serikali

  1. mwananyaso

    JamiiForums Tanzania Swali kwa Serikali ya Awamu ya Sita kuhusu fedha za ufadhili toka kwa wahisani

    Kuna desturi ya hawa wahisani wanapotupatia pesa zao za misaada au mikopo yenye mashariti nafuu hutupangia pia na matumizi yake na kututaka tutii baadhi ya mashariti yao. Je, wakija taka kutupatia pesa kwa mashariti ya kuruhusu mapenzi ya jinsia moja tutazipokea? Nawasilisha kwa unyenyekevu...
  2. escrow one

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Serikali haifikirii kuanzisha Mikoa na Wilaya mpya kwa sasa

    Rais wa JMT Mama Samia amesema kwa sasa Serikali yake haifikirii kuanzisha Mikoa na Wilaya mpya kutokana na hali ya kiuchumi ya Taifa letu kwa sasa. Akijibu ombi lililotolewa na Mbunge wa jimbo la Mbagala mkoani Dar es salaam aliyetaka jimbo hilo lipewe hadhi ya Wilaya, Rais Samia amesema hali...
  3. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    JamiiForums Tanzania Magaidi yatakapoitumia vibaya kesi ya Mbowe. Je, Serikali imejiandaa?

    Kudhalilishwa kwa makomando kama kunavojiri mahakamani kwenye hii kesi katika ushahidi wake !kunanipa maswali mengi kichwani kama haya:- 1. Komando ni nani hasa? 2. Makomando wangapi wapo mtaani na hawana ajira? 3. Ikitokea magaidi wakatumia mwanya wa kuwafuta machozi hawa makomando na kuwapa...
  4. Babe la mji

    JamiiForums Tanzania Mambo yanayoikabili Serikali ya Rais Samia ambayo yasipotafutiwa ufumbuzi wa haraka yataiweka pabaya

    Bei ya mafuta ya petrol kupanda hadi kuvunja rekodi ya tangu tupate uhuru, leo hii kwa Dar ni sh 2510 kwa lita. Mgao wa umeme Mgao wa maji Kipanda kwa vifaa vya ujenzi Gharama za maisha Kupanda maladufu eg, sabuni, mafuta ya kula nk Maisha magumu Mgogoro wa kisiasa hasa swala la Mbowe na Rais...
  5. Namichiga

    JamiiForums Tanzania Kwa kesi hii ya ugaidi ya akina Mbowe: Je, Kitengo cha propaganda ndani ya Serikali wamefaulu au wamefeli?

    Ndugu wana jukwaa, kwenye kichwa cha habari hilo ni swali, hivyo katika kutoa hoja naomba kwanza tutangulize kwanza kujibu na baadae ndio zifuatie hoja za uchambuzi. Katika maswala mazima ya mifumo ya kiutawala katika nchi za Kiafrika, hili neno la propanda linapewa kipaumbele kikubwa pindi...
  6. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Serikali imelipa zaidi ya 2.9 bilioni kama riba ya ucheleweshaji wa malipo kwa makandarasi, Prof: Assad anajifunza nini hapa?

    Wakati ujenzi wa kipande cha Dar – Morogoro ulitakiwa kukamilika katika kipindi cha miezi 30 baada ya kuzinduliwa, na muda huo umepita, haifahamiki sababu za kuchelewa kwake wala siku ya kuanza kutumika. CAG Charles Kichere alibainisha katika ripoti yake ya miradi ya maendeleo ya mwaka 2019/20...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atoa TZS 300BL kukamilisha majengo ya Serikali Jijini Dodoma

    Rais Samia Suluhu Hassan ametoa jumla ya TZS 300BL kwaajili ya kukamilisha safari ya Serikali kuhamia Jijini Dodoma, Waziri mkuu wa Tanzania Majaliwa Khasim Majaliwa amesema jumla ya magorofa 20 yatajengwa na Serikali na mengine 4 yatajengwa na Sekta binafsi. Akizundua awamu ya Pili ya...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Jokate Mwegelo ametoa rai kwa Wananchi kuunga mkono juhudi za Serikali kwa kushiriki katika miradi ya maendeleo

    WANANCHI WATAKIWA KUUNGA MKONO JUHUDI ZA SERIKALI Mkuu wa wilaya ya Temeke mheshimiwa Jokate Mwegelo ametoa rai kwa Wananchi kuunga mkono juhudi za Serikali kwa kushiriki katika miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwenye maeneo yao. Mhe. Jokate ametoa rai hiyo leo Disemba 02,2021...
  9. wazagamba nkoko

    JamiiForums Tanzania Kwa huu mfumuko wa bei ya bidhaa karibu zote nchini Serikali inapaswa kujiuzulu haraka sana

    Kila kitu holela, bidhaa aina zote bei juu na ni ndani ya muda mchache sana, serikali imeshindwa kazi, ijiuzulu. Mwaka jana pamoja na kovidi kutisha kwa kiwango cha hali ya juu hatukuwa na mfumuko wa bei kiwango cha sasa. Inaonekana Serikali tayari mikononi mwa walanguzi
  10. Replica

    JamiiForums Tanzania James Mbatia: Ufanisi na kuaminika Serikali ya awamu ya sita umeondoka kabisa

    Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi, James Mbatia amesema Ufanisi na kuaminika serikali ya awamu ya sita umeondoka kabisa pia Mbatia amesema kuna mpasuko mkubwa Serikalini. Mbatia amedai kukosekana kwa uchaguzi mwaka jana kumeleta matatizo mengi na hali sio nzuri.
  11. VUTA-NKUVUTE

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Kubenea dhidi ya Makonda ni dhihaka, fedhea na 'kichekesho' kwa Ofisi ya DPP na Serikali kwa ujumla

    Si jambo la kulikalia kimya. Lazima niseme ukweli juu ya jambo hili. Ukweli wa heri na si wa shari. Ingawa ni jambo linaloruhusiwa kikatiba na kisheria kuwepo kwa uwezekano wa mtu binafsi kumshtaki mwingine kijinai, masuala yote ya kijinai yapo chini ya Ofisi ya Mashtaka ya Taifa iliyo chini ya...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa mwajiri kutoa mkono wa pole(rambirambi) kwa mtumishi wa serikali baada ya kufiwa na mama au baba upoje?

    Viongozi naombeni kujua utaratibu wa kupatia pole(rambirambi) na mwajiri(serikali) baada ya kufiwa na mzazi. Na kama upo huwa ni shilingi ngapi? Documents zipi zinahitajika ili mtumishi aweze kulipwa? Naombeni msaada viongozi.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Serikali imewezesha kushuka kwa bei ya mafuta

    Kupanda kwa bei ya mafuta kuna athiri kwa ujumla maisha ya wananchi, kwa sababu kunapelekea kupanda kwa gharama za vitu vingine. Lakini licha ya kuwa inaonekana bei ya amefuta imepanda, kwa namna nyingine unaweza kusema bei imeshuka. Imeshuka kwa sababu serikali imeondoa ada ya mafuta ya TZS...
  14. ommytk

    JamiiForums Tanzania Wenyeviti serikali za mtaa mkoa dsm msaidie mkuu mkoa na serikali kwa jumla kwenye hili la wamachinga wamerudi upay

    tuwaombe wenyeviti serikali za mtaa mkoa dsm wamsaidie mkuu mkuu mkoa dsm pamoja na serikali kwa jumla kwenye hili la wamachinga ni ngumu mkuu mkoa kuzunguka kila mtaa kujua wamachinga ambao wamerudi upya katika maeneo ambayo waliondoka wenyewe kwa hiyari .maeneo ayo yote kuna viongozi wapo na...
  15. Abdalah Abdulrahman

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya Serikali kulazimisha Watumishi wa Umma kuchanja chanjo ya UVIKO-19

    Watumishi wa umma ndio wanaowahudumia wananchi,kasi ya ugonjwa wa uviko-19 inaweza kupungua kwa serikali kuwalazimisha watumishi wa umma kuchanja. Hii itasaidia 1. Watumishi kuto ambukizana 2. Watumishi kuto ambukiza wananchi 3. Wananchi kuto kuwaambukiza watumishi Nchini Kenya idadi ya...
  16. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Serikali imesitisha uzalishaji wa pombe ya Banana kwa kutokidhi viwango vya ubora

    Siku chache zilizopita, mdau wa JF aligusia juu ya Pombe hii kuwa hatarishi kwa wananchi. Serikali imechukua hatua mapema ili kuwalinda wananchi. Hoja ya mdau inapatikana hapa Unywaji wa pombe aina ya Banana inaathiri nguvu kubwa sana ya vijana ========== Serikali imesitisha uzalishaji wa...
  17. Replica

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mahakama Kuu divisheni ya Makosa ya Uhujumu Uchumi na Rushwa, kesi ya Mbowe na wenzake - 30 Nov 2021

    Kesi inayomkabili Mbowe na wenzake 3 inaendelea mahakamani leo Novemba 30, 2021 ======= Wakili wa Serikali: Mheshimiwa Jaji Shauri limekuja kwa ajili ya Kusikilizwa, Naomba tupatiwe Nyaraka ilikuweza Kuzikagua. Wamekabidhiwa Nyaraka na Kuanza Kukagua Moja baada ya Nyingine. Wakili wa...
  18. Kingsmann

    JamiiForums Tanzania Enzi zetu Serikali ilikuwa inawasisitiza wazazi wawaruhusu watoto kurudi Shule kwa masomo ya ziada, eti leo hii inapiga marufuku

    Tangu lini Serikali yetu ikaanza kujali Afya za Watoto kuliko viwango vizuri vya ufaulu? Hii haijawahi kutokea na haitakaa itokee, tuache siasa kwenye mambo ya msingi, tusiue sisimizi kwa rungu, tutafute solution ambazo hazitawaweka kwenye wakati mgumu walimu wetu (maana watoto wakifeli serikali...
  19. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Watanzania tuipongeze serikali ya CCM kusambaza umeme vijijini kwa kasi na mafanikio makubwa kwa muda wa miaka sita

    Wakala wa Nishati Vijijini (Rea) imesema imeongeza huduma ya upatikanaji umeme kutoka asilimia 2 mwaka 2007 hadi kufikia 69.6 Juni mwaka huu. kurugenzi Mkuu wa Rea, Mhandisi Hassan Saidy amesema malengo yalikuwa kufikia asilimia 50 hivyo wameweza kuvuka lengo walilojiwekea.
  20. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Waziri Gwajima: Viongozi wa Serikali wasiochanjwa waachie ngazi

    Waziri wa Afya, Dorothy Gwajima karudi na rungu. Ametoa rai kuwa viongozi ambao mpaka sasa hawajachanjwa, watatakiwa waachie ngazi kwani hawawezi kusimamia kampeni ya kusimamia uchanjwaji dhidi ya corona. Waziri wa Afya amesema kama Rais kachanja ili iwe mfano, sasa hao viongozi hawatetei...
Back
Top Bottom