serikali

  1. JamiiForums Tanzania Kwa huu Mkataba, hiki ndicho SERIKALI ya CCM inataka kuwafanyia wananchi

  2. JamiiForums Tanzania Muonekano mpya tovuti ya serikali

    Wanajukwaa kwema? kama kichwa cha uzi kinavyosema, ni muda kidogo sijatembelea tovutu ya serikali yetu ya Tanzania, ikiwa na domain tanzania .go.tz. Lengo la uzi nikutaka cha kwanza kupongeza muonekano mzuri wa tovuti kwasasa tofauti na hapo awali, pia kama mdau wa TEHAMA ni kukufahamisha kuwa...
  3. JamiiForums Tanzania Serikali mnusuruni Mandonga

    👉Pambano la Mandonga Zanzibar lifutwe 🙅 Hivi kweli Chama cha Ngumi Tanzania viongozi wao wanaelewa vyema sheria za mchezo huo? Ndugu zangu Watanzania bara na visiwani, hivi kweli Mandonga anastahili kuangaliwa tu na kuachwa acheze mchezo huo,bila kuzingatia hali yake? Kwanini Mtanzania huyu...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Serikali mtafutieni Mandonga kazi yakufanya: vipigo anavyopata tutampoteza

    Mandonga alindwe, awekewe ulinzi asiingie ulingoni Ni aibu ukawa na mwili mkubwa vile then ukawa unapigwa tu kila siku. Ngumu anazopigwa na huyu Mganda zinaitwa Kideath beeper; hizi ngumu siyo nzuri maana zinaweza kugeuka death zisipodhibitiwa. Mpeni kazi huyu mzee bado tunamuhitaji
  5. D

    JamiiForums Tanzania SoC03 Kuwajibika kwa serikali katika kufanikisha malengo ya maendeleo endelevu

    KUWAJIBIKA KWA SERIKALI KATIKA KUFANIKISHA MALENGO YA MAENDELEO ENDELEVU Utangulizi Katika enzi hii ya maendeleo, dunia imekabiliwa na changamoto kubwa za kijamii, kiuchumi, na kimazingira. Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDGs) yameanzisha dira mpya ya kufikia ustawi wa kijamii na maendeleo...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Serikali ianzishe Kodi ya ukahaba itakusanya trilioni 12 kwa mwaka.

    Kodi ya ukahaba siyo jambo geni duniani, ipo katika baadhi ya mataifa yanayotupatia misaada.. Ni ujinga kutoikusanya fedha Kodi hii kwa kisingizio cha maadili, mila na tamaduni zetu huku tukiipata kwa njia ya msaada. Kwa mujibu wa senza ya 2022, idadi ya wanawake ni milioni 56. Robo yake ni...
  7. M

    JamiiForums Tanzania SoC03 Rushwa kwa watendaji wa serikali

    Katika miaka michache niliyowahi kufanya kazi katika jamii, nimegundua na kushuhudia namna WATENDAJI wa serikali wanavoihujumu serikali na nchi yao kwa kupokea rushwa. Hili linajidhihirisha katika mikoa ya Tabora, Shinyanga na Simiyu ambapo watoto wengi huachishwa shule kwaajili ya kuchunga...
  8. JamiiForums Tanzania Serikali imefanikiwa kuzuia uamuzi wa kuzilipa kampuni za madini

    Kupitia mtandao wa ICSID kuna taarifa za kutia moyo kuwa Katibu Mkuu wa ICSID amesajili maombi ya kubatilishwa kwa tuzo yaliyowasilishwa na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwa maombi hayo, ICSID imesitisha kwa muda utekelezaji wa tuzo iliyotolewa dhidi ya Tanzania kwenye kesi iliyofunguliwa...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini serikali imewachagulia wanafunzi wa sayansi kusoma art 'A' level ilihali wanapenda sayansi!?

    Ndugu wanabodi nimekutana na huu mkanganyiko hasa kwa wahitimu wa jinsia ya kiume, ambao katika uchaguzi wao wa masomo walichagua kusoma sayansi, isitoshe wamepata credit zinazokidhi kuendelea na masomo ya sayansi. Kwa mshtuko na mshangao wengi wao wamechaguliwa wakasome masomo ya art Kwa...
  10. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serikali ya Kenya yathibitisha Wadukuzi wameingilia Mifumo ya Malipo, Taarifa za Uhamiaji na Upelelezi na Benki

    Kwa mujibu wa Waziri wa Mawasiliano na Uchumi wa Kidigitali, Eliud Owalo amesema shambulio hilo lililolalamikiwa na Wananchi kwa takriban siku 4 limefanywa na Wadukuzi waliojitambulisha kama 'Wasudan Wasiojulikana. Hata hivyo Waziri amesema Taarifa Muhimu za Watumiaji na Taasisi hazijachukuliwa...
  11. JamiiForums Tanzania Serikali yasaini mkataba wa Bilioni 30 kukarabati Uwanja wa Benjamin Mkapa

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni Sanaa na Michezo, Said Yakubu amesema Serikali ya [emoji1241] imetoa Tsh 30 𝘽𝙄𝙇𝙇𝙄𝙊𝙉 kwa ajili ya kuufanyia ukarabati uwanja wa Mkapa. Amesema maboresho hayo yatafanyika katika maeneo ya kuchezea, vyumba vya wachezaji na kutoa viti vyote vya uwanja huo. Uwanja...
  12. JamiiForums Tanzania Mpango wa DP World: Kosa lisilo na ulazima na serikali ya Rais Samia

    Rais Samia Suluhu Hassan alipokuwa anaadhimisha miaka miwili madarakani, niliandika makala nikihitimisha kwamba yeye ni "mtu mzuri". Hata hivyo, tathmini yangu ilikosolewa kwa kiasi kikubwa na baadhi ya watu. Jinsi gani niliweza kudai, wakosoaji walijiuliza, kuwa Rais ni mtu mzuri? Nakumbuka...
  13. JamiiForums Tanzania Hongera Rais Samia, matendo huongea kwa sauti kuliko maneno

    Hakika inabidi tukupe hongera kubwa sana mama Samia, umetufundisha Watanzania kuwa "matendo huongea kwa sauti kuliko maneno" (actions speaks louder than words). Tukitazama mitandaoni na jinsi mambo yanavyodhaniwa na wapenda maneno kuwa ndiyo yalivyo, inabidi nikupe heko na hongera nyingi sana...
  14. JamiiForums Tanzania Serikali inasema DP World itadhibiti wizi bandarini. Kivipi? Serikali imerogwa na nani?

    Viongozi wa serikali ya Tanzania wameamua kujitoa ufahamu ili kuibeba kampuni ya DP world. Yaani sote tunajua shughuli za bandari zinahitaji usalama wa hali ya juu na madhubuti kwa sababu ya unyeti wake huku ukiratibiwa na vyombo vyote vya usalama vya nchi. Sasa, maajabu ya karne viongozi wa...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Nay wa Mitego na Ukweli mchungu dhidi ya serikali ya Rais Samia na CCM yao

    Msanii huyu huenda akatekwa ama akafanyiwa figisu kubwa, ukweli daima amekua sauti ya walalahoi kwa muda mrefu, hata enzi za Magufuli hakufunga mdomo, alipaza sauti. Ney wa Mitego, amerudi tena na ukweli mchungu, mtegee sikio kwa dakika 5 ameongea mengi ambayo hakuna kiongozi atafurahia maana...
  16. JamiiForums Tanzania Nijuavyo! Kuna kesi mbili za wanachi wakiishitaki serikali! Moja tu inasikika, ile ya mkulima na kina makamba imeishia wapi?

    Wakati mawakili wa serikali wakiendelea kunyeshewa mvua ya mawe mahakani kwa mkataba tata wa bandari zetu, shauku yetu kama watanzania na wafia nchi, ningependa kusikia hili la ufujaji wa mapesa yetu walipa kodi Huyu mkulima aliyetangaza kuwafikisha mahakamani mawaziri kadhaa wa serikali kwa...
  17. JamiiForums Tanzania Igunga: Tunaishukuru Serikali kwa vifaa tiba na madawa kwenye zahanati za vijijini

    "... Toka nimeanza ziara vijijini kwenye kila Zahanati Ninayopita kuangalia mwenendo wa utoaji wa huduma za afya kwa Wananchi, Nimekuta kuna akiba ya madawa na vifaa tiba vya kuweza kutumia miezi Mitatu mpaka Sita..." "... Tunaishukuru Serikali yetu kwa uwekezaji mkubwa kwenye Sekta ya Afya...
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, mwanzo wa Ruto kutawala peke yake ndiyo umemalizika tutegemee serikali ya mseto?

    Japo mambo ya Ngoswe tulipaswa kumwachia Ngoswe, rais Samia S Hassan hivi karibuni alisikika akijisifu kuwa Kenya inapoteza wawekezaji kwa Tanzania. Sijui alipitiwa, alishauriwa vibaya au hajui diplomasia na biashara. Waingereza wanasema when you see your enemy making mistakes never interfere...
  19. JamiiForums Tanzania SoC03 Walimu wa shule binafsi wawe na hadhi sawa na wale wa shule za serikali

    Kimsingi, shule zote (za msingi na za sekondari) zilizosajiliwa, zipo chini ya serikali, na hivyo zinasimamiwa na Ofisi ya Rais, Wizara ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, pamoja na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia. Shule zote, ziwe ni za serikali au za binafsi, zinawajibika kufuata...
  20. JamiiForums Tanzania DOKEZO Nakatuba Mkoani Mara kimekuwa Kijiji cha watu kuuawa kwa sumu na ushirikina, Serikali iamke hali inatisha

    Bora niseme na jamii ijue kinachoendelea, taarifa ni kuwa kuna taarifa za watu kuuawa kwa sumu katika Kijiji cha Nakatuba, Wilaya ya Bunda Mkoa wa Mara. Pia kuna matukio yameshamiri yakihusisha imani za kishirikina na kuuana katika kijiji hicho hadi kusababisha baadhi ya vijana kukimbia na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…