serikali

  1. beth

    JamiiForums Tanzania Kazakhstan: Serikali yajiuzulu kufuatia maandamano ya kupinga bei za mafuta

    Rais Kassym-Jomart Tokayev amekubali Serikali kujiuzulu kufuatia maandamano yaliyotokana na ongezeko la bei za mafuta. Ametangaza Hali ya Dharura kwa muda wa wiki mbili katika baadhi ya maeneo Nchini humo. Mikusanyiko mikubwa imeripotiwa katika Miji mikubwa kadhaa na Polisi wametumia mabomu ya...
  2. Idugunde

    JamiiForums Tanzania CCM imejidhalilisha, kumbe huwa inawapa Maspika kusimamia mhimili wa Bunge ili kuficha madhambi na makosa ya serikali yake

    Jana ndio kila picha limeungua hapa nchini. Maana kauli za mkuu wa nchi na mwenyekiti wa CCM zimefunua macho watanzania. Kumbe mtu kuwa spika lazima uaminiwe na wanaCCM ili kulinda maslahi yao na ya chama chao kwa kuficha makosa yao na madhambi yao. Ila ukifanya kazi ya kusimamia serikali na...
  3. Mystery

    JamiiForums Tanzania Mpambano mkali wa Mkuu wa mhimili wa Serikali na Bunge, ni "neema" kwa Vyama vya Upinzani

    Nimemsikiliza kwa makini Rais Samia Suluhu Hassan, akimpa "za uso" Spika Ndugai, kuhusu kile alichotufunulia ni kuwa ni mbio za Urais wa 2025, angalau kimebatizwa jina na hao mahasimu wake kuwa ni deni la Taifa linalohatarisha usalama wa nchi yetu kupigwa mnada. Hoja pekee na ya nguvu...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Wapinzani ni washauri sahihi wa serikali, walimshauri Rais avunje baraza tukawapinga; naamini wanatonywa mengi

    Wapinzani walipomwambia Rais avunje Baraza ateue na kuapisha upya niliikuwa mmoja wa waliodhani ni ushauri batili. Wapinzani wakasema kuna watu walitaka Mhe. Rais asiapishwe nikawapuuza nakudhani wanataka kumtisha Mhe. Rais akose utulivu Wakasambaza taarifa za sukuma Gang nikaona wanaanza...
  5. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba: Hakuna mwananchi atakayelipa mkopo, Serikali italipa

    "Hakuna siku Mtanzania mmojammoja atagongewa hodi mlangoni kwamba tunakudai Shillingi hizi kwasababu Nchi yako ilikopa, haipo Nchi hiyo, hivi ni vitu vya Kitaasisi na vinaangaliwa kutoka kwenye mapato ya Kiserikali" "Hakuna siku Mtanzania atafuatwa aambiwe wewe una ng'ombe wengi sana toa mmoja...
  6. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Ni aibu kubwa kwa Waziri Mwigulu kusema Serikali ndiyo hulipa madeni

    Hii ya leo hakika bwana Waziri Nchemba ni zaidi ya utovu wa nidhamu kwa walipa kodi! Unatoa wapi uthubutu wa kudai Serikali ndiyo hulipa madeni na si wananchi?! Kwamba bila kodi ya wananchi Serikali bado ingeweza kulipa deni?! Hii ni zaidi ya dharau kutoka kwa mtu aliyeshiba. Ukweli ni...
  7. beth

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Tutaendelea kukopa, deni ni himilivu

    Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Mkopo sio Msaada, na Mkopo hutolewa kwa mwenye chanzo cha kulipa. Amesema, "Tutaendelea kukopa ili tutekeleze miradi mikubwa kwa haraka" Amesema tathmini ya uhimilivu wa deni iliyofanyika Mwezi Novemba inaonesha Deni ni himilivu kwa...
  8. Anna Nkya

    JamiiForums Tanzania Serikali yatangaza kushuka kwa bei za mafuta

    Serikali kupitia Mamlaka ya Uthibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza kushuka kwa bei za mafuta. Taarifa iliyotolewa leo na EWURA inaeleza kwamba, Ikilinganishwa na bei za mwezi Desema 2021, bei za Januari 2022 zitapungua kwa kati ya Shilingi 4 na 35 kwa lita ya petroli; na kati...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Soda zimeisha mtaani!

    Wanajamvi Heri ya mwaka mpya. Mimi ni mdau wa kuuza bidhaa za dukani na vinywaji. Kuna changamoto kubwa sana sasahivi kupata Soda za kampuni zote coca na pepsi. Shida ni nini jamani mbona hatuelewi?
  10. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Uongo wa Serikali juu ya Miradi ya kitaifa Nani ashugulikiwe

    Machi 26 mtendaji mkuu tanload alisema Daraja la Wami litakamilika Sept 2021. Kwa mujibu wa Mwananchi, Leo Serikali inakuja na Lugha nyingine. Kwanini tunafanywa watoto Miaka miwili nyuma tuliambiwa kipande Cha reli dar to Moro kuzinduliwa Novemba 2019. Leo 2022. Miaka 3 baadae hakuna kitu Kama...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Kama ni kweli kwamba Serikali sasa imedhibitiwa na mitandao ya waharifu, Wanyonge waishije?

    Nimefuatilia masuala kadhaa, yanakipeleka kuwaza mustakabari wa Wananchi wanyonge na vizazi vyao uko namna gani. 1. Kisa cha Mfanyakazi wa Wizara ya Afya aliyekamatwa na polisi kule mpwapwa akanyang'anywa fedha zake, akateswa, akatishiwa, akaandikiwa karatasi na kulazimika kuisaini bila...
  12. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa Serikali: Ujenzi daraja la Wami wafikia 70.4%. Kukamilika Novemba 2022

  13. U

    JamiiForums Tanzania Serikali imeruhusu wenye C mbili kusoma A level kama QT?

    .
  14. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Mlio kwenye system mtujuze, ni kwanini mikataba inayoingiwa kati ya Serikali na entity nyingi ya kimataifa hufanywa kuwa siri kwa wananchi?

    Eti jamani, hasa nyie mlio kwenye system hebu tupeni mwanga kidogo; ni kwanini mikataba inayoingia serikali huwa inafanywa kiwa siri kiasi mwananchi wa kawaida hapaswi kabisa kujua. Mathalani hii mikataba ya mikopo, ni kwanini msiiweke hadharani ili tujue masharti yake yakoje, why?
  15. B

    JamiiForums Tanzania Nimesikiliza hotuba za nyuma kuhusu akiba ya Serikali , zinasoma Bilioni siyo Milioni; Gavana wa BOT na watu wako mnasikilizaga hizi hotuba?

    Kosa la uandishi lililopelekea kosa la matamshi lililotokea kwenye hotuba za Mhe Rais kuhusu akiba ya Taifa limekuwa likifanyika Katika hotuba za nyuma. Hotuba yake ya Juni alisema Tena USD Bilioni 4000+ na siyo Usd Milion 4000+, Juzi Bilioni 6000+ na siyo Milioni. Ukisoma vyombo vya habari...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Serikali kukubali Katiba kuwekewa viraka Dodoma maana yake ni hii...

    MAKAMU MWENYEKITI WA CHADEMA TUNDU LISSU, AFICHUA UOZO WA KATIBA INAYOPENDEKEZWA NA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA, TUNAPIGWA TENA Kufuatia taarifa ya Prof. Rwekaza S. Mukandala kubainisha kuna hoja 5 katika hoja 80 zilizoibuliwa zinazohitaji uharaka wa kufanyiwa kazi, baada ya mkutano wa wadau...
  17. M

    JamiiForums Tanzania David Kafulila na Hujuma Kwa Serikali Ya Awamu ya Tano

    David Kafulila bila Shaka ni mtaalamu mkubwa wa hujuma. Alikuwa Chadema huko alishirikiana na kundi lake kulihujumu hicho chama. Baadaye alihamia NCCR Mageusi huko nako alihujumu kabla ya kutimkia CCCM. Akiwa CCM ametumika sana. Na katika hawamu ya 5 amepiga kila haina ya hujuma. Kwa sasa...
  18. H

    JamiiForums Tanzania Naiomba serikali sikivu ya Rais Samia iongeze wiki moja kwenye ufungzuzi wa shule January 2022 mshahara utakuwa umetoka

    Kupanga ni kuchagua na maendeleo hayana vyama. Huu ni usemi maarufu alipenda kuutumia hayati John P. Magufuli mjeshi au jiwe mtu aliependa kuona kitu kinafanyika na kuonekana na sio hadithi. Kama mnavyojua hizi sikukuu mbili ni balaa tupu. Christamass na mwaka mpya watu huwa wanajiachia...
  19. happyxxx

    JamiiForums Tanzania Nimesikitika sana kuona CHADEMA wanalishambulia Bunge kwa kuisimamia Serikali

    Siku zote kilio chetu ni kuona Bunge linaisimamia vyema Serikali. Lakini inasikitisha sana chama cha upinzani kinapotoa baraka Serikali isiweze kuhojiwa na bunge. CHADEMA kimedhihirisha ni chama cha ujanja ujanja kisichosimamia misingi ya demokrasia. Kitendo cha viongozi na mashabiki wa...
  20. Leak

    JamiiForums Tanzania Ummy Mwalimu: Rais Samia amejenga madarasa 3,000 huko nyuma Serikali haikujali kuhusu madarasa na shule

    Huko nyuma watu hawakujali kuhusu Shule/Vituo Shikizi. Ni Serikali ya Awamu ya 6 ya Rais Samia ndio imechukua hatua mahususi na za haraka za kujenga madarasa ya kisasa 3,000 tena kwa mpigo katika Shule Shikizi 970 kwenye Halmashauri mbalimbali nchini. Niwahakikishie Watanzania kuwa TAMISEMI...
Back
Top Bottom