Hoja za Mawakili wa Serikali dhidi ya Adamoo

brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
27,226
35,151
Mawakili wa Serikali wanadai Adamoo alikamatwa kwa mujibu wa sheria na tena akatoa maelezo kwa kina Kingai kwa mujibu wa sheria na bila shinikizo. Hivyo wanaitaka mahakama kuyapokea maelezo hayo kama ushahidi wa kuaminika dhidi ya watuhumiwa kwenye shauri la msingi.

Adamoo kaeleza mwenyewe namna alivyokamatwa. Yaliyotokea Moshi, alivyojikuta Tazara, hadi polisi Mbweni.

Shahidi #2 wa utetezi kaeleza mazingira ya ukamatwaji. Kilichotokea Moshi, alivyojikuta Tazara hadi Mbweni.

Shahidi wa pili alimwona Adamoo akipelekwa kwenye kinyumba cha mateso Moshi. Alimsikia sauti ya zege akilia. Alimwona akikokotwa kurejeshwa mahabusu. Kama alivyohisi zamu yake ya mateso na vipigo ilifuata baada tu ya Adamoo kurejeshwa mahabusu.

Shahidi wa pili aliambiwa na mmoja wa watesi wao kuwa kipigo cha Adamoo kilikuwa kikali zaidi kuwa bahati yake yeye alipata mwokozi.

Aliporudishwa rumande kwake alisema na Adamoo ambapo Adamoo alijibu - Mikazo (code ya kijeshi kuwa kateswa sana).

Kabla ya safari ya Dar shahidi #2 alimwona Adamoo akikokotwa kuletwa kwenye gari.

Tazara, shahidi wa pili alimsikia akilia na kumwona na kujiridhisha kuwa alikuwa ni luteni Urio ambaye alikuwa naye akiteswa.

Njiani kwenda Mbweni Shahidi wa pili akigongwa gongwa kichwani kwa bastola aliambiwa na Inspekta Mahita kuwa asipokubaliana na yao watamtupa pia kama walivyomtupa Moses Lijenje.

Mbweni Shahidi #2 anasema yeye na bila shaka Adamoo hawakupata chakula chochote rasmi kwa siku 10.

Adamoo na Shahidi wa 2, kote Tazara na Mbweni waliandikishwa kwa majina tofauti na yao. Johnson John alikuwa Commando Ling'wenya shahidi #2.

Mashahidi wote hawa wanasema waliletewa maelezo wakatakiwa kuyasaini wakiwa kwenye vitisho.

Shahidi #3 wa utetezi mke wa Adamoo anasema nyumbani kulisachiwa akiwa hayupo na baadhi ya vitu vikachukuliwa. Yeye na wenzake walifika vituo kadhaa vya polisi kuwatafuta wenza wao kwa utambulisho wa majina yao bila mafanikio.

Mama Ling'wenya angejua vipi mumewe ni Johnson John kama ile chanjo ya yetu pendwa ya J&J?

Segerea, shahidi wa tatu alisikia askari magereza wakisema mumewe yaani Adamoo ni yule mtu kwenye kabati.

Alipokuja Adamoo alikuwa kadhoofu, macho yamemdumbukia, akichechemea, akiwa na makovu mapya mikononi.

Adamoo alimwambia shahidi wa tatu kuwa alikuwa kateswa na kupigwa sana Moshi.

Mashahidi wa serikali wameshindwa kuieleza mahakama ni kwa nini washitakiwa walipelekwa Mbweni Polisi.

Mawakili wa serikali hawakatai kuwapo mtu akiteswa Moshi. Wanatilia shaka kuwa Ling'wenya anaweza kuwa alisikia mtu mwingine.

Pamoja na kuwa waliomba kesi kuahirishwa kumsubiria shahidi wao #4 Jumanne, katika hali ya kushangaza pamoja na kuwa Jumanne alionekana kwenye viunga vya mahakama siku ya shauri, mawakili wa serikali waliamua ghafla kufunga sehemu yao ya ushahidi.

Macho yote sasa kwa Jaji. Akitupilia mbali pingamizi hili maana yake kakubaliana na upande mashtaka kuwa yote ilikuwa kwa mujibu wa PGO.

Yuko wapi Moses Lijenje?
 
Je, wahuni ndani ya hii Serikali haramu hawatamtisha Ili kuingilia uhuru wake na kufanya maamuzi watakayo hao Wahuni!?

Sorry tunamwangalia mheshimiwa Jaji na tuna Imani naye ya kuwa atatenda haki. Ushahidi ameusikia na vilevile amepata faida ya kuwaona mashaidi kwa mamma walivyokuwa wakitoa ushahidi wao(deameaner of witnesses). Tumwombee Mungu amtangulie na atende haki.
 
Au wahuni wa Ufipa hawatafanya lolote kumvuruga mwamuzi?

Una maana wahuni wa Ufipa ndiyo wanamshikilia Moses?

IMG_20210930_170832_807.jpg

Arudishwe Moses Lijenje akiwa hai.
 
Mawakili wa Serikali wanadai Adamoo alikamatwa kwa mujibu wa sheria na tena akatoa maelezo kwa kina Kingai kwa mujibu wa sheria na bila shinikizo. Hivyo wanaitaka mahakama kuyapokea maelezo hayo kama ushahidi wa kuaminika dhidi ya watuhumiwa kwenye shauri la msingi.

Adamoo kaeleza mwenyewe namna alivyokamatwa. Yaliyotokea Moshi, alivyojikuta Tazara, hadi polisi Mbweni.

Shahidi #2 wa utetezi kaeleza mazingira ya ukamatwaji. Kilichotokea Moshi, alivyojikuta Tazara hadi Mbweni.

Shahidi wa pili alimwona Adamoo akipelekwa kwenye kinyumba cha mateso Moshi. Alimsikia sauti ya zege akilia. Alimwona akikokotwa kurejeshwa mahabusu. Kama alivyo hisi zamu yake ya mateso na vipigo ilifuata baada ya Adamoo.

Shahidi wa pili aliambiwa na mmoja wa watesi wao kuwa kipigo cha Adamoo kilikuwa kikali zaidi kuwa bahati yake yeye alipata mwokozi.

Aliporudishwa rumande kwake alisema na Adamoo ambapo Adamoo alijibu - Mikazo (code ya kijeshi kuwa kateswa sana).

Kabla ya safari ya Dar shahidi #2 alimwona Adamoo akikokotwa kuletwa kwenye gari.

Tazara, shahidi wa pili alimsikia akilia na kumwona na kujiridhisha kuwa alikuwa ni luteni Urio ambaye alikuwa akiteswa.

Njiani kwenda Mbweni Shahidi wa pili akigongwa gongwa kichwani kwa bastola aliambiwa na Inspekta Mahita kuwa asipokubaliana na yao watamtupa pia kama walivyomtupa Moses Lijenje.

Mbweni Shahidi #2 anasema yeye na bila shaka Adamoo hawakupata chakula chochote rasmi kwa siku 10.

Adamoo na Shahidi wa 2, kote Tazara na Mbweni waliandikishwa kwa majina tofauti na yao. Johnson John alikuwa Commando Ling'wenya shahidi #2.

Mashahidi wote hawa wanasema waliletewa maelezo wakatakiwa kuyasaini wakiwa kwenye vitisho.

Shahidi #3 wa utetezi mke wa Adamoo anasema nyumbani kulisachiwa akiwa hayupo na baadhi ya vitu vikachukuliwa. Yeye na wenzake walifika vituo kadhaa vya polisi kuwatafuta wenza wao kwa utambulisho wa majina yao bila mafanikio.

Mama Ling'wenya angejua vipi mumewe ni Johnson John kama ile chanjo ya yetu pendwa ya J&J?

Segerea, shahidi wa tatu alisikia askari magereza wakisema mumewe yaani Adamoo ni yule mtu kwenye kabati.

Alipokuja Adamoo alikuwa kadhoofu, macho yamemdumbukia, akichechemea, akiwa na makovu mapya mikononi.

Adamoo alimwambia shahidi wa tatu kuwa alikuwa kateswa na kupigwa sana Moshi.

Mashahidi wa serikali wameshindwa kuieleza mahakama ni kwa nini washitakiwa walipelekwa Mbweni Polisi.

Mawakili wa serikali hawakatai kuwapo mtu akiteswa Moshi. Wanatilia shaka kuwa Ling'wenya anaweza kuwa alisikia mtu mwingine.

Pamoja na kuwa waliomba kesi kuahirishwa kumsubiria shahidi wao #4 Jumanne, katika hali ya kushangaza pamoja na kuwa Jumanne alionekana kwenye viunga vya mahakama siku ya shauri, mawakili wa serikali waliamua ghafla kufunga sehemu yao ushahidi.

Macho yote sasa kwa Jaji. Akitupilia mbali pingamizi hili maana yake kakubaliana na upande mashtaka kuwa yote ilikuwa kwa mujibu wa PGO.

Yuko wapi Moses Lijenje?
JAJI KAMA HANA SHINIKIZO, WHICH IS LIKELY SO, I AM AFRAID, MAJIBU YA TRIAL WITHIN A TRIAL YAKO WAZI. THAT WAS AN INVOLUNTARY, FORCED CONFESSION......AND FORCED SIGNATURE
 
Attachments

  • TRIAL WITHIN A TRIAL ADMISSIBILITY NIGERIA.docx
    51.7 KB · Views: 18
Sorry tunamwangalia mheshimiwa Jaji na tuna Imani naye ya kuwa atatenda haki. Ushahidi ameusikia na vilevile amepata faida ya kuwaona mashaidi kwa mamma walivyokuwa wakitoa ushahidi wao(deameaner of witnesses). Tumwombee Mungu amtangulie na atende haki.
Kama hukumu haita andikiwa kusiko julikana kwa amri toka juu, basi hapa hamna kesi. Na Jaji atakubaliana na mawakili wa utetezi. Maana ushshidi uko wazi. Hata maswali ya mawakili wa serikali yalikuwa yanawapa nafasi washtakiwa kjieleza zaidi.
 
Nauliza, tubashiri kuwa Jaji atakubali hoja za uetetezi, Shauri la msingi linaweza kuendelea?
 
Mawakili wa Serikali wanadai Adamoo alikamatwa kwa mujibu wa sheria na tena akatoa maelezo kwa kina Kingai kwa mujibu wa sheria na bila shinikizo. Hivyo wanaitaka mahakama kuyapokea maelezo hayo kama ushahidi wa kuaminika dhidi ya watuhumiwa kwenye shauri la msingi.

Adamoo kaeleza mwenyewe namna alivyokamatwa. Yaliyotokea Moshi, alivyojikuta Tazara, hadi polisi Mbweni.

Shahidi #2 wa utetezi kaeleza mazingira ya ukamatwaji. Kilichotokea Moshi, alivyojikuta Tazara hadi Mbweni.

Shahidi wa pili alimwona Adamoo akipelekwa kwenye kinyumba cha mateso Moshi. Alimsikia sauti ya zege akilia. Alimwona akikokotwa kurejeshwa mahabusu. Kama alivyo hisi zamu yake ya mateso na vipigo ilifuata baada ya Adamoo.

Shahidi wa pili aliambiwa na mmoja wa watesi wao kuwa kipigo cha Adamoo kilikuwa kikali zaidi kuwa bahati yake yeye alipata mwokozi.

Aliporudishwa rumande kwake alisema na Adamoo ambapo Adamoo alijibu - Mikazo (code ya kijeshi kuwa kateswa sana).

Kabla ya safari ya Dar shahidi #2 alimwona Adamoo akikokotwa kuletwa kwenye gari.

Tazara, shahidi wa pili alimsikia akilia na kumwona na kujiridhisha kuwa alikuwa ni luteni Urio ambaye alikuwa akiteswa.

Njiani kwenda Mbweni Shahidi wa pili akigongwa gongwa kichwani kwa bastola aliambiwa na Inspekta Mahita kuwa asipokubaliana na yao watamtupa pia kama walivyomtupa Moses Lijenje.

Mbweni Shahidi #2 anasema yeye na bila shaka Adamoo hawakupata chakula chochote rasmi kwa siku 10.

Adamoo na Shahidi wa 2, kote Tazara na Mbweni waliandikishwa kwa majina tofauti na yao. Johnson John alikuwa Commando Ling'wenya shahidi #2.

Mashahidi wote hawa wanasema waliletewa maelezo wakatakiwa kuyasaini wakiwa kwenye vitisho.

Shahidi #3 wa utetezi mke wa Adamoo anasema nyumbani kulisachiwa akiwa hayupo na baadhi ya vitu vikachukuliwa. Yeye na wenzake walifika vituo kadhaa vya polisi kuwatafuta wenza wao kwa utambulisho wa majina yao bila mafanikio.

Mama Ling'wenya angejua vipi mumewe ni Johnson John kama ile chanjo ya yetu pendwa ya J&J?

Segerea, shahidi wa tatu alisikia askari magereza wakisema mumewe yaani Adamoo ni yule mtu kwenye kabati.

Alipokuja Adamoo alikuwa kadhoofu, macho yamemdumbukia, akichechemea, akiwa na makovu mapya mikononi.

Adamoo alimwambia shahidi wa tatu kuwa alikuwa kateswa na kupigwa sana Moshi.

Mashahidi wa serikali wameshindwa kuieleza mahakama ni kwa nini washitakiwa walipelekwa Mbweni Polisi.

Mawakili wa serikali hawakatai kuwapo mtu akiteswa Moshi. Wanatilia shaka kuwa Ling'wenya anaweza kuwa alisikia mtu mwingine.

Pamoja na kuwa waliomba kesi kuahirishwa kumsubiria shahidi wao #4 Jumanne, katika hali ya kushangaza pamoja na kuwa Jumanne alionekana kwenye viunga vya mahakama siku ya shauri, mawakili wa serikali waliamua ghafla kufunga sehemu yao ushahidi.

Macho yote sasa kwa Jaji. Akitupilia mbali pingamizi hili maana yake kakubaliana na upande mashtaka kuwa yote ilikuwa kwa mujibu wa PGO.

Yuko wapi Moses Lijenje?
Hayo maelezo ni batili,jaji hawezi kuruhusu mahakama yake kuyapokea nadhani
 
ushahidi wa Adamoo ni maneno ya mfa maji, hayana maana hata kidogo, maneno yake yamejaa uzushi na uongo wa kunuka, yanafaa yapuuuzwe kabisaaaa.
 
40 Reactions
Reply
Back
Top Bottom