serikali

  1. A

    JamiiForums Tanzania Je, Rais Magufuli anachelewesha Baraza la Mawaziri sababu Serikali haina pesa?

    Katika hafla ya kumwapisha Waziri Mkuu Majaliwa na Mawaziri Mpango na Kabudi, Magufuli alisema wazi kuwa hana haraka ya kuteua baraza la mawaziri. Sababu yake ilikua ni uwingi wa wabunge wa CCM ambao unampa muda mwingi wa kufikiri na kuchambua yupi anayefaa. Leo wakati Mwinyi wakati anatangaza...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Nakubaliana na Rais Mwinyi kwamba Manaibu Waziri wanaongeza gharama za Serikali naamini Rais Magufuli atafanya hivyo pia!

    Kiukweli sehemu moja muhimu ya kupunguza matumizi ya Serikali ni kuwaondoa manaibu waziri kwani zaidi ya kujibu maswali bungeni huwa sioni kazi nyingine ya maana wanayofanya. Katika hili nakubaliana kabisa na Rais wa Zanzibar Dkt. Mwinyi la kutoteua manaibu Waziri katika baraza lake. Ni imani...
  3. safuher

    JamiiForums Tanzania Serikali msijisahau katika hili la daktari kumtibia mtu wa jinsia tofauti na yeye

    Wakuu naomba niipongeze serikali kwa jitihada zake inazofanya katika kuhakikisha ile heshima ya jinsia zote inalindwa. Tukiangalia katika majeshi hasa jeshi la polisi utakuta kuna askari wa kike ambao kama itatokea muhalifu ni mwanamke basi askari yule hakuajiriwa kwa bahati mbaya bali hiyo...
  4. U

    JamiiForums Tanzania Serikali Awamu ya Tano yasaini Mkataba wa kusambaza maji Kutoka ziwa Victoria Kuelekea Majimbo ya Musoma, Bunda na Butiama Wenye Thamani ya Bil 70

    Serikali Ya Awamu ya 5 inayoongozwa na Mzalendo Nambari 1 nchini Dkt John Pombe Magufuli Imeamua kutimiza ahadi yake kwa kishindo Mkoani Mara Imegharamia mradi mkubwa wa Thamani ya Tsh Bilioni 70 utakaosambaza Maji Kutoka Ziwa Victoria kuelekea Majimbo ya Musoma Vijii, Butiama na Bunda...
  5. Replica

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mashinji: Huwezi ukawatofautisha Serikali, Mahakama na Bunge. Hata Mbinguni kuna Baba, Mwana na roho lakini maamuzi ni yaleyale

    Aliyewahi kuwa katibu mkuu wa Chama cha demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) na baadae kuhamia CCM, Dkt. Mashinji amesema Tanzania ni nchi changa na haiitaji kuwa na mabadiliko ya haraka ghafla kwa sababu kila mabadiliko yana athari. Amesema yakifanyika mabadiliko na yakaja na athari, bado Tanzania...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Mpango: Watendaji wa Hazina kuweni makini zaidi Serikali bado inaibiwa sana kwenye miradi ya Halmashauri

    Waziri wa fedha Dkt. Mpango amewataka watumishi wote wa Hazina kuwa makini zaidi kwa sababu fedha nyingi za serikali bado zinapotea kwenye miradi inayotekelezwa kwenye halmashauri. Dkt. Mpango amesema Serikali inahitaji fedha ili kukamilisha miradi ya kitaifa ikiwemo ujenzi na ukarabati wa...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Rushwa nje nje, Serikali litupie jicho hili

    Kumeibuka wimbi la matapeli Dodoma ambao wanajifanya wenyewe ni wafanyakazi wa TAMISEMI wanaitaji sh. 700,000 mpaka 1,000,000 ili mwalimu alioomba nafasi aweze kupata kazi na kupangiwa mjini au hata kijijini na baadae watamtoa huko alipo lakini cha muhimu apate kwanza. Inawezekana mtu au...
  8. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Nataka nimwambie Mheshimiwa Kassim, kazi ya uwaziri mkuu haina 'guarantee'

    Baada ya kumteua kisha kuthibitishwa na Bunge mwishoni mwa wiki, leo asubuhi Rais John Magufuli atamwapisha Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Majaliwa ataapishwa ili kuendelea kutekeleza majukumu yake kwa kipindi cha pili ikiwa ni siku tatu baada ya Bunge kumthibitisha. Mkurugenzi Msaidizi wa Idara...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini ACT-Wazalendo wanaishitaki Serikali ICC badala ya Mahakama ya Afrika Mashariki? Huu ni uzalendo?

    Tunazo mahakama za Afrika na mahakama ya Afrika mashariki lakini ACT wazalendo wamevuka mipaka hadi bara la Ulaya kupeleka malalamiko yao ya kisiasa. Je, ICC ni bora kuliko mahakama za Afrika? Je, ACT wazalendo ni wazalendo kweli? Maendeleo hayana vyama!
  10. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Lindi: Mtumishi wa LATRA amtishia sime dereva wa lori ili ampe leseni

    Emmanuel Manase, Mtumishi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Ardhini (LATRA) alimtolea sime dereva wa lori akimtaka ampe leseni yake. Tukio hilo limeonekana kuwa na ugomvi mkubwa na baadae mtumishi huyo aliamuru dereva aandikiwe faini ya Tsh. 500,000 ili kumkomoa. Umoja wa Wamiliki wa Mabasi...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Barabara ya Mbagala hadi Kongowe inatesa wananchi Serikali itupie jicho

    Kwa wakazi wa Toangoma Kongowe Mkuranga Vikindu na hata abiria wanaotokea Dar kwenda Lindi, Mtwara, Songea na masasi watakuwa wameshakutana na kero ya kipande cha barabara kutoka Mbagala hadi Kongowe ambapo Barabara ni nyembamba sana. Kero ya barabara hii hutokea pale mlima wa Kokoto ambapo...
  12. figganigga

    JamiiForums Tanzania Habari Mbaya: Mkurugenzi wa Meatu achomewa nyumba yake, yote yateketea

    Mkurugenzi wa Meatu mkoani Simiyu amechomewa nyumba yake usiku wa kuamkia leo. Nyumba yote imechomwa na vitu vyote vilivyomo ndani. RPC wa Simiyu, ACP Richard Abwao amesema kwenye nyumba alikuwepo mdogo wake na Mkurugenzi Fabian Manonza ndiye aliona moshi ndani na kibaya zaidi gesi nayo...
  13. OLS

    JamiiForums Tanzania Niliona/nauona udhaifu mkubwa kwenye mifuko ya Serikali na namna yao ya kuwafikia walengwa

    Kwanza nikiri nilikuwa naifahamu mifuko michache ya Serikali, ambayo pia walengwa wengi hawakuwa wakiifahamu. Jana nimemsikia Rais akisema mifuko ipo 18. Aisee ni mingi na ingekwenda sawa basi tungeona tija ya kila mfuko. Awali niliwahi kumuuliza Afisa Vijana wa Morogoro kuwa wanatumia njia...
  14. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Itakuwa jambo jema na la busara kama Serikali ya Tanzania itaifungia Twitter

    Hakuna ubishi kabisa watu wengi wanaoneza uongo juu ya Taifa letu ni watumiaji wa mtandao wa Twitter. Huko kuna watu wabaya sana ambao nafikiri sababu wengi wao wanaishi nje ya nchi basi muda wote ni kueneza propaganda za uongo na kutukana viongozi. Mbona China waliifungia baada ya kuona...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Lini tutakuwa Nchi moja, Serikali Moja? Jamhuri ya Tanzania isiwepo kabisa ile Muungano

    Tunahangaika sana mara kero mara mauaji mara kulazimishana mtafaruku mkubwa sana ,nahisi ni bora sasa iamuliwe tu na Wabunge tunao wengi sana wakutosha na ziada,tuondoe lile utata Jamhuri ya Muungano liwepo jina zuri la Jamhuri ya Watu wa Tanzania. Tunaondoa Baraza la Wawakilishi, tunaondoa...
  16. Replica

    JamiiForums Tanzania NEC yatangaza Uchaguzi mdogo kwenye Kata tatu

    Tume ya Taifa ya Uchaguzi(NEC) imetangaza uchaguzi mdogo katika kata tatu za Nyahanga iliyopo mji wa Kahama mkoani Shinyanga, Igumbilo iliyopo Halmashauri ya manispaa ya Iringa mkoani Iringa na Kibosho kati ilipo halmashauri ya manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro. Kata husika zinafanya...
  17. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania "Mabeberu" Marekani waanza mbinyo kwa Tanzania. Washawishi Serikali yao na Jumuiya ya Kimataifa kuanza vikwazo na kukata misaada

    According to the State Department, overall U.S. bilateral assistance to Tanzania, not including food aid, totaled an estimated $426 million in FY2019 and $548 million in FY2020. The Trump Administration requested $329 million for such assistance in FY2021. Kwa ufupi ripoti ya hali ya kisiasa...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Wabunge msiogope kuikosoa serikali, Tukosoeni lakini ukosoaji wenu uwe na tija siyo ilimradi kukosoa tu!

    Kuna wakati wapinzani walidai serikali ya awamu ya 5 haitaki kukosolewa bali inataka kusifiwa tu. Kumbe walikuwa waongo. Rais Magufuli amewataka wabunge wote bila kujali itikadi zao kuikosoa serikali na kuleta solutions za changamoto na siyo ilimradi kukosoa tu. Huu ni ujumbe wa kijasiri sana...
  19. P

    JamiiForums Tanzania Serikali ikimulike kiwanda cha nguo cha urafiki. Huu ni ushauri wa bure kwa waziri wa viwanda atakayeteuliwa

    Baada ya uchaguzi kuisha na uteuzi wa Waziri Mkuu na uundwaji wa Baraza la Mawaziri kukamilika, ninaishauri SERIKALI kupitia kwa Waziri wa VIWANDA, biashara na uwekezaji akimulike kiwanda cha NGUO cha urafiki kinachojulikana Kama (TANZANIA-CHINA FRIENDSHIP TEXTILES CO) kilichopo Ubungo jijini...
  20. Naantombe Mushi

    JamiiForums Tanzania Serikali haiwezi kukwepa lawama ya kuadimika na kupanda kwa bei ya Saruji nchini. Waziri wa Viwanda ana kazi sana, kuna janga linatunyemelea

    Habarini wakuu na raia wenzangu wa taifa la chama kimoja, japo nna uchungu mkubwa, lakini kamwe siwezi kuwa mvivu wa kutumia kalamu yangu kuihabarisha jamii na taifa langu, nimeteseka sana kwenye hii nchi, na nimekuwa nikitamani kuona hii nchi siku moja inapiga hatua moja ama nyingine -...
Back
Top Bottom