serikali

  1. A

    JamiiForums Tanzania Kuna matukio ya utekaji serikali kimya

    Kila wiki kuna utekaji vijana dar serikali kimya rais kimya tupeleke kesi ICC
  2. JamiiForums Tanzania Serikali itangaze Umeme kuwa janga la Kitaifa

    Hi GreatThinkers Hakuna namna naweza kuelezea hili tatizo. Naitaka serikali itangaze hadharani kwamba umeme umewashi.nda. Inachukiza na kukasirisha sana kazi za billions of money zinasimama kisa umeme. Mgao wa umeme unatishia ajira za maelfu ya watanzania huku bidhaa nazo zikipanda bei...
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto awalaumu maafisa wa serikali kwa uzembe kufuatia mlipuko mbaya wa gesi

    Rais wa Kenya William Ruto Jumamosi amewalaumu maafisa wa serikali kwa uzembe na rushwa kufuatia mlipuko mbaya wa gesi uliotokea jijini Nairobi na kuua watu watatu na kujeruhi wengine 280. Lori lililokuwa limebeba mitungi ya gesi lilipuka kabla ya saa sita usiku siku ya Alhamisi huko Embakasi...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Ruto awalaumu maafisa wa Serikali kwa uzembe kufuatia mlipuko mbaya wa gesi

    Rais wa Kenya William Ruto Jumamosi amewalaumu maafisa wa serikali kwa uzembe na rushwa kufuatia mlipuko mbaya wa gesi uliotokea jijini Nairobi na kuua watu watatu na kujeruhi wengine 280. Lori lililokuwa limebeba mitungi ya gesi lilipuka kabla ya saa sita usiku siku ya Alhamisi huko Embakasi...
  5. JamiiForums Tanzania Mbunge Martha Mariki, Najma Murtaza na Rose Tweve Waibana Serikali Bungeni Kutoa Elimu kwa Watanzania Wasiojua Kusoma na Kuandika

    MBUNGE MARTHA, NAJMA NA TWEVE WAIBANA SERIKALI BUNGENI KUTOA ELIMU KWA WATANZANIA WASIOJUA KUSOMA NA KUANDIKA "Tuna zaidi ya Watanzania asilimia 16 hawajui kusoma na kuandika. Ni upi mkakati wa Serikali wa kuhakikisha tunatenga bajeti kwenda kuhudumia watanzania ambao wanapata elimu kwenye...
  6. JamiiForums Tanzania Video: Dereva wa Gari la Serikali asababisha Ajali akiwa amelewa

    Dereva wa Gari lenye namba za usajili STL 8852 akiwa kwenye hali ya ulevi amesababisha ajali kwa kumgonga Dereva wa Pikipiki. ANGALIA HAPA VIDEO Nini maoni yako? Written By Mjanja M1 ✍️
  7. JamiiForums Tanzania Gari za serikali Sasa nimekuwa zikiendeshwa na waliolewa?

    Hii gari ni ya serikali! Ni la idara Gani au wizara Gani?
  8. R

    JamiiForums Tanzania Mifumo yote ya TEHAMA Nchini iliyochini ya serikali haina mtandao na inasumbua; sekta binafsi hakuna changamoto. Serikali ipo salama?

    Hakuna mfumo wa serikali mtandao unaotoa huduma kwa wakati. Mifumo yote inasumbua na ipo slow sana. Kwa wataalam wa TEHAMA mtakubaliana na mimi kwamba kadri mifumo ya serikali ya TEHAMA inavyohujumiwa ndivyo wanasiasa na watoa maamuzi wanavyosukumwa kutafuta suluhu mpya Maana yake hapa tulipo...
  9. JamiiForums Tanzania Mbunge Mwantum Zodo Aibana Serikali Kuvisaidia Vikundi vya Uzalishaji Mali vya Ufugaji Vinavyosimamiwa na Wanawake

    Mbunge Mwantum Zodo Aibana Serikali Kuvisaidia Vikundi vya Uzalishaji Mali vya Ufugaji Vinavyosimamiwa na Wanawake VIKUNDI 102 VYA WAFUGAJI VYANUFAIKA NA MIKOPO NAIBU Waziri Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mhe Deogratius Ndejembi amesema vikundi 102 vya Wanawake vyenye wanufaika 875...
  10. JamiiForums Tanzania Hivi serikali inashindwa nini kujikita kwenye mapinduzi ya kilimo na vifaa vyake

    Ni aibu kila nchi inayokuja kujifunza tanzania kilimo ikipeleka kwao inafanya mpaka kujulikana wazalishaji wakubwa.leo zana na vifaa vya kilimo vina utitili wa makodi na siasa yani mpaka mbolea ni jambo la zama za zamani. wakulima,wafugaji na wavuvi ni kama watu wasio thaminika.watu hawa ndio...
  11. JamiiForums Tanzania DOKEZO Zahanati ya Mashati (Rombo) kuwa hatarini kutokana na nyufa ni dalili za kukosekana uwajibikaji Serikalini

    Nimeona hili habari, isome kisha nami nitatoa maoni yangu... Zahanati ya Mashati, Wilayani Rombo Mkoani Kilimanjaro, iliyotajwa kujengwa zaidi ya miaka tisini iliyopita ipo hatarini kuanguka baada ya zahanati hiyo kuwa na nyufa hali ambayo inatishia usalama wa wagonjwa pamoja na watoa huduma...
  12. JamiiForums Tanzania Serikali za miji zingekataza kufuga maeneo ya miji na majiji.

    Nimeona mdau mmoja analalamika kero ya jirani yake anayefuga ng'ombe. Kwa nini serikali za miji hazikatazi kufuga maeneo ya mjini, badala yake wanakataza kulima mahindi na alizeti, vitu visivyo na madhara yoyote kwa mji? Huwa tunawaza kinyume nyume sana. Binadamu alianza kusumbuliwa sana na...
  13. U

    JamiiForums Tanzania Video: Paul Makonda na harakati za hila za kuulinda mfumo wa serikali tawala ya CCM ulioshindwa. Atafanikiwa au anasukuma anguko lake?

    This video is Courtesy of SK Media Online TV. ===================================================== KWA UFUPI; 1. Paul Makonda ni Katibu wa Idara ya Itikadi na Uenezi ndani ya CCM. Yupo barabarani anatembea nchi mzima hata sasa kwa kinachoitwa "ziara ya kuimarisha uhai wa chama..." 2...
  14. JamiiForums Tanzania Kama ni kweli Serikali imeamua kufundisha somo la Uchambuzi wa Michezo, Kuna watu wamerogwa kule juu

    Yaani kweli hii ndo wanaona issue ya msingi kwa Watanzania? Hawa watu wanalipwaje hizi kodi kufanya mambo ya hovyo kama haya? 📍Bungeni,Dodoma ▪️SERIKALI KUANZISHA SOMO LA UCHAMBUZI WA MICHEZO VYUONI Serikali kupitia Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo inakusudia kuanza kufundisha somo la...
  15. JamiiForums Tanzania Katavi: Wachimbaji wadogo wa Dhahabu Mpanda wailalamikia Serikali kushindwa kutatua mgogoro wa muda mrefu

    Wachimbaji wadogo wa dhahabu katika Kiiji cha Dilifu kilichopo Kata ya Magamba iliyopo Wilaya ya Mpanda Mkoani Katavi wameulalamikia uongozi wa wilaya hiyo kwa kushindwa kutatua mgogoro baina yao, muwekezaji na kikundi kinachomiliki leseni ya uchimbaji madini katika eneo hilo. Wachimbaji hao...
  16. JamiiForums Tanzania Ahadi za Serikali ambazo hazijatimia

    Serikali yetu pendwa chini ya Rais wetu Mama Samia Suluhu imekuwa ikitudanganya baadhi ya mambo, na mbaya zaidi serikali yetu imekuwa haituletei mrejesho wa mambo waliyotuahidi. Haya ni baadhi ya mambo ambayo Serikali yetu ilituahidi pasi na kuyatekeleza, Ombi langu kwa Serikali yetu -...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi, tengua Amri haramu ya kwamba Wamasai hawaruhusiwi kutembea na fimbo na Sime Zanzibar. Inahatarisha Muungano!

    Nina laani kwa nguvu zote kitendo cha vurugu za mgambo na watu wa jamii ya kimasai kwakupigana hadharani, Nina laani Masai kushambulia Mgambo, Nina laani kwa nguvu kubwa Mgambo wa Zanzibar kushanbulia watu wa jamii ya kimasai! Jambo hili halikubaliki kwa mjibu wa sheria za Jamhuri ya Muungano wa...
  18. JamiiForums Tanzania Serikali Iko Mbioni Kujenga Uwanja wa Ndege Zenye Uwezo wa Kubeba Abiria 50 Mkoani Singida

    Katika kipindi cha maswali na majibu Bungeni jijini Dodoma, Mhe. Martha Nehemia Gwau aliuliza swali lililojibiwa na Naibu Waziri wa Uchukuzi, Mhe. David Kihenzile na kusema kuwa Serikali iko mbioni kujenga uwanja wa ndege wa daraja 2C Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida, Mhe. Martha Nehemia...
  19. JamiiForums Tanzania Serikali iangalie upya maternity leave badala ya miezi 3 iwe miezi 5 au 6

    Malezi ya mtoto mchanga yanahitaji uangalizi mkubwa sana wa mama yake! Nashangaa serikali mnasisitiza mtoto asipewe maji wala uji ndani ya miez 6! yaani awe anashindia maziwa ya mama tu! Nyinyi hao hao serikali mnawapa wafanyakaz wenu miez 3 tu ya materninty hamuoni tatizo kwa watoto kuwa badae...
  20. JamiiForums Tanzania Maadili na mamlaka zinazosimamia nidhamu ya Mawakili wa kujitegemea, Mawakili wa Serikali, Mahakimu na Majaji (Ethical Values and Disciplinary Authori

    Wanasheria au Mawakili, Mahakimu na Majaji hawako juu ya Sheria, nao pia wanaweza kuchukuliwa hatua za kinidhamu na hata kushtakiwa Mahakamani kama mtu mwingine yeyote. Makala hii inahusu jinsi ya kuwawajibisha waliotajwa hapo juu kwa makosa ya kimaadili (nidhamu) tu na sio kuwashtaki...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…