Rebeca 83
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 15,660
- 33,675
Hello JF
Mmeshuhudia kutokuwepo umeme kulivyoleta tafrani
Unlike other countries nchi yetu imebarikiwa na Jua most of the time of the year...
Sijui kiundani kuhusu umeme wa jua (solar power/system) ila tunaweza kutumia jua ambalo liko free...just incase...
Kutokua na umeme kuna athiri vitu vingi,its time serikali I invest kwenye alternatives