Serikali ya Kenya ilidanganya kuhusu idadi ya barabara zenye lami

joto la jiwe

JF-Expert Member
Sep 4, 2017
17,853
2,000
Kenya had 11,230 kilometres of bitumen roads in 2013, according to data in the 2014 Statistical Abstract published by the Kenya National Bureau of Statistics. This closely matches the 11,000 figure used in the 2013 Jubilee manifesto.

However, significant variations in official data mean that confirming the length, or type, of road government has built is not straightforward.

The most recent figures published in the 2018 Economic Survey show that Kenya had 20,600 km of bitumen roads in 2017. This would mean the length of this type of paved roads has increased by 9,400 km.

In 2016, the agency had the tarmac road network at 14,500 km, suggesting 6,100 km of road was added in just one year. (Note: In the same year the statistics office also has a figure of 11,796 km of tarmac road, published in the 2017 Statistical Abstract.)

A January 2018 report by the national treasury, however, showed that between financial year 2013/2014 and 2016/2017 some 1,919 km of bitumen road were built.

Africa Check will continue to look for the most reliable and recent data on road construction in Kenya. -Africa Check, May 2018

Increase the paved road network from the current 11,000km (7%) to 24,000km (15%) in five years | Africa Check
MY TAKE: Raila Odinga wakati akiwa bado yuko upinzani, alishawahi kusema kwamba serikali ya Jubilee anadanganya kuhusu idadi ya barabara okuzithenga.

Tony254
Teargass
 

Teargass

JF-Expert Member
Apr 23, 2018
14,047
2,000
Kwani siku hizi kuna KNBS ngapi? Hiyo gazeti yenye sijui jinake ilitowa figures zake kwa KNBS gani na Nation media ilitowa yake wapi?


1,621km of roads paved in 2018​

Friday, April 26, 2019

A road under construction in Wajir County. PHOTO | FILE | NATION MEDIA GROUP

What you need to know:​

  • The government is expected to have spent Sh128.4 billion on roads by the end of June, according to the 2018/2019 budget.
  • Spending on road repair and maintenance is expected to increase from Sh53.8 billion to Sh66.6 billion.
The government added only 1,621 kilometres of paved roads last year, with most expenditure on roads going towards improving conditions of existing ones.

Economic survey data shows that growth in the length of roads built slowed to 9.5 per cent compared with 30.6 per cent the previous year, putting the country’s total paved roads at 18,655 kilometres.

But more focus was put on improving the condition of existing roads, according to data by Kenya National Bureau of Statistics (KNBS).
The government is expected to have spent Sh128.4 billion on roads by the end of June, according to the 2018/2019 budget. Spending on road repair and maintenance is expected to increase from Sh53.8 billion to Sh66.6 billion.

A total Sh162.3 billion was expected to be used to construct, rehabilitate and upgrade an estimated 2,189.5 kilometres.
 

komora096

JF-Expert Member
Sep 26, 2018
12,739
2,000
Jamaa kumbe wanaumia kimya kimya, kweli hii noma mpka uzi
Mbna mumewatelekeza wale mayatima wawili kule kw battle jamani.
Si angalau na wewe uje kule uchangie hata km pia ni kw kujitoa ufahamu
 

Tony254

JF-Expert Member
May 11, 2017
6,750
2,000
Hawa watu wa fact check Wenyewe wamesema kuwa wamechanganyikiwa. Hawajui kilomita za barabara Kenya ni ngapi. Lakini jambo jema ni kufuata data ya World bank kama hamuiamini KNBS.
 

joto la jiwe

JF-Expert Member
Sep 4, 2017
17,853
2,000
Hawa watu wa fact check Wenyewe wamesema kuwa wamechanganyikiwa. Hawajui kilomita za barabara Kenya ni ngapi. Lakini jambo jema ni kufuata data ya World bank kama hamuiamini KNBS.
World Bank ndio pia wanakubaliana na hao fact check.


Hakuna nchi duniani yenye uwezo wa kujenga 6000Km kwa mwaka mmoja.

Tafadhali pinga kwa data kama hayo waliyoandika fact check ni uongo. Sio kweli kwamba ndani ya kipindi cha mwaka mmoja mlionyesha kwamba 6000Km zimeongezeka?

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 

Teargass

JF-Expert Member
Apr 23, 2018
14,047
2,000
World Bank ndio pia wanakubaliana na hao fact check.
Hakuna nchi duniani yenye uwezo wa kujenga 6000Km kwa mwaka mmoja.

Tafadhali pinga kwa data kama hayo waliyoandika fact check ni uongo. Sio kweli kwamba ndani ya kipindi cha mwaka mmoja mlionyesha kwamba 6000Km zimeongezeka?

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Siku hizi World Bank wanaitwa Satchu huko twitter?
 

joto la jiwe

JF-Expert Member
Sep 4, 2017
17,853
2,000
Kuna KNBS ngapi? Kwani KNBS yenye nation media walitoa data yao na hile yenye fact Check wametoa yao kwani ni tofauti?
KNBS ni serikali ambayo ndio inayoshutumiwa kudanganya. Tunaomba kwasasa serikali itoe majibu ya hizo shutuma
.
Serikali kupitia KNBS inashutumiwa kwa kutoa taarifa ya uongo kwamba ilijenga 6000Km ndani ya mwaka mmoja, je hizi shutuma zinaukweli?

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 

Naton Jr

JF-Expert Member
Oct 5, 2016
5,046
2,000
Wakenya hivi kufake data mpaka mnakua aibu kiasi hiki ni kwa faida gani?

Organizations kubwa duniani zinaishangaa Kenya yenye less than faked 11k kilometres kuclaim kwamba wana kilometres 25k 🤣🤣🤣

Wamesema wakitoka hapa wanaingia kwenye GDP

Africa Check ni organization kubwa yenye lengo la kuibua ufisadi na data za uongo zinazotolewa na serikali ikiwa sehemu ya wizi wa pesa za umma

Africa Check imeonesha namna serikali ya Kenya ilivyochanganya kilometres za lami kwa kutoa data za uongo kwenye taasisi zao na wameanika kila kitu kwenye hii report yao ya hivi Karibuni

A tale of twists and turns in Kenyatta’s claims about improving Kenya’s roads | Africa Check

A tale of twists and turns in Kenyatta’s claims about improving Kenya’s roads | Africa Check
 

Bantugbro

JF-Expert Member
Feb 22, 2009
4,214
2,000
KNBS ni serikali ambayo ndio inayoshutumiwa kudanganya. Tunaomba kwasasa serikali itoe majibu ya hizo shutuma
.
Serikali kupitia KNBS inashutumiwa kwa kutoa taarifa ya uongo kwamba ilijenga 6000Km ndani ya mwaka mmoja, je hizi shutuma zinaukweli?

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Kilometer 6000 za Barabara ya lami ni pesa nyingi sana kwa hio wakisema wamejenga maana yake kuwa huo mkwanja watu wamekunjia mfukoni na kujengea towers na malls.

Tatizo litakuja siku jamaa zao waliowaweka pale KNBS watakapotolewa na kuingia watu wengine.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom