Asasi zisizo za kiserikali nchini zimeeleza kuridhishwa na utekelezaji wa mapendekezo ya utekelezaji wa Haki za binadamu yaliyotokana na baraza la Umoja wa Mataifa la Haki za Binadamu.
Mkurugenzi wa utetezi na Haki kutoka Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) Fulgence Massawe na Meneja...
Mkurugenzi wa Idara ya Mawasiliano Ikulu Zanzibar na Msemaji Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Charles Hilary amefafanua suala la eneo lililopo Makurunge Wilayani Bagamoyo Mkoani Pwani kumilikiwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar
Amesema “Eneo linaitwa Ranchi ya Zanzibar Bagamoyo...
Umofia kwenu.
Mengi yamesemwa kuhusiana na hili sakata la upungufu wa dola nchini. Kimsingi Dola ya Marekani ndiyo inatumika kama fedha ya kununua bidhaa za kimataifa. Mojawapo ya bidhaa hizo ni pamoja na mafuta ghafi ambayo yanashikilia sehemu muhimu ya mfumuko wa bei nchini.
Nasema yapo...
Maneno mengi yamesemwa juu ya mkataba huu na wengine wameenda mpaka Mhakamani kupinga mkataba huu. Sisi tunaokaa huku kwa wananchi tumesikia mengi na sumu nyingi imemwagwa kwa wananchi kuhusu ubaya wa mkataba huu. Kama Serikali ikiamua kuendelea na mkataba huu yafuatayo yanaweza kujitokeza:-...
Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa, Hamad Abdallah amesema uamuzi huo umekuwa na matokeo hasi kwa miradi iliyopo Dar es Salaam zikiwemo nyumba na mali nyingine zilizokuwa zikitumiwa na Serikali na Maafisa wake zimeachwa wazi.
Kati ya Miradi iliyotajwa kuingia hasara ni pamoja na wa...
Uchochezi umekuwa mwingi mno na serikali imekua kimya hii ni hatari Kwa usalama na ustawi wa taifa.
Kila siku Marais waliokufa wanatukanwa na hakuna mtu wa kuwatetea.
Kuna watu wanasema Hayati Magufuli alikutwa na Bil. 100 lakini hakuna ushahidi uliotolewa kuthibisha madai.
Watu kutoa lugha...
Na Eleuteri Mangi, WUSM Dar es Salaam
Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw Saidi Yakubu ametoa tuzo UNI AWARDS na kusisitiza kuwa Serikali inashirikiana na taasisi za kifedha za benki ya CRDB na NBC na wafadhili wengine ndani na nje ya nchi kupitia Mfuko wa Utamaduni na Sanaa...
Asabuhi leo napitia pitia na kusikiliza Radio Free Africa. Jana hii Taasisi imetoa msaada wa Kilo 3 za maharage kutoka Saudia. Mayor amewashukuru sana na kuishukuru Saudia kwa msaada huu mkubwa kwa wenye shida.
Habari hii imetangazwa sana kitaifa na kimataifa. Asanteni sana ndugu zetu katika...
Kuna clip ya mwanafunzi wa shule ya sekondari Nganza inatembea sana mitandaoni akitukana Rais na viongozi wote wa serikali katika mkutano uliofanyika chuo Cha SAUT nani alimtuma ?
Baraza la mitihani Lina namba yake ili tujue ni mwanafunzi kweli au kavalishwa uniform tu? Nashauri Baraza la...
Mengi yanazungumzwa sana kuhusiana na mkataba wa DP World huku maswali mengi yakikosa majibu. Watanzania wanaonesha kutoridhika na uwekezaji wa DP World katika bandari za Tanzania kwa kutokuridhishwa na majibu ya maswali yao. Watanzania wanasema kuwa hawapingi uwekezaji wao wanataka kufahamu...
Mkoa wa Morogoro wilaya za Malinyi ,Ifakara, Mahenge, Kilosa na Mvomero hakuna mafuta ya petrol wiki sasa, imefika tunashangaa hakuna tamko serikalini. Hii imeleta usumbufu mkubwa sana kwa wananchi.
Serikali imekaa kimya utadhani ni jambo la kawaida tu chukueni hatua.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulika na (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Jenista Mhagama, amesema mradi wa Ujenzi wa Mji wa Serikali Mtumba, pamoja na Miradi mingine ya kimkakati imeleta ajira na kuchangia kasi na chachu ya ukuaji wa uchumi hususan katika Jiji la Dodoma.
Ameyasema...
Hili ni wazo la ijumaa, kabla sijala biriani wala kwenda kwenye senene za mabibo wine.
Ni hivi suluhisho la kweli la Tanzania kama tunataka kweli maisha bora kwa wote uanze mchakato wa Tanzania kujiunga na United states of America yani total sisi tuwe Wamarekani, na hii proposal Wamarekani...
Wanajukwaa heri nyingi ziwafikie. Dhumuni la kuja kwenu leo, ni kujaribu kushare nanyi kuhusu inshu ya serikali yetu kushindwa kutoa mikopo ya tractor kwa wajasilia mali wakulima wenye kumiliki mashamba kwanzia heka 10 na kuendelea.
Natumai hili swala ni zuri sana kama wenye kulifanya hili...
Mbunge Martha Mariki Aipa Tano Serikali Mradi wa Bwawa la Nsekwa - Mlele
MBUNGE wa Viti maalumu Mkoa wa Katavi Martha Mariki ameipongeza Serikali Kwa Kuleta fedha Shilingi Bilioni 2.4 kwaajili ujenzi wa Bwawa la Maji litakakalo saidia upatikanaji wa Huduma ya Maji katika Kijiji Cha Nsekwa na...
Kijana mmoja maarufu kwa jina la Bonge mkazi wa Mtaa wa Kichangani, Tabata Kinyerezi Jijini Dar es Salaam, hajulikani alipo baada ya kubebwa na baadhi ya waendesha Bodaboda kwa madai kuwa amehusika na wizi wa pikipiki usiku wa kuamkia leo Agosti 3, 2023.
Tukio la wizi lilivyokuwa
Dada mmoja...
Kwanza Niwaambie nyie wananchi inawezekana ndani ya Miezi sita ijayo Kwa hali inavyoendelea fedha zenu mlizoweka bank na kwenye vibubu zitashuka thamani na zitakukuwa na uwezo mdogo wa kufanya manunuzi.
Hali hii inatokana na Shilingi ya Tanzania kuendelea kushuka thamani kadri siku...
Habari ya jioni wanaJF,
Mimi kama mkazi wa DSM nimeona niweke hii thread hapa ili tuwe tunaishauri serikali jinsi ya kuboresha usafi wa mazingira tunayoishi. Ushauri serikali ifanye haya.
1. Kuongeza kodi maradufu kwenye nepi za watoto wanaoziita baby diapers... Hizi zimekuwa uchafu maeneo...
Husika na kichwa cha habari hapo juu.
TUNAOMBA serikali yetu sikivu ipige marufuku kujitolea ili vijana tupate ajira na pia kujitolea ni upendeleo nafasi hazipo wazi na mpaka uwe na connection.
Pia tunaomba ajira zote za kudumu kwenye mamlaka ya serikali ndogo (local government) wizara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.