Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
2,204
4,694
Hamjamboni nyote?

Baada ya malalmiko ya watumishi kuwa mengi kuhusu ongezeko la mshahara. Msemaji Mkuu wa serikali, Gerson Msigwa amesema serikali italitolea ufafanunuzi suala hilo hivi karibuni.

Ameandika hayo katika ukurasa wa twitter japo hajasema ni lini ufafanuzi utatolewa
Screenshot_20220723-060908.jpg

FB_IMG_16585246319867205.jpg
 
Hili jambo linaweza kuifedhehesha sana Serikali ya Mama!
Mara ngapi afedheheke kinachomkera wameongeza posho wao wakubwa huku chini maumivu ubinafsi wa Hali yajuu aa Hawa viongozi, waogope jamani, tozo Kila Kona, gharama za maisha zimepanda. Kwani si angekaa tu kimya kuliko Nye Nye Nye nyingi afu unakuta 12600 upuuzi mtupuu!!

Nimemchukia huyu maza na vibaraka wake!!
 

Kwanza hata bila serikali kutoa ufafanuzi inaeleweka kuwa 23.3% ni nyongeza ya mtu anayelipwa kima cha chini kabisa cha mshahara na wala si nyongeza ya asilimia hiyo kwa wote! Mbona ingekuwa hivyo serikali ingefilisika mwezi mmoja tu! Pili, bajeti ilishapitishwa, hivyo hakuna litakalobadilika zaidi ya haya niliyoandika hapa! Labda subirini nyongeza ya miaka inayofuata lakini siyo mwaka huu wa fedha!
 
Hili ndo jinga lingine number 1.... mmeongeza elfu 13, hata sio elfu 20....,Too shameful to WHOEVER TALKED THE 23% STARTING WIT THE TOP MOST....

Unakaa kabisa unadanganya watu wazima....

RIP JPM, tumeshakukumbuka.
Nakumbuka 2018 aliomba tumvumilie akasema hata ongeza kidogo itakuwa ya kutosha tuu
 
Wakuu umofia kwema!

Baada ya Jana kupigwa na kitu kizito, serikali nayo imetoa tamko linaloashilia kuwepo kwa Ahadi mbele yake, chama cha wafanyakazi nao wanaonekana kukusudia kukaa mezani kufanya michongo na serikali.

Hakuna madaraja, hakuna madaraja mserereko hakuna kupanda kwa mshahara.

Woga sio jadi yetu! Ongezeko la mishahara ni haki yetu. Turudi kwenye haki ya kikatiba ya mgomo na maandamano makubwa. Hatuna sababu ya kufundisha, kutibu watu ama kusukuma mitambo kwa mishahara ya kinyonyaji.

Alisema mwalimu nyerere "wafanyakazi muungane, hakuna cha kupoteza isipokuwa minyororo yenu"

Ongezeko la Asilimia 100 ni lazima, tuliyotayari kwenda Kula tausi tujuane. Nitaongoza msafara
 
Back
Top Bottom