serikali

  1. Naipendatz

    JamiiForums Tanzania Polepole: Wana-CCM tusikae kimya Serikali ikikosea, tuwe wakali na jasiri kukosoa

    "Wana CCM wenzangu hatupaswi kukaa kimya pale ambapo Serikali inapofanya makosa, tuwe wakali na majasiri kukemea,tusiwe waoga, Katiba yetu ya Chama inatutaka kuisimamia kweli"- H. Polepole My take: Huyu na mwenzake Jiwe si ndio walimtimua Membe ambaye alitumia uhuru wake kama mwanachama wa...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Eti "Siye tunaingia Mpaka Ndani Kukagua Mahabusu/Magereza" - Mwenyezi Mungu anawaona Mawakili wa Serikali

    Yaani Mawakili wa Serikali ni kujitutumua kama vile nchi hii ni ya kwao. Leo huyo Chakula sijui Chavula kawaambia Mawakili wa Utetezi baada ya kuonesha kuwa huwa wanaruhusiwa kwenda kuonana na wateja wao Magerezani kuwa eti wao wanaingia ndani na hata kukagua mahabusu lakini sio mawakili...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wito wa serikali kuzitaka Taasisi za fedha kushusha viwango vya riba upewe mkazo

    Salam ndugu wana JF! Moja kwa moja kwenye maada, ndugu zangu kwa muda mrefu kumekuwapo na wito na maagizo mengi ya serikali kuzitaka taasisi za fedha kushusha riba wanazotoza katika mikopo wanayotoa kwa wanananchi. Kila linapojitokeza tukio linalomkutanisha ama Rais, Makamu wa Rais, Waziri...
  4. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Video: Umoja wa Ulaya ma Marekani wanapanga serikali ya mpito Ethiopia

    Ndege nyingi za mizigo za US Air Force zimekuwa zinatua Djibouti siku za karibuni. Hawa TPLF,Tigray People's Liberation Front ilipoanzishwa ilikuwa inaitwa Marxist-Leninist League of Tigray. Since, I don't know when,there have always been Marxist-Leninists rioting in Ethiopia. Na sasa hivi...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Serikali endelezeni Bandari ya Tanga hakuna haja ya Bandari mpya

    Serikali inatakiwa kuwekeza na kuendeleza bandari ya Tanga badala ya kujenga bandari mpya isiyo na ulazima na kuingiza nchi kwenye madeni yasiyo ya msingi kwa manufaa ya viongozi wachache. Bandari ya Tanga tayari kuna uwekezaji mkubwa unakuja na pesa za kampuni ya Total ya ufaransa ambayo...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe: Maslahi gani Washitakiwa kunyimwa Haki?

    Jambo la kupongezwa kuona mawakili wa utetezi wakipambana vilivyo kuona haki za washitakiwa haziporwi. Hata hivyo inashangaza ni kwa motisha gani upande wa mashtaka kupambana kikuku kuona ikiwezekana washitakiwa hawapati haki zao. Faulo za upande wa mashtaka ziko nyingi na ziko wazi: 1...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna kiongozi wa serikali ana ubavu wa kushusha bei za vitu? Naona kama tunadanganywa

    Ingawa mimi sio mchumi wa namna yoyote, lakini kutokana na uzoefu wa utafutaji wa hapa na pale naelewa kwamba ili bei ya vitu ipande ni pale kunapokuwa na uhitaji mkubwa wa vitu kiwango kinachozidi uzalishaji. Kwa mantiki hiyo hiyo ili vitu vishuke bei ni lazima uzalishe sana kuliko uhitaji...
  8. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Serikali ianze kuzalisha chuma ili kupunguza gharama za ujenzi

    Vifaa vya ujenzi vimepanda bei, nondo zimepanda bei. Maghorofa ni nondo, madaraja ni chuma, reli na mabwawa kama JNHP ni nondo. Leo China uzalishaji wa chuma umepungua sababu ya pandemic na bifu lao na Australia. Kwanini serikali isianze kufua nondo.
  9. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Serikali imeungana na Dunia ya Kwanza kuwakandamiza Masikini. Acha wakandamizwe tu

    SERIKALI IMEUNGANA NA DUNIA YA KWANZA KUWAKANDAMIZA MASIKINI. NAMI NASEMA WAMALIZENI KABISA Na, Robert Heriel Kusoma wakati mwingine sio kuelimika, ninaushahidi wa kutosha usiotia Shaka kuwa wasomi wanashindwa na mambo mengi zaidi ya Wale wasiosoma. Sio kwenye ndoa, sio kwenye kazi, sio...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya Serikali ya CCM kusalimu Mwishoni

    Kumekuwa na kelele nyingi za watu kuashiria kutoridhika na agenda kadhaa za serikali. Rejea misimamo ya serikali na wapambe wao kwenye: 1. Uwepo wa Corona 2. Umuhimu wa kuchukua tahadhari dhidi ya Corona 3. Uhitaji wa chanjo dhidi ya Corona 4. Umuhimu wa wanafunzi wanaopata mimba kurejea...
  11. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Serikali inaweza kufanya nini kukabiliana na mdororo wa uchumi unaoikuta nchi kila Januari?

    Habari wakuu. Kawaida ni jukumu la serikali kukabiliana na mdororo wa uchumi haijalishi kilichosababisha. Sasa nchi yetu karibu kila mwezi wa january hupatwa na mdororo wa uchumi. Kwa wengine kurevover huchukua hadi miezi miwili maana huingia kwa wakopesha riba wa vichochoroni nk. Sasa hili ni...
  12. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Serikali iache mzaha; kuruhusu watoto waliopewa mimba kurudi shule ni anguko la taifa la kesho

    SERIKALI IACHE MZAHA; KURUHUSU WATOTO WALIOPEWA MIMBA KURUDI SHULENI KUSOMA NI ANGUKO LA TAIFA LA KESHO. Anaandika Robert Heriel. Naiomba serikali, viongozi wakubwa msikie Jambo hili, tena msifanye mzaha. Huruma huruma za ajabu ajabu katika baadhi ya ishu ni hatari Kwa ustawi wa taifa...
  13. U

    JamiiForums Tanzania Serikali iache kusambaza umeme vijijini, wajikite katika uzalishaji umeme

    Sasa ni wakati wa kuachana na kusambaza umeme vijijini Ili fedha hizo zitumike kujenga vyanzo vya umeme kwani huwezi sambaza kitu ambacho huna. Hii italeta tija, sio kepeleka feza za kuwasha taa na mgao huu
  14. Richard

    JamiiForums Tanzania Ujerumani kuwa na Serikali mseto, vyama vyote yakubaliana Scholz kuwa Kansela, Tanzania bado hizi ni hadithi miaka 60 yaenda ya uhuru

    Chemba ndogo ya bunge au "Lower House" ya Ujerumani imepitisha kwa pamoja uamuzi wa kumfanya bwana Olaf Scholz kuwa Kansela mpya wa Ujerumani. Vyama vya SPD cha Scholz, Green na FDP kwa pamoja leo asubuhi hii vimemuidhinisha bwana Olaf Scholz kuwa kansela mpya na kuondpoa uhafidhina wa chama...
  15. Naipendatz

    JamiiForums Tanzania Bondia mstaafu wa Marekani, Mike Tyson, ameteuliwa na Serikali ya Malawi kuwa balozi wa bangi nchini humo

    Serikali ya Malawi kupitia Wizara ya Kilimo, imechukua hatua hiyo ikiwa ni miezi michache tangu iidhinishe kilimo na matumizi ya bangi nchini humo tarehe 27 Februari 2020.
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya vipaumbele vya serikali vyatajwa kuwa na athari kwa mipango ya TANESCO

    TANESCO wametaja mabadiliko ya mara kwa mara ya vipaumbele vya serikali kama moja kati ya kitu ambacho huathiri mpango wa TANESCO. Hayo yameandikwa katika mpango wa TANESCO wa 2020 hadi 2025. Pia wametaja mahusiano ya kimataifa na makubaliano ambayo huwa yanakuwa tofauti tofauti. Katika mambo...
  17. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Mtazamo: Imani ya wananchi kwa Serikali imeshuka tangu Dkt. Magufuli atutoke

    Wananchi wakisikia kuna Tril 1.3 zimekopwa kwa ajili ya kuchochea mdororo wa uchumi ulioletwa na Uviko -19, wanahisi kupigwa tu. Wanajua kuna kizingumkuti namna zitavyotumika. Umeme umekuwa ni tatizo la kukatika katika kila mara, wanahisi, kuna mchongo wa kupigwa kama walivypopigwa huko nyuma...
  18. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Serikali ina Bodi nyingi, mengine hasara tu

    Serikali lazima sasa itambue kuwa kna Bodi ilizoziunda ni kero na mzigo tu kwa Taifa. Kuna NEMC, Bodi za Mabonde siujui ya mito Ruvu, Rufiji, Bodi la Ziwa Tanganyika, Bodi la Ziwa Victoria, Bodi ya Kaskazini. Ma Bodi mengi tu ya Wizara hasa ya Maji. Yoote ni hasara tupu. Hawafanyi kazi yoyote...
  19. Cathelin

    JamiiForums Tanzania Mbowe yupo tayari kufia Magereza lakini hatoipigia magoti Serikali

    Hope mko poa wakuu, hakuna kitu kinachoiumiza serikali vichwa kama kesi ya Mbowe, kubali kataa serikali wanashindwa hii kesi waiteme vipi. Nilisema toka awali kuwa maamuzi ya hii kesi yatakuwa faida kwa Mbowe, iwe kuhukumiwa maisha, kunyongwa au kushinda kesi, leo hio mawakili wa serikali...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Zanzibar Kumenoga - Serikali Kugharimia Ujenzi wa Hoteli zilizoungua Moto

    SUK kupitia kwa makamu wa pili wa Rais imethibitisha hoteli zilizoungua zitarejeshwa zilivyokuwa na serikali. Kwa hali hii Jussa na hivyo Zitto ishindikane vipi kuwaelewa? Hata hivyo, kunoga huku huko Zanzibar kunatuhusu pia sisi huku bara? Au huku kwetu ni yale ya matetemeko Kagera...
Back
Top Bottom