Tucta na Serikali lao Moja, wafanyakazi msitegemee jipya

CK Allan

JF-Expert Member
Aug 14, 2013
2,729
5,923
Hatimaye baada ya lile jambo kugeuka 'kijambo' Raisi wa TUCTA ,
Ndg Tumaini, alijirekodi kwenye video fupi akisema hata yeye amepigwa na butwaa na hajui kitu Gani kimetokea! Kumbuka baada ya Mei Mosi huyu Rais wa TUCTA akihojiwa na Gazeti la mwananchi alisema 'wao' wanajua kiasi kilichoongezeka na wanamshukuru sana Rais! Hata hivyo Jana pia msemaji wa serikali amesema watatoa ufafanuzi kuhusu hiki kilichooneka 'kama' ongezeko au nyongeza ya mshahara! Kwa haraka haraka unaona picha inavyokuja? Kwa lugha rahisi ni serikali inakaa na serikali ili kutoa ufafanuzi wa kilichofanywa na serikali..

Tucta na serikali ni hivi...
 

Attachments

  • 20220722_062544.jpg
    20220722_062544.jpg
    20 KB · Views: 4
hakuna rais pale yule jamaa si anapika na kupakua na jenista mhagama unategemea nini hapo? wamepigwa tena na kitu kizito chenye ncha kali visogoni.
 
Back
Top Bottom