serikali

  1. JamiiForums Tanzania Hapa naipongeza Serikali; Kuongeza thamani ya miradi iliyokuwa ikitekelezwa na Wazawa kutoka Bilioni 10 hadi Bilioni 50 ni jambo jema

    Serikali imeweka kwenye Sheria kiwango cha thamani ya miradi iliyokuwa ikitekelezwa na wazawa kutoka shilingi bilioni 10 hadi shilingi bilioni 50 ili kuwawezesha wazawa kunufaika na kuwafanya wawe walipakodi wakubwa kwa maendeleo ya nchi. Hayo yameelezwa jijini Dodoma na Waziri wa Fedha, Dkt...
  2. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mkandarasi wa SGR ametoa majina wanaopunguzwa kazi, Serikali isaidie tupate haki zetu tunaopunguzwa

    Leo tarehe 21 mwezi wa 11 kumefanyika Kikao cha Wafanyakazi wanaojenga Mradi wa SGR na Maafisa Rasilimali Watu wa Kampuni ya Yapi Merkezi ambaye ni Mkandarasi Mkuu wa Mradi huo, hakuna muafaka ambao tumeufikiwa kati yetu. Kikubwa ambacho tumezungumza ni kuwa Wao wametoa orodha ya majina ya...
  3. JamiiForums Tanzania Bila umeme kwenye shule za Serikali tutaendelea kubaki nyuma kidigitali

    Ujumuishaji wa kidigitali katika sekta ya elimu ni suala linalokubalika kuwa na umuhimu mkubwa katika kuleta mageuzi ya kielimu na kufanikisha maendeleo ya kitaifa. Hata hivyo, ni dhahiri kuwa mchakato huu utachukuwa muda mrefu kufikia mafanikio makubwa hapa nchini kwetu. Kuna changamoto kadhaa...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Mawakili tumieni taaluma yenu kuzuia unyanyasaji huu wa Serikali ya CCM dhidi yenu. Enough is enough!

    Naona sasa ishakuwa tabia kwa kila wakili anayejaribu kuikosoa serikali ya CCM anakutqna na rungu la kuvuliwa uwakili. Fatma Karume alivuliwa uwakili kimizengwe, Mawakili Jebra Kambore na Edson Kilato walishitakiwa na kamati maadili baada ya kuonekana ni wakosoaji wakubwa wa Serikali na sasa...
  5. JamiiForums Tanzania Kwa hali ya Miundombinu ya Barabara na Maji hapo Mtaani, Utamchagua tena Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wako?

    Tanzania inatarajia kufanya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka 2024 ambapo kwa mujibu wa Muongozo, Serikali za Mitaa zimeanzishwa kwa mujibu wa Ibara ya 145 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977. Madhumuni ya kuwepo kwa Serikali za Mitaa ni kupeleka madaraka kwa wananchi...
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenyatta: Serikali chapeni kazi msilaumu utawala uliopita

    Rais Mstaafu wa kenya Uhuru Kenyatta, ameiambia serikali iliyoko madarakani iache kuulaumu utawala wake kwa kushindwa kutimiza malengo iliyowaahidi Wakenya. Uhuru amesema serikali ya rais William Ruto inapaswa kushughulikia matatizo yanayowakabili Wakenya badala ya kutafuta sababu zisizo na...
  7. JamiiForums Tanzania Wilaya ya Geita pekee ina upungufu wa zaidi ya Walimu elfu 6 wa shule za msingi

    Ndugu zangu habari. Naleta kwenu mada hii kufuatia takwimu mbalimbali zinazoonyesha kumekuwa na ongezeko kubwa Sana la watu Kanda ya ziwa hususani Mikoa ya Tabora, Mwanza, Geita, Shinyanga na Simiyu. Kutokana na ongezeko hili kubwa imekuwa ni changamoto Kwa serikali kupeleka huduma za kutosha...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Gari kulipishwa tozo za maegesho wanasheria walipaswa kuishitaki serikali mahakaman ni utapeli

    Baadhi ya sheria zimekaa kikoloni! Pamoja na pesa ya maegesho mijini kuwa ni kidogo lakini inakera! Kama serikali inachukua kodi ya barabara kupitia motor vehicle license! Haikupaswa kuchaji tena kodi nyingine kwa jambo lilelile! Gari lazima itembee barabarani na lazima ipaki! Sasa...
  9. JamiiForums Tanzania Dar es Salaam: Wakazi Kijijini Mbezi Beach B waigomea Serikali kuhusu kuhama eneo hilo

    Wakazi wa eneo la Kijijini lililopo katika Kata ya Kawe, Mtaa wa Mbezi Beach B, Wilaya ya Kinondoni Jijini Dar es Salaam wamekahidi kuhama eneo hilo kama ilivyoamuliwa na Serikali. Wakazi hao walipewa siku 14 za kuhama eneo hilo kwa hiari na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Saad Matambule. Mkuu...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Hivi kweli mtu anasomea Pharmacy miaka 4 kuja kugawa dawa tu? Serikali rekebisheni hili

    Hivi kweli mtu anasomea Pharmacy 4 yrs, kuja kugawa dawa tu? Serikali rekebisheni hili. Medical officer ana recommend dawa akiwa hana uzoefu wowote wala Elimu kuhusu dawa, hii sio sawa. Viongozi wetu wa juu Kuna sehemu mnakwama sana, waacheni wafamasia WAFANYIE kazi walichofundishwa darasani.
  11. JamiiForums Tanzania Ifike mahala Watu waelewe kuwa Jukumu la Malezi sio la Serikali

    IFIKE MAHALI WATU WAELEWA KUWA JUKUMU LA MALEZI SIO LA SERIKALI Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Ukishaishi kwenye taifa ambalo halina Dini ila Watu wake wanadini, hiyo itoshe kukueleza kuwa jukumu la Malezi ni jukumu la wananchi wenyewe na sio jukumu la serikali. Ni kosa la kiufundi kufikiri...
  12. JamiiForums Tanzania Serikali na Mkakati wa Kupunguza Vifo Vya Watoto Njiti Nchini

    SERIKALI kwa kushirikiana na wadau mbalimbali ikiwemo Ifakara Health Institute wameweka mkakati wa kupunguza vifo vya watoto wanaozaliwa kabla ya muda (njiti) ,kwa kuwawezesha watoa huduma kufanya kazi kwenye mazingira wezeshi. Akizungumza Jijini Dar es Salaam katika mkutano wa pili wa...
  13. JamiiForums Tanzania Wakili Peter Madeleka Akoshwa na Serikali ya Awamu ya Sita Kusimamia Maridhiano

    Wakili Peter Madeleka akizungumza katika mahojiano maalum aliyoyafanya na Global TV jijini Arusha kuhusu sakata la kuhojiwa kwa tuhuma za utoro jeshini ameipongeza Serikaloi ya awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwa kinara wa maridhiano. Madeleka ameeleza kuwa ana...
  14. JamiiForums Tanzania Mbunge Santiel Kirumba Aongoza Maadhimisho ya Mtoto Njiti Duniani, Agawa majiko ya Gesi, Aiomba Serikali Iongeze Likizo Mama Aliyejifungua Mtoto Njiti

    MBUNGE SANTIEL KIRUMBA AONGOZA MAADHIMISHO YA MTOTO NJITI DUNIANI, AGAWA MAJIKO YA GESI, AIOMBA SERIKALI IONGEZE LIKIZO MAMA ALIYEJIFUNGUA MTOTO NJITI Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Shinyanga Mhe. Santiel Kirumba ameongoza Maadhimisho ya Mtoto Njiti duniani katika Halmashauri ya Wilaya ya...
  15. JamiiForums Tanzania Serikali iingilie kati suala hili. Linatugharimu sana Vijana na kutuangusha kiuchumi

    Waziri nape. Piga marufu matumizi ya Filters instagram. Kule ndani kila binti mzuri, ana ngozi ya kiulaya ulaya na mwonekano wa kuvutia. Unamtumia nauli.... Unakuja mwona live.... Sura haina ung'aavu ambao aliuonesha kule insta au fb. Hii si sawa. Ni utapeli kabisa. Mimi mara 3 sasa...
  16. JamiiForums Tanzania Pamoja na Serikali kupiga kura kuiunga mkono Palestina bado wamemuua mtanzania mwenzetu. Ni kujipendekeza au ni msukumo wa imani ndio ulioutuongoza?

    Jambo hili limeniuma sana. Tuliwahi kuwambia hapa kwamba hao mnaiwaunga mkono kwa sababu ya imani yenu sio watu wazuri hata kidogo. Sasa ona wamemuua mtanzania mwenzetu asiyekua na hatia. Yani mtu ameenda masomoni hata nchi sio yake ameuwawa kikatili. Mlipelekea mihemuko yenu ya imani kuiunga...
  17. U

    JamiiForums Tanzania Kuhusu kikokotoo cha wastaafu: Serikali na CCM muwe na haya. Nanyi wabunge na bunge letu oneni aibu na muwe na utu

    Kabla sijasema lolote kila mmoja asome huu ujumbe wa mstaafu mmoja wa jeshi la polisi akigugumilia maumivu ya kikokotoo alioutuma kwa aliyekuwa mbunge mstaafu wa Jimbo la Tarime vijijini (CHADEMA) ndugu John Heche na kuuposti Instagram page yake... Mimi umeniumiza sana na nimeamua kuuleta...
  18. JamiiForums Tanzania Sabaya na wenzake washinda Rufaa dhidi ya Serikali kosa la unyang'anyi wa kutumia silaha

    Mahakama ya Rufaa ya Tanzania imetupilia mbali Rufaa iliyokatwa na Upande wa Jamhuri, ikipinga uamuzi uliotolewa na Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Arusha, kumuachilia huru aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wawili waliokuwa wamehukumiwa Kifungo cha miaka 30 jela...
  19. JamiiForums Tanzania Waisababishia Serikali hasara ya Tsh. Bilioni 40 kwa kuvujisha Mtihani

    Meneja Uendeshaji Mitihani, Baraza la Mitihani Tanzania (Necta), Vonensia Sanga ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jinsi Serikali ilivyopata hasara ya Sh40 bilioni baada ya kuvuja kwa mtihani wa darasa la saba wa mwaka 2022. Pia ameeleza jinsi alivyopata taarifa ya kuvuja kwa mtihani...
  20. JamiiForums Tanzania Paul Makonda awataka Viongozi wanaosubiri ziara ya Rais ndio watatue matatizo ya wananchi wajitafakari kama wanapaswa kuendelea kuwa viongozi

    Katibu wa Itikadi naUenezi chama cha Mapinduzi (Paul Makonda) amewataka viongozi wa Umma na wa siasa kuacha mara moja tabia ya kusubiri ziara ya Viongozi wakuu wa Umma ndio waje kueleza mazuri na mipango au kutoa ufafanuzi wa mambo muhimu yanayo husu miradi ya jamii na utekelezwaji wake! Paul...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…