serikali

  1. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Shinikizo laongezeka dhidi ya serikali ya Ethiopia kuhusu jimbo la Tigray

    Marekani yasema itaiwekea vikwazo Ethiopia baada ya serikali ya nchi hiyo kuwafukuza maafisa saba wa mashirika ya kutoa misaada ya Umoja wa Mataifa ambao wanadaiwa kujihusisha na maswala ya ndani ya nchi hiyo. Wizara ya mambo ya nje ya Ethiopia imewapa maafisa saba wa Umoja wa Mataifa muda...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Serikali kubana matumizi napo tunasubiri Benki ya Dunia (WB) ituambie? Hatuwezi kuona tunakokwenda?

    Hali ni mbaya sana mitaani na anayebisha akapimwe akili, kwa sasa, wapo wananchi wanaoshindia mkate wa bakhalesa, wapo ambao siku inaweza kupita bila kula kabisa, nina uhakika na hilo, na katika hilo, niseme kwamba, hakuna nchi yenye watu wavumilivu kama Watanzania, si kwenye mambo ya kisiasa...
  3. Frustration

    JamiiForums Tanzania Kampuni za simu zimepunguza vifurushi vya internet tena

    Vodacom na Tigo walikuwa na kifurushi cha @1000tsh dk 100, sms 100 na 1Gb 3days au kwa @1500 tsh kwa 7days. Sasa hivi voda cha 3days wameweka 800MB na tigo 750MN. Airtel ndio wameua zaidi in short jionee mwenyewe. Najua serikali ina mkono au baraka zake hapa.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Vibao vya shule na taasisi nyingine za serikali kwenye hifadhi ya barabara

    Wakubwa, Hivi vibao vya shule na taasisi nyingine za serikali vilivyoko kwenye hifadhi ya barabara(road reserve) huwa vipo kisheria ama vipi Nimeuliza hivyo maana kuna mdogo wangu kagonga kibao cha shule ambacho kiko ndani ya hifadhi ya barabara na naona kuna mwalimu mkuu anajitia kimbelembele
  5. Mung Chris

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa Serikali Hakuwa mkweli kuhusu Mafao ya PSSSF kwa watumishi wa serikali walio staafu

    Msemaji wa serikali alitangaza akiwa Singida kuwa tar 22 mwezi huu september wastaafu tayari wamelipwa stahiki zao za Mafao. Leo hii tupo wastaafu 15 kutoka secta mbali mbali tulio staafu mapema mwaka jana mwezi wa 12, 2020, leo tarehe 30 septemba tumeenda Benki saa 2.27 usiku na kubaini hamna...
  6. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Napendekeza serikali iweke kipengele cha cheti cha JKT kwenye matangazo yote ya kazi katika Taasisi za kiserikali na utumishi

    Napendekeza serikali iweke kipengele cha cheti cha JKT kwenye matangazo yote ya kazi katika Taasisi za kiserikali na utumishi. Hii italeta maana ya vijana wetu kupitia, mafunzo haya ya JKT. Na italeta hamasa kwa wale ambao hawapendi kwenda kulitumikia Taifa huko JKT. Mimi nimetoa pendekezo tu,
  7. B

    JamiiForums Tanzania Hoja za Mawakili wa Serikali dhidi ya Adamoo

    Mawakili wa Serikali wanadai Adamoo alikamatwa kwa mujibu wa sheria na tena akatoa maelezo kwa kina Kingai kwa mujibu wa sheria na bila shinikizo. Hivyo wanaitaka mahakama kuyapokea maelezo hayo kama ushahidi wa kuaminika dhidi ya watuhumiwa kwenye shauri la msingi. Adamoo kaeleza mwenyewe...
  8. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Serikali: Kupanda kwa bei ya Nyama kunatokana na upungufu wa Ng'ombe

    WAZIRI wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega ameeleza sababu ya nyama kupanda kwa bei katika maeneo mbalimbali nchini ni kutokana na upungufu wa upatikanaji wa ng’ombe na ongezeko la mahitaji ya viwanda vya kuchakata nyama. Hata hivyo wafanyabiashara wa mifugo na wauza mabucha wamesema kuwa...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Msingi wa uongozi ni kutumikia wale unaowaongoza, Kafuateni sheria na miongozo ya serikali, mfanye kazi za wananchi

    Nawasalimia kwa jina la JMT, Hiki ndicho alichokiandika Mhe Rais Samia Suluhu Hassan kwenye ukurasa wake wa tweeter,
  10. F

    JamiiForums Tanzania Kazi zingine hazifai kuzisomea. Serikali msipokuwa Makini mtakosa wafanyakazi siku za mbelen.

    Wakuu Salam, Kwa mtazamo wangu kuna kazi naziona kama ngumu sana, mtu anapo zisomea ni kwa moyo wa Upendo tu na uzalendo. Siku akiachishwa kwa matatizo ya kawaida, awe anapewa posho kidogo za kujikim maana kupata ajira tena ni ngumu. Kwa mfano makomandoo wa Jeshi, naona ni mateso makubwa sana...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Serikali ya rais Samia yafanya makubwa jimboni Chalinze, mbunge na wananchi washukuru sana

    Serikali ya JMT leo imetimiza ahadi zake zilizotolewa na Rais wa JMT Mh. Samiah Suluhu Hassan kwa kupeleka Vifaa tiba Hospitali ya Wilaya ya Chalinze vyenye thamani ya Shilingi Milioni 480 ikiwemo mashine ya Kupiga picha za Mionzi yaani X-Ray, Jokofu la kuhifadhia maiti, mashine za kupimia damu...
  12. M

    JamiiForums Tanzania SoC01 Rai yangu kwa Serikali ya Tanzania

    Uchumi na Biashara Serikali imekua haitoi kipaumbele kwa biashara za matandaonu lakini biashara za mtandaoni zinaweaza kuwa chanzo kikubwa cha mapato ya nchi na ajira kwa vijana. Mfano biashara ya kubadilisha fedha mtandaoni (FOREX) biashara hii haifaamiki na haijapewa idhini na serikali...
  13. kavulata

    JamiiForums Tanzania Waandishi msiwachonganishe wamachinga na Serikali

    Wamachinga ni watoto wetu, wajukuu zetu, wapwa zetu, kaka, dada zetu, na jamaa zetu, wanatoka makabila yote na mikoa yote nchini Tanganyika na Zanzibar, hivyo hakuna mwenye chuki nao binafsi. Wamachinga wamejikuta pale walipo na kufanya vile wanavyofanya kutokana na sababu mbalimbali zikiwemo...
  14. P

    JamiiForums Tanzania Shukrani kwa Rais Samia na Serikali yako tukufu

    Tunashukuru Mh. Rais Samia na Serikali yako sasa tumeanza kuona ajira mpya. Ni jambo la kheri na inatia faraja kiasi. Lakini pamoja na hayo yote mema na mazuri, Mheshimiwa tunaomba usawa katika nafasi hizi kama ikikupendeza nikiwa na maana hii: 1. Kuna baadhi ya kada hazipati fursa ya kutoa...
  15. luangalila

    JamiiForums Tanzania Airtel mnazingua huduma yenu airtel money haifanyi malipo ya serikali

    Tangu Jumatatu najaribu kufanya malipo ya serikali kupitia Airtel Money lakini malipo yana kwamba (pending) na inachukua masaa 38 kurejesha pesa a mteja ktk account yake. Huu ni uduwanzi mnatukwamisha. Airtel kama system yenu ya malipo haipo sawa ni vyema kutoa taarifa mapema.
  16. T

    JamiiForums Tanzania Kassim Gogo: Msukuma sio raia wa Tanzania, yeye na genge lake wanaandaa mtu wao kuwa rais 2025

    MSUKUMA ASHUKIWA NA MJUMBE WA MKUTANO MKUU CCM TAIFA _____________________________________ Amwambia Lengo lake ni kugombanisha Machinga na Serikali. Atajwa kuratibu kundi la Kumkwamisha Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan 2025. Uraia wake wahojiwa Kwa kutumia jina la mama yake kama jina la baba...
  17. Wasomba

    JamiiForums Tanzania Agizo la Serikali la kushusha riba za mikopo limeshaanza kutekelezwa?

    Kumekuwa na agizo la Serikali lililotolewa miezi michache iliyopita ya kuyataka mabenki kushusha riba ili kuongeza ukwasi mitaani. Naomba kufahamu kama agizo hilo limeshaanza kutekelezwa.
  18. beth

    JamiiForums Tanzania Tanzania kupokea dozi milioni 2 za chanjo aina ya Sinopharm

    Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema Tanzania inatarajia kupokea Dozi Milioni 2 za Sinopharm kutoka Nchini China. Kwenye chanjo hiyo, mtu atapokea dozi mbili tofauti na Johnson & Johnson ambayo inachomwa mara moja Akizungumza kutoka Mkoani Singida, Msigwa ameeleza kuwa idadi ya...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Lini Serikali hii sikivu itakamilisha ulipaji wa malimbikizo kwa wafanyakazi?

    Tangu awamu ya sita ilipo ingia madarakani wafanyakazi tulishuhudia baadhi yao wakianza kulipwa malimbikizo yao ya muda mrefu Sana,lakini baada ya muda mfupi tena Ni kama zoezi hili limekwama tena Mimi kama mfanyakazi naomba serikali ilipe malimbikizo ya wafanyakazi Hawa kwa sababu Kuna...
  20. DolphinT

    JamiiForums Tanzania Serikali irudishe hadhi ya shule za Umma

    Kuanzia kipindi cha mwaka 2010 mpaka hivi sasa tumeshuhudia juhudi za makusudi zikifanywa na serikali katika kuhakikisha kuwa sekta ya elimu licha ya kukua pia inatoa huduma bora kwa wahusika. Miongoni mwa juhudi hizo ni pamoja na mpango wa ujenzi wa maabara katika kila shule ulioasisiwa na...
Back
Top Bottom