serikali

  1. JamiiForums Tanzania Nimeanza kuichukia CCM rasmi baada ya Serikali kuanza kuwatia ndani ndugu zangu kisa hawana pesa ya kuchangia ujenzi wa shule

    Nimekerwa sana na watendaji wa Serikali huko Shinyanga hususani wilaya ya Kishapu kuanzisha michango mikubwa, ndani ya wiki mbili mkulima analazimishwa kutoa elfu 70. Mheshimiwa Rais hivi ni kweli hii ni agizo lako? Maana wanasema ni maagizo kutoka juu. Kama ndivyo ilivyo, Mimi kuanzia Leo...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Innocent Bashungwa: Wasafi TV wanajutia kosa, wameomba msamaha na kuonesha nia ya kusimamia yasijirudie

    “ Wasafi Tv wanajutia kosa, wameomba msamaha na kuonesha nia ya kusimamia yasijirudie, Wizara inaendelea na jitihada za kuona hili linapata mwelekeo utakaolinda ajira zilizozalishwa, uwekezaji uliofanyika bila kuvunja sheria za Nchi"-Waziri wa Habari Innocent Bashungwa Taarifa: Darmpya Blog
  3. JamiiForums Tanzania Wito kwa Rais Magufuli, tuletee Muungano wa Serikali Moja

    Wajumbe, Nianze kwa kukumbushia andiko langu juu ya hatari iliyopo kwenye muundo wa muungano wetu hususan katika zama hizi za vyama vingi. https://www.jamiiforums.com/threads/je-zanzibar-inajiandaa-kujitwalia-uhuru-kamili.1770529/ Kwakua kupitia uchaguzi wa 2020 chama cha mapinduzi kimeshika...
  4. JamiiForums Tanzania Baada ya Tito Magoti na mwenzake kutiwa hatiani ni dhahiri kuwa sio kila anayejinasibu mkosoaji wa Serikali anabambikiwa kesi ya Uhujumu Uchumi

    Kabla ya kwenda moja kwa moja napenda kuweka wazi kuwa mimi ni mtu ambaye sipendi kuona watu wakionewa na hasa kunyimwa haki zao za msingi. Kumekuwepo na dhana potofu hapa Tanzania kuwa kila mtu anayeikosoa Serikali ya sasa ya awamu ya tano lazima akutane na mkono wa chuma.Dhana ambayo imekuwa...
  5. JamiiForums Tanzania Ni wakati wa Serikali kupandisha mishahara ya watumishi wa umma, hakuna kisingizio cha kutopandisha, uzalishaji umeongezeka

    Wanabodi hili ni bandiko la kuelezana ukweli,na kama viongozi wetu ni wakweli basi hakuna haja za kusubiri mpaka mei mosi ifike ili mishahara ya watumishi wa umma iongezwe. Mwaka 2017 kwenye mkutano mkuu wa 33 wa ALAT jijini Dar es salaam rais JPM alisema hawezi kuongeza mishahara ya watumishi...
  6. JamiiForums Tanzania Wazo na Ushauri: Serikali ikisimamia na kutoa elimu vizuri vitambulisho vya wamachinga, inaenda kuvunja rekodi nyingine kukusanya mapato

    Naomba nitoe ushauri kuhusu vitambulisho vya wamachinga. Kwa kifupi Watanzania wengi atupendi kulipa kodi sasa inahitajika elimu na kueleweshwa na kupewa mazingira rafiki kulipa kodi. Niende kwenye main point yaani wafanyabiashara wadogo wameongezeka kwa kiasi kikubwa mno kila kona wamepata...
  7. JamiiForums Tanzania Serikali yatoa siku 90 vifungashio vya plastiki visivyo na kibali cha TBS viondolewe sokoni

    Wazalishaji na wasambazaji wa vifungshio wamepewa miezi mitatu kuondoa sokoni bidhaa hizo zisizokidhi vigezo vinginevyo wajiandae kukutana na mkono wa sheria. Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Ummy Mwalimu ametoa agizo hilo leo Januari 8 alipozungumza na waandishi wa...
  8. JamiiForums Tanzania Sikubaliani kabisa na utaratibu wa Serikali kuwataka wananchi kuchangia ujenzi wa vyumba vya madarasa ilihali imetumia bilioni 700 kujenga daraja

    Huu ndiyo ukweli wangu. Binafsi naumia sana kuona mipango mhimu kama elimu inafanywa bila utaratibu. Majengo mengi yaliyojengwa na wananchi yapo chini ya kiwango na bado Serikali inaendelea na utaratibu huu wa hovyo. How can we be safe? Pesa za umma zitumike kwenye elimu, afya na ulinzi...
  9. JamiiForums Tanzania Katavi: Watumishi wa Serikali matatani kwa kulipana posho fedha kwa ajili ya ujenzi wa Kituo cha Afya Mnyagala wilayani humo

    Watumishi katika Wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi, wameingia matatani baada ya kudaiwa kulipana posho Sh. milioni 16.177 ambazo ni kati ya Sh. milioni 200 zilizotolewa na Rais John Magufuli kwa ajili ya ujenzi wa Kituo cha Afya Mnyagala wilayani humo. Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Juma Homera...
  10. JamiiForums Tanzania Hivi Walimu wa nchi hii tumemkosea nini Magufuli hata atutende hivi?

    Mishahara yetu duni..... Tumekubali. Posho ya mazingira magumu hamna... Tumekubali. Madaraja hatupandi.. Tumekubali. Annual increment hamna.. Tumekubali. Pay leave..likizo ya malipo hamna... Tumekubali. LAKINI Hata hili la kazi maalumu, kweli kabisa hutulipi. Yaani mitihani...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Haiwezekani Serikali nzima iwe inakusanya mapato; tutajenga taifa la watu maskini na fukara!

    Kimsingi kazi ya kukusanya na kusimamia mapato ya Serikali ni ya Wizara ya fedha na taasisi zake. Lakini kwa sasa kila waziri amejigeuza kuwa mtoza ushuru au mkusanya tozo na kuacha majukumu yao muhimu ya kusimamia ustawi wa jamii katika sekta zao. Jana nimemsikia Waziri wa Mawasiliano na...
  12. JamiiForums Tanzania Je, kuwapokonya Wakurugenzi ma V8 ndio kutafuta ukweli kuwa Serikali ilifanya makosa?

    Mchakato wa kufanya manunuzi ya mali umma zipo wazi. Kwa upande wa Halmashauri ni wazi kuwa lazima Baraza la Halmashauri husika likae na kupitisha matumizi pia kibali kutoka kwa wenye mamlaka kiruhusu. Tunajua wazi kuwa halmashauri nyingi zina magari haya ambayo kwa sasa ndio yanaonekana ni...
  13. JamiiForums Tanzania Serikali kuanza kuvifunga vituo vya Daycare vinavyoendeshwa kinyume na Sheria

    Vituo vya kulelea watoto (Daycare) vinavyoendeshwa bila kibali na visivyokuwa na sifa huenda vikafika mwisho baada ya Serikali kuanza kuvifunga. Wakati Serikali ikitangaza kuchukua hatia hiyo, halmashauri ya wilaya ya Ubungo imetangaza kuanza kuvifunga vituo hivyo kuanzia Januari 21, 2021...
  14. JamiiForums Tanzania Serikali yatangaza awamu ya pili ya ajira 5000 za Walimu

    Serikali imetangaza awamu ya pili ya ajira ya walimu 5,000 ili kufikia idadi ya walimu 13,000 kutokana na kibali kilichotolewa na Rais John Magufuli. Septemba 7, mwaka jana Rais John Magufuli alitoa kibali cha ajira mpya za walimu 13,000 wa shule za msingi na sekondari pamoja na mafundi sanifu...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Serikali fanyeni mipango kutokana na data

    Nashangazwa na serikali hasa ukizingatia wameweka wasomi wengi sana. Kwasababu ya mazoea wasomi wetu sio wabunifu na hakuna sera siku hizi na mapingo mizuri zaidi ya kumsubiria Magufuli anasema nini. 1. Elimu: Kwanini tunakurupuka sasa na kujenga vibanda tunavyoita madarasa! wakati kuna kitengo...
  16. F

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli tunaomba uruhusu mabadiliko shule za msingi za serikali ziwe English Medium nyingi katika miji mikubwa

    Ombi kwako Rais wangu. Shule za Serikali za english medium ni chache sana. Najua unajua ukweli kwamba hata viongozi kama mawaziri na wakurugenzi hawapeleki watoto wao kwenye shule za msingi za Kiswahili medium Na sisi raia wa kawaida tunapenda watoto wetu wafundishwe kwa lugha ya dunia...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Serikali tupia jicho Mfumuko wa maghala au Magodown maeneo mbalimbali nchini unapelekea mfumuko wa bei za bidhaa

    Pamoja na kwamba ukuaji na ueneaji wa Magodown ni ishara ya ukuaji wa shughuli za kiuchumi na uongezekaji wa vipato na ukusanyaji kodi kwa Serikali lakini usiporatibiwa vizuri unaweza kuleta ugumu na ukali wa maisha kwa wananchi na pia unaweza ukapunguza kwa asilimia kubwa ukusanyaji wa kodi...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Serikali za Mitaa na kazi zake kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Ibara ya 145.-(1) inaeleza kuwa :- Kutakuwa na vyombo vya Serikali za Mitaa katika kila mkoa, wilaya, mji na kijiji, katika Jamhuri ya Muungano, ambavyo vitakuwa vya aina na majina yatakayowekwa na sheria iliyotungwa na Bunge au na Baraza la Wawakilishi. (2) Bunge au Baraza la...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Bilionea wa China, Jack Ma adaiwa kutojulikani alipo kwa zaidi ya miezi miwili tangu alipoikosoa Serikali na Chama Tawala

    Uvumi umezagaa kuhusu wapi alipo bilionea wa China, Jack Ma kutokana na kutojitokeza kwake hadharani kwa muda wa miezi miwili. Jack Ma ambaye ni mwanzilishi wa kampuni ya Alibaba hajaonekana katika sehemu ya mwisho ya kipindi chake alichokianzisha cha ‘Africa’s Business Heroes,’ kinachowapa...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa Geita walalamikia kodi za TRA

    Mabibi na mabwana itakuwa ni kujidanganya kuwa kila kitu ni shwari pasipo kuangalia mrejesho tokea kwa wananchi. Hivi serikali ya awamu hii inafahamu kwa nini ina mwonekano hasi? Hapo ni kibwagizo tu. Ila ukweli wa mambo ni kuwa uporaji wa haki na uhuru wa watu haujawahi mwacha yeyote...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…