Airtel mnazingua huduma yenu airtel money haifanyi malipo ya serikali

luangalila

JF-Expert Member
Jan 12, 2014
6,325
6,871
Tangu Jumatatu najaribu kufanya malipo ya serikali kupitia Airtel Money lakini malipo yana kwamba (pending) na inachukua masaa 38 kurejesha pesa a mteja ktk account yake.

Huu ni uduwanzi mnatukwamisha. Airtel kama system yenu ya malipo haipo sawa ni vyema kutoa taarifa mapema.
 
Back
Top Bottom