Kwanini serikali isiunde mpesa yake ambayo watu watakuwa wanatumiana pesa na kufanya biashara bila makato yoyote. Yaani kama hivi wanavyofanya kwa noti.
Si litakuwa jambo la kimapinduzi sana ikifanya hivyo halafu baada ya muda noti zikaondolewa kwenye mzunguko.
SERIKALI YAMKANA HAYATI MAGUFULI
Waziri Mwambe amesema haya ''Kuna jambo niliweke sawa ilisemwa kuwa wachina walisema kusiendelezwe bandari yoyote kutoka Mtwara hadi Tanga,sio kweli. Hayo maneno sijui yalitoka wapi, kilichosemwa ni kwamba kuanzia Dar es Salaam hadi Pangani kusiendelezwe...
Hahahahahaa!! Inabidi nianze uzi kwa kicheko.
Tumepitia kipindi kigumu kama nchi. Licha ya kuwashauri kwa muda mrefu kwa kurudia rudia tukidhani wanatuelewa wakashupaza shingo.
Leo Rais Samia, Makamu wa Rais na makundi yake yote hawawezi kukwepa mdororo huu wa maji na umeme. Tumerudi mwaka...
Tanzania ni nchi iliyozungukwa na maziwa na bahari, huku ikiwa na mito mbali mbali yenye kutiririsha maji nchini.
Tanzania kwa kiasi kikubwa kuanzia mijini hadi vijijini utegemea sana maji ya mito na mabwawa kwa ajili ya matumizi ya nyumbani na viwandani.
Kutokana na shughuli za binadamu...
Joto linalotishia mazingira ya asili ya Mlima Kilimanjaro ni questionable! Ongezeko la joto hadi 40+ kwa siku za karibuni ni kiashiria cha mpasuko mkubwa wa Ozone layer kwa anga linaloambatana na eneo hilo. Kwa uelewa wangu mdogo wa kinachoitwa"global warming" na effects zake siyo regional...
Hello JF
Mmeshuhudia kutokuwepo umeme kulivyoleta tafrani
Unlike other countries nchi yetu imebarikiwa na Jua most of the time of the year...
Sijui kiundani kuhusu umeme wa jua (solar power/system) ila tunaweza kutumia jua ambalo liko free...just incase...
Kutokua na umeme kuna athiri vitu...
Tanzania ina potential kubwa sana ya uzalishaji mdogo wa umeme wa maji. Hizi ni zile zinazoweza zalisha 5KW hadi 10MW.
Utafiti uliofanyika unaonyesha mikoa kama Ruvuma, Rukwa, Njombe, Mbeya, Songwe, Kagera na zingine kwa kiasi zina potential kubwa sana za micro hydro dam, ni kama inafika 500MW...
CAG ameonesha mapungufu yafuatayo katika usimamizi wa mali za Mamlaka ya Serikali za Mitaa;
1. Kutokuwepo kwa Hati za Umiliki wa ardhi zenye thamani ya TZS. 1.14 trilioni katika Mamlaka ya Serikali za Mitaa 27, kutokana na uzembe wa menejimenti za Halmashauri husika kutokupima ardhi...
Kwa sababu wakati mfumo wa vyama vingi vya siasa ukianza rasmi 1992 CCM ilibahatika kurithi mali zote ilizozimiliki wakati wa mfumo wa chama kimoja ambazo kimsingi zilikuwa ni mali za watanzania wote.
Ikumbukwe kuwa vyama vya upinzani 1992 viliundwa na wanaccm wenye mawazo mbadala na hiyo...
Kwa mujibu wa Nape Nnauye nchi yetu inatumia shilingi bilioni 800 kwa mwezi kulipa madeni. Halafu shilingi bilioni 600 hutumika kila mwezi kulipa mishahara ya watumishi serikalini.
Lakini makusanyo kwa mwezi ni kati ya trilioni 1.2 - 1.3 kwa mwezi. Hivyo fedha hazitoshi kuendelea na miradi yote...
Salaam Wakuu,
Leo tarehe 17/11/2021 kesi ya Mwenyekiti wa CHEDEMA Freeman Mbowe inaendelea baada ya kuahirishwa siku ya jana.
Kujua jana kesi ilipoishia, soma: Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe: Jaji aahirisha kutoa uamuzi mpaka tarehe 17/11/2021 saa tatu asubuhi
Ungana nami katika uzi...
Mkutano Mkuu @ACTwazalendo
⁃Kuchagua Mwenyekiti wa Chama Taifa
⁃Kuchagua Makamu Mwenyekiti wa Chama
⁃Kuzindua Mfumo wa kisasa wa uandikishaji Wanachama
⁃Kuzindua Mkakati mpya wa Siasa ili kuimarisha Demokrasia
TUNAOMBA MCHANGO WAKO KUFANIKISHA MKUTANO WETU https://t.co/8e1AA2HLEz
Siyo vibaya kwa viongozi kutembelea wananchi mikoa yote na kujua matatizo yao pale walipo.
Lakini sasa imetokea tabia kwa viongozi wengi wa Kitaifa kuendelea kufurika Chato na Geita, ati kusimamia ahadi za chama na Ilani.
Sasa sisi wananchi wa mikoa mingine , hasa kwa mfano mikoa ya kwetu huku...
Umoja wa Mataifa (UN) umesema takriban watu 1,000 (wengi kutoka Tigray) wanashikiliwa katika Miji mbalimbali Nchini humo tangu Hali ya Dharura ilipotangazwa Novemba 02, 2021
Maelfu wamefariki dunia na zaidi ya watu milioni mbili wamelazimika kukimbia makazi yao kutokana na mzozo kati ya Mamlaka...
Kwa waliowahi kununua CCTV camera tunaomba mtusaidia, hivi set moja inauzwa bilioni ngapi kwani? Maana hadi serikali imeshindwa kununua walau seti kumi tu za kufunga kwenye mataa kama ya Mwenge, Morroco Nk, inamaanisha zitakuwa ni bei mbaya sana. Seti moja inauzwa Trillioni ngapi kwani...
Kwa hali ya joto inavyozidi kuwa mbaya kila uchapo huku mgao wa maji ukizidi makali yake na huenda Tanesco nayo iko mbioni wakati wowote kuanzia sasa kutangaza mgawo wa nishati ya umeme, hali ambayo itafanya watu wasiomudu majenereta kuyakimbia majumba yao usiku na mchana, nina maoni kwamba...
Serikali Serikali Serikali, mrudisheni Waziri Kalemani haya tunayo yapitia hata kama ni kukarabati, inamaana huu ukarabati ndio utafanya umeme uwe wa bei rahisi au utakuwa na nguvu zaidi ya kawaida au utakuwaje mwenzenu sijaelewa
Mboga zote na vyakula kwenye friji tumeanza kuvila ili viishe...
SERIKALI kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto inatarajia kupokea kiasi cha shilingi Bilioni 437 kwa kipindi cha miaka 5 kwaajili ya miradi ya Afya inayolenga kuwafikia wananchi katika ngazi ya jamii.
Hayo yamesemwa leo 15 na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii...
Serikali wilaya ya Bukoba imetakiwa kufanya uchunguzi na kuwachukulia hatua wataalam na wakandarasi waliohusika kuisababishia hasara serikali ya milioni 590 kwa kutekeleza mradi wa maji wa Katale uliopo tarafa ya Bugabo, halmashauri ya wilaya ya Bukoba mkoani Kagera chini ya kampuni ya ujenzi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.