloweza kutusaidia kipindi cha majanga.

Hii video hapa chini ni ushahidi wa kauli ya Lissu

View attachment 1559169
Kiongozi wa hovyo kabisa huyu tumkatae.
 
Kiongozi wa hovyo kabisa huyu tumkatae.
Mmezoea kuishi kwa uongo bila kufanya kazi mkitegemea kusaidiwa.
Mbona aliposema kila mtu afanye kazi mpaka leo miaka mitano hakuna njaa?
Hayo yote ni kuwaacha watu waishi kizembe kisha njaa inawakuta wakiwa hawana la kufanya.
 
Back
Top Bottom