serikali

  1. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini Waafrika tunapenda sana kuwapa watoto wetu majina ya Ulaya, Asia n.k?

    Jina ni neno au maneno anayopewa mtu au kitu au hali Fulani Nataka kujikita kwenye jina tunalopeana watu. Kwanini Waafrika tunapenda sana kuwapa watoto wetu majina ya Ulaya, Asia n.k., lakini sisi tuna maneno katika lugha za Kiafrika. Kwanini usumbuke uingie kwenye mtandao na penginepo...
  2. beth

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atoa rai kwa Umoja wa Mataifa kusaidia Serikali ya Tanzania

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema Serikali ya Tanzania ingependa Umoja wa Mataifa uwasaidie ili waweze kujenga yanayotakiwa na wananchi ikiwemo Elimu, Afya, Maji, Umeme na Pembejeo za Kilimo Ameeleza hayo Septemba 24, 2021 katika Mahojiano Maalum na Habari za UN huko New York Nchini Marekani...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Wakili mwandamizi wa Serikali (Senior state attorney upatikana kwa umahiri wa kazi au ni kwa muda mrefu kazini?

    Nimekuwa nafuatili Sana kesi zilizofunguliwa Kisutu, Mahakama Kuu na Mahakama ya Mafisadi. Mara nyingi Mawakili wa serikali uongozwa na wakili ambaye utambulika Kama "Senior state attorney", kwa kiswahili kisicho rasmi Ni wakili Mwandamizi wa serikali. Kwangu Mimi maana ya " senior" ni mtu...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Serikali ikikosea kesi ya Mbowe, naamini Ujerumani watafunga ubalozi

    Kama tulivyosema kuna watu wanajaribu kumwaribia Raisbkwa kuweka hizi kesi za kijinga. Ubalozi wa German ndiyo Lissu alikimbilia baada ya kutaka kutekwa baada ya uchaguzi na walimpeleka mpaka Airport. Kwasasa watu kwenye kesi ya Mbowe na wanapima kuona kama Tanzania inabadilika au iko vilevile...
  5. chiembe

    JamiiForums Tanzania Serikali ianzie pale TFF ilipoishia: Viwanja vinajaa hela haionekani,na takwimu wanaoingia uwanjani wachache,kuna mtandao wa tiketi feki pale TFF?

    Yanga na simba wanajaza mashabiki sana, pamoja na timu nyingine,lakini takwimu zinaonyesha wanaolipia tiketi hawalingani idadi na wanaoingia uwanjani, viwanja vinajaa sana, takwimu zinaonyesha watu wachache ndio wanalipia tiketi. serikali iingie chimbo, haiwezekani viwanja vijae halafu ionekane...
  6. Mmawia

    JamiiForums Tanzania Poleni sana wamachinga, hiyo ndiyo CCM haijawahi kubadilika

    Siku zote kitambaa cha kaniki kitabakia kuwa kaniki tu. Wamachinga walidanganywa sana na mwendazake kuwa ccm inawajali sana hivyo wakaingia mkenge na kuisapoti mwaka 2015. Leo hii yule bwana hayupo tayari wameanza kilio cha samaki . Nawashauri wajue kuwa ccm haijawahi kuwa na huruma .
  7. Keynez

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha sana kama Serikali imeamua kuminya utumiaji wa Mitandao kwa njia hii

    Nimefuatilia trend ya huduma za internet kwa mitandao kadhaa na kusema kweli hali ni mbaya na ya kusikitisha sana. Kwa miaka kadhaa sasa, Serikali imejaribu mbinu mbalimbali za kubana uhuru wa watu kuongea. Siku za nyuma watu walikuwa wananyakuliwa kutokana na post zao. Lakini mbinu hiyo...
  8. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Wana CCM tunahujumu juhudi za Rais Samia. Tuacheni Unafiki sisi wenye Tunaikwamisha Serikali

    CCM ina wanachama zaidi ya Mil 8. Chanjo zimeletwa kwa watu Mil 1. Mwenyekiti wa Chama kasema watu wakachanje naye akaenda chanja kama mfano. Mpaka leo chanjo si zaidi ya 400,000. Hii ni Hujuma. Tena hujuma ya wazi kabisa. Kwa wanawachama wetu zaidi ya Mil 8 nchi nzima tungekuwa tunagombania...
  9. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Rais, Mawaziri, Wabunge wa maafisa/watumishi wengine wa Serikali hawalipi kodi lakini ndiyo wanapangia wengine kiasi cha kodi cha kulipa

    Salama. Huwa viongozi na watumishi wa serikali wakijinasibu kuwa wanalipa kodi, lakini kilogic watu hawa hawalipi kodi hata kidogo, badala yake ni watumia kodi. Wataalamu waliochunguza swala hili walikuja na mfano ufuatao. Ikitokea nchi ikakusanya kodi sifuri, basi kuanzia Rais, Waziri...
  10. beth

    JamiiForums Tanzania New York, Marekani: Rais Samia ashiriki Mkutano Maalum wa Wakuu wa Nchi na Serikali Wanawake

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania itaendelea kuhakikisha kunakuwepo Usawa wa Kijinsia licha ya vikwazo vinavyojitokeza‬ ‪‪Amesema hayo akishiriki Mkutano Maalum wa Wakuu wa Nchi na Serikali Wanawake wanaoshiriki Mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa‬ Aidha, amesema hivi...
  11. kiwatengu

    JamiiForums Tanzania Serikali iwalipe watu wanaotoa elimu kupitia mitandao ya kijamii

    Mitandao ya kijamii inashiriki sana kuelimisha umma wa Watanzania kwa namna mbalimbali kuanzi hapa Jamiiforums, Twitter n.k Nashauri serikali ianze mpango wakutoa Motisha kwa baadhi ya wanaoendesha hii mitandao wakiwemo kina Mexence Melo na wengine ili kuwatia moyo kwa kazi kubwa wanayofanya...
  12. Slim5

    JamiiForums Tanzania Serikali yapeleka huduma ya mabasi ya Mwendokasi Kibaha

    Watu wa Kibaha mmeletewa MWENDOKASI afu hamsemi! Pichani ni MWENDOKASI ikiwa kituo cha basi NJUWENI MAILI MOJA Mama anaupiga Mwingi
  13. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kununua mali ya serikali

    Habari wana jukwaa. Naomba kufahamishwa utaratibu wa kufwata kununua/kujimilikisha mali ya serikali.kuna magari mabovu yapo kwenye ofisi za harimashauri nataka niyanunue kama chuma chakavu. Natanguliza shukrani.
  14. beth

    JamiiForums Tanzania Jaribio la kupindua Serikali lagonga mwamba Sudan

    Serikali Nchini humo imesema kumekuwepo jaribio la kufanya mapinduzi ambalo limeshindikana, na hatua zinachukuliwa kudhibiti hali hiyo. Shirika la Habari la AFP limenukuu chanzo kilichosema kulikuwepo jaribio la kuvamia jengo ambalo linatumika na Vyombo vya Habari vya Serikali. Mahojiano na...
  15. UkweliUsiosemwa

    JamiiForums Tanzania Serikali iwe macho na matumizi ya fedha za Chama cha Walimu Tanzania (CWT)

    SERIKALI IWE MACHO NA MATUMIZI YA FEDHA ZA CHAMA CHA WALIMU TANZANIA Nimekua nikifuatilia yanayoendelea katika mitandao ya kijamii, na vikao mbalimbali ya vyama vya wafanyakazi nchini, leo nitajikita kuongelea Chama cha Walimu Tanzania (CWT) Chama cha walimu Tanzania ni chama wafanyakazi...
  16. SubTopic

    JamiiForums Tanzania Serikali tegeni ndoo mahali panapovuja, tutapunguza tatizo la ajira nchini!

    Nawasalimu kwa jina la JMT, Nadhani kwa wale tuliowahi kuishi nyumba zinazovuja mtanielewa kwa haraka. Mvua inapokuwa inanyesha sehemu za paa zenye matundu huanza kuchuruza maji na ili kupunguza tatizo huwa tunatega chombo kwa ajili ya kuyakinga yale maji yanayovuja. Sasa turudi kwenye mada...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Lema: Serikali inapaswa kuanza kutoa ajira za mikataba baadhi ya maeneo

    Kutokana na kukua kwa tatizo la ajira nchini na kushuka kwa uwezo wa serikali kuajiri, Mhe. God bless Lema kupitia space ya Maria Sarungi anashauri serikali kuanzisha mfumo ajira za mikataba ya miaka miwili ili watu waweze kupata kazi na kuendesha maisha kuliko kuendelea kung'ang'ania mfumo wa...
  18. G

    JamiiForums Tanzania Vodacom Mnakiuka Agizo na makubaliano mliyofanya na Serikali

    Wanajukwaa kuanzia leo nimeona mabadiliko kwenye Akaunti yangu ya Mpesa upande wa Tozo za kutuma Pesa kwenda Mitandao mingine na kwenye Tozo za lipa kwa Simu Ndo kusema kuwa vodacom wanapuuza Makubaliano waliyoyaweka, Watanzania wanyonge Tunalia na Tozo hizo!
  19. Denis1729

    JamiiForums Tanzania SoC01 Wajibu wa Serikali katika kuleta Maendeleo ya Jamii

    Maendeleo ya jamii hutokana na jamii kwa kushirikiana na serikali kuhakikisha huduma za jamii zinapatikana kwa urahisi kutokana na demokrasia imara pamoja na utawala bora ambao utaongozwa na katiba ya nchi katika kuweka vipaumbele vinavyoleta maendeleo bila kuathiri maisha ya mwananchi, kutambua...
  20. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania IGP Sirro alituahidi kumkamata Mange Kimambi kwa udi na uvumba, leo hii tunamuona akipiga picha na Rais wa JMT. Ndio kusema hakuikosea Jamhuri?

    Ni cardinal principle kuwa jinai haina mwisho. Ndio maana hata kama ulitenda jinai baada ya miaka 20 ukikamatwa wanaanza na wewe. Mange alitukana na kukashifu serikali. Igp Sirro akasema lazima amkamate kwa vyovyote vile. Sasa hii ya Mange kupiga picha na rais akiwa Usa si kumkatisha tamaa...
Back
Top Bottom