DOKEZO Wilaya za Malinyi, Ifakara, Mahenge, Kilosa na Mvomero mkoani Morogoro hakuna mafuta ya petrol wiki sasa

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

Administer

JF-Expert Member
Feb 9, 2020
930
1,408
Mkoa wa Morogoro wilaya za Malinyi ,Ifakara, Mahenge, Kilosa na Mvomero hakuna mafuta ya petrol wiki sasa, imefika tunashangaa hakuna tamko serikalini. Hii imeleta usumbufu mkubwa sana kwa wananchi.

Serikali imekaa kimya utadhani ni jambo la kawaida tu chukueni hatua.
 
Petrol stations hazifungui au hata zenyewe hazina?
 
Hiyo ni kweli siku kama tatu nyuma niliingia Petrol station Moja ya uko moro nikaambiwa Amna kilibwa kumbe bado tatizo linaendelea poleni sana
 
EWURA: Tunashindwa kuagiza mafuta nchi haina akiba ya dola
BoT: Akina ya dola ipo ya kutosha
Maza: Wacha niende mashariki ya kati kuomba 'nipige tafu'

Wananchi: Tunakumbuka JPM 😭
 
Wameanza kuvamia malori ya watu eti yameficha mafuta.

Yaani ongezeko la Shilingi 450/lita sokoni halafu mtu afiche bidhaa.
 
Back
Top Bottom