Uchaguzi 2020 Prof. Lipumba akiwa Liwale: Nitakuwa Rais msikivu na nitaunda serikali ya umoja wa kitaifa

CUF Habari

Verified Member
โœ…
Dec 12, 2019
233
250
Screenshot_20201023-183307.png
NITAKUWA RAIS MSIKIVU NA NITAUNDA SERIKALI YA UMOJA WA KITAIFA " PROF.LIPUMBA"

LIWALE

Nchi yetu imejaa ufisadi, ubinafsi, migawanyiko, kuumizana, ubaguzi,
kutokuaminiana, chuki, kukata tamaa na huzuni. Haya ni majeraha
yanayohitaji kutibiwa na kuwarejeshea wananchi matumaini. Tumefikia hapa
tulipo kutokana na Tanzania kukosa taasisi imara za kusimamia uendeshaji
wake. Taasisi zilizoko uimara wake ni wa kinadharia kuliko wa uhalisia.

Katika mazimgira haya mustakabali wa nchi umekuwa ukitegemea zaidi
haiiba na matakwa ya rais aliyeko madarakani kuliko taratibu za kitaasisi.
CUF inataka nchi iwe na taasisi imara zinazounda mfumo madhubuti ambao
utahakikisha kuwa nchi iko salama bila kujali ni chama gani kiko kwenye
nadaraka.

Kuunda mfumo huu kunahitaji nguvu ya pamoja na ushirikishwaji wa kila
Mtanzania. Kwa sababu hii CUF inapendekeza serikali ya umoja wa kitaifa.
Serikali hii jumuishi itakuwa na jukumu la kujenga mfumo unaohitajika.
Serikali ya Umoja wa Kitaifa chini ya CUF itaweka misingi ya kuhakikisha
kuwa taifa linakuwa na Demokrasia ya kweli. Serikali ya umoja wa kitaifa
itakamilisha mchakato wa kupata katiba mpya yenye misingi imara ya
demokrasia na utawala bora. Katiba ambayo pamoja na mambo mengine
itatenganisha kikamilifu mamlaka na nguvu za mihimili mbalimbali, italinda
misingi ya ushindani wa kisiasa, itapanua na kukuza haki za kiraia, na
itahakikisha uwepo wa uhuru wa kutosha wa vyombo vya habari na fursa ya
kujieleza.

Tunahitaji kuwa na katiba nzuri inayompa kila Mtanzania uhuru wa kweli wa
kuchagua na au kuchaguliwa. Tunahitaji kuwa na Muungano wa
Watanganyika na Wazanzibari usio na mashaka ndani yake kwa pande zote
mbili. Tunahitaji Umoja wa Kitaifa wa kweli ambapo ubaguzi wa aina yoyote
iwe ni wa jinsia, rangi, dini au ulemavu utakuwa ni jinai inayoadhibiwa kwamujibu wa sheria. Aidha tunahitaji kuwa na katiba inayojilinda isivunjwe na
wanasiasa walioko madarakani kwa ajili ya maslahi yao binafsi na maslahi ya
makundi wanayoyashabikia.
Katiba ya sasa haikidhi vigezo vinavyohitajika ili kuchochea maendeleo ya
demokrasia nchini mwetu.

Chini ya Sera za HAKI SAWA NA FURAHA KWA
WOTE, serikali ya umoja wa kitaifa chini ya CUF itaandaa utaratibu unaofaa
wa kupata Katiba Mpya ya wananchi.
 
Abul Aaliyah

JF-Expert Member
Nov 8, 2016
3,993
2,000
Chama umeshauza hcho
View attachment 1609768 NITAKUWA RAIS MSIKIVU NA NITAUNDA SERIKALI YA UMOJA WA KITAIFA " PROF.LIPUMBA"

kichwa kikubwa

JF-Expert Member
Sep 24, 2013
1,965
2,000
Lipumba hawezi kuwa msikivu, alishindwa kuwa msikivu kipindi kile cha "Ukawa" atawezaje kuwa msikivu kipindi hiki?
 
Administer

JF-Expert Member
Feb 9, 2020
707
1,000

LIPUMBA SIASA IMEKUKONDESHA SANA
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom