TTCL Dodoma mnaihujumu Serikali na kukwamisha maendeleo ya wananchi

analysti

JF-Expert Member
Aug 24, 2009
729
612
Habari ya leo wadau.

Leo nina kilio juu ya kampuni yetu ya TTCL. Kwa kipindi kirefu kampuni hii imeshindwa kabisa kushindana na makampuni binafsi yanayotoa huduma ya mawasiliano. Kushindwa huku binafsi nilitarajia waliopewa wajibu wa kuliongoza na kusimamia uendeshaji wake wangekuwa wabunifu na aggressive kutafuta huduma ambayo wangeweza kuisimamia na kuendesha shirika kwa mafanikio.

Kuna hii huduma ya Internet ya majumbani na maofisini ya T-fiber, binafsi baada ya TTCL kuianzisha hii huduma niliona ndio chaka lao la mafanikio. Lakini kwa masikitiko makubwa, TTCL wameshindwa kabisa kuendana na kasi ya ukuaji wa mahitaji ya huduma hii kwa watanzania. Katika ulimwengu wa sasa, watu wengi wenye vipato vya kati wangependa kuwa na huduma hii majumbani mwao kwa ajili ya kutumia kusupport devices zinazohitaji mtandao wenye speed, lakini ni huzuni kuona kwamba kampuni yetu hii imekwama kabisa kuendana na kasi ya uhitaji wa huduma hii majumbani.

Kwa masikitiko makuba, imekuwa ni jambo la kawaida kabisa kwa TTCL Dodoma mtu au watu kuwasilisha maombi ya kuunganishiwa huduma, lakini ukakaa miezi mitatu hawajaja kuunganisha huduma, huku wakisema hakuna vifaa, vifaa vimeisha tusubiri mpaka vije.

Hii ni aibu na binafsi ninaona kabisa watendaji hawa wanahujumu kwa maksudi jitihada za muheshimiwa rais Samia Suluhu Hassan na waziri za kuhakikisha huduma ya internet inawafikia watanzania waliowengi iwezekanavyo. Lakini pia, kwa maksudi wanakosesha mapato serikali, maana hawa watu wanaoomba kuunganishiwa huduma wapo tayari kulipia huduma hii kila mwezi.

Natoa wito kwa Mh. Waziri, angalia watendaji wako katika hili shirika, wengi ni goigoi, wavivu, wasiokuwa na morale ya kuhakikisha shirika linajiendesha kwa faida. Fanya mabadiliko ya haraka ya uongozi hapa Dodoma, jiji linakuwa kwa kasi huku proportion ya middle class ikipanuka kwa kasi sana, watu hawa wanahitaji hii huduma, weka watendaji watakaoweza kuendana nah ii kasi ya ukuaji wa Jiji.

Ni mimi muhitaji wa huduma ya T-fiber, ambae nina miezi mitatu karibu na nusu tangia nimeomba kuunganishiwa huduma bila mafanikio. Nimepigia simu wahusika mara kadhaa nimekuwa nikipewa ahadi, mara vifaa vimeisha, mara vimekuja lakini kwa sasa hatuna ratiba ya kuunganisha huko unakoishi.

Naomba niseme kwamba, nikirudi tena kutoa taarifa hapa, nitataja majina ya watumishi wote ambao kwa nyakati tofauti tofauti nimekuwa nikiwaomba waniunganishie huduma lakini wamekuwa wakinipa majibu ya kukatisha tamaa.
 
Hivi hawa TTCL ndio wanadai 3b lakini hawajui wanamdai nani: CAG report 2022/23
 
...Kuna Waheshimiwa wa TTCL wanapokea 'Kidogo dogo' kutoka Kwa Wapinzani wa TTCL ili Wahujumu Shirika....!!!
 
Niliondoa huduma yao kwa kukosa msaada ofisini kwao

Ukipata tatizo la mtandao weekend ndio usubiri hadi j3

Kifaa kikiharibika, inabidi uhonge mafundi wao wakupe

Na fundi hadi aje kwako lazima umtoe lasivyo utasubiri mwezi mzima na hakuna atakae kuja japo hadi meneja wa mkoa anakuwa na taarifa

Inasikitisha sana kwa kweli
 
Hata mimi nilienda kujiandikisha ofisi zao za Mwanza mwezi wa 8 ili kupata huduma hiyo ya Fiber mlangoni, wakasema hawawezi kuniandikisha kwa sababu hakuna vifaa na waliojiandikisha bado ni wengi.
 
Bora wewe miezi mitatu....Mimi naingia mwezi wa 5 sasa wapo tu ofisini mishahara inasoma kwao hawaoni tabu..Unapozungumzia shirika la umma basi lile suala la kwamba watumishi haliwagusi moja kwa moja kikubwa changamoto za raia haziathiri mishahara yao so hatuwezi kuwa muhimu.Nimepiga simu huduma kwa wateja Mara mbili katika nyakati tofauti lakini majibu ni wanashughulikia.Nimekwenda ofisini hadi sasa nishajuana na watumishi karibu wore mule ndani.Niliambia vifaa Mara waya zimeisha sasa naambiwa nipo kwenye list wanafunga kwa awamu.Hii yakuwa kwenye foleni ndio imeisha mwezi hadi nawaza au ndio mambo ya rushwa pengine sijakunjua mkono.Ki ukweli Wanaohusika na huu uzumbe watumbuliwe tu.TTCL MNAKERA NA MNAJIJUA.SIJUI MNATUMIKA KUSUDI ZIUZIKE IZO ROOTER ZA MITANDAO BINAFSI.
 
Hachana na Dodoma hata Huku Manzese Dar miundombinu Yao imepita kitaani ila kupata huduma Yao ni Mtiti.
Bora Skylink ingepewa kubali Cha kusambaza satellite net
 
Habari ya leo wadau.

Leo nina kilio juu ya kampuni yetu ya TTCL. Kwa kipindi kirefu kampuni hii imeshindwa kabisa kushindana na makampuni binafsi yanayotoa huduma ya mawasiliano. Kushindwa huku binafsi nilitarajia waliopewa wajibu wa kuliongoza na kusimamia uendeshaji wake wangekuwa wabunifu na aggressive kutafuta huduma ambayo wangeweza kuisimamia na kuendesha shirika kwa mafanikio.

Kuna hii huduma ya Internet ya majumbani na maofisini ya T-fiber, binafsi baada ya TTCL kuianzisha hii huduma niliona ndio chaka lao la mafanikio. Lakini kwa masikitiko makubwa, TTCL wameshindwa kabisa kuendana na kasi ya ukuaji wa mahitaji ya huduma hii kwa watanzania. Katika ulimwengu wa sasa, watu wengi wenye vipato vya kati wangependa kuwa na huduma hii majumbani mwao kwa ajili ya kutumia kusupport devices zinazohitaji mtandao wenye speed, lakini ni huzuni kuona kwamba kampuni yetu hii imekwama kabisa kuendana na kasi ya uhitaji wa huduma hii majumbani.

Kwa masikitiko makuba, imekuwa ni jambo la kawaida kabisa kwa TTCL Dodoma mtu au watu kuwasilisha maombi ya kuunganishiwa huduma, lakini ukakaa miezi mitatu hawajaja kuunganisha huduma, huku wakisema hakuna vifaa, vifaa vimeisha tusubiri mpaka vije.

Hii ni aibu na binafsi ninaona kabisa watendaji hawa wanahujumu kwa maksudi jitihada za muheshimiwa rais Samia Suluhu Hassan na waziri za kuhakikisha huduma ya internet inawafikia watanzania waliowengi iwezekanavyo. Lakini pia, kwa maksudi wanakosesha mapato serikali, maana hawa watu wanaoomba kuunganishiwa huduma wapo tayari kulipia huduma hii kila mwezi.

Natoa wito kwa Mh. Waziri, angalia watendaji wako katika hili shirika, wengi ni goigoi, wavivu, wasiokuwa na morale ya kuhakikisha shirika linajiendesha kwa faida. Fanya mabadiliko ya haraka ya uongozi hapa Dodoma, jiji linakuwa kwa kasi huku proportion ya middle class ikipanuka kwa kasi sana, watu hawa wanahitaji hii huduma, weka watendaji watakaoweza kuendana nah ii kasi ya ukuaji wa Jiji.

Ni mimi muhitaji wa huduma ya T-fiber, ambae nina miezi mitatu karibu na nusu tangia nimeomba kuunganishiwa huduma bila mafanikio. Nimepigia simu wahusika mara kadhaa nimekuwa nikipewa ahadi, mara vifaa vimeisha, mara vimekuja lakini kwa sasa hatuna ratiba ya kuunganisha huko unakoishi.

Naomba niseme kwamba, nikirudi tena kutoa taarifa hapa, nitataja majina ya watumishi wote ambao kwa nyakati tofauti tofauti nimekuwa nikiwaomba waniunganishie huduma lakini wamekuwa wakinipa majibu ya kukatisha tamaa.
sijasoma hata uzi wako zaidi ya heading. Hivi TTCL bado ipo? Inafanya kazi gani? Huo ni uzembe wa serikali, ifutwe haina kazi.
 
Niliapply TTCL fiber kuanzia mwezi wa 2 tawi la kijitonyama sijawai waoana,pia huduma ya coper inasumbua sana .
 
Hii ni kweli kabisa hata Arusha Kuna hiyo changamoto ya kuwasilisha maombi na kukaa muda mrefu bila ya kufungiwa/kupatiwa huduma
 
TTCL lishakuwa nawatumishi wazeee wanaopoteza Kumbukumbu hawakumbuki wanachotakiwa kufanya ofisin chauri ya uzee na ugonjwa kupoteza kumbumbu unamwagiza chai akienda kukuletea mapaka anarudi keshasahau badala kukuletea chai anakuletea maji ya uhai baridi, watumishi wengi TTCL wamejaa ubinafsi Sana hizo wanajivunia wao PF zao hata ukapeleleza wazo zuri kiasi watakukwamisha dawa mswada bungeni kubadilisha Sera inaindesha ttcl na kuwa na Sera mpya hii Sera kikoloni ndio inayongusha ttcl.isifanye vizuri sokon undaji wao wa kazi ttcl bado ni kizaman Sana sera(Policy) ikabadilishwe bugeni kuwe na Sera ya kisasa hii walionayo unafanya wafanya wanyakazi kuwa Kama kuku mdondo, hawaendagi hata market visibility kujua kampun nyingine wanafanyaje kazi watumishi wa ttcl mzigo kwa taifa na watia hasara hawana wanchokifanya, na kupewa malengo kila meneja ayafikie hatafikia ufyagia wote wajui wafanyalo wanalingia degree zao degree ndo zinafanywa kazi?

Tutaka kuona matokeo halisi la kampuni si kuomba ngonjera na kujinadi kwenye mtandao ya kijamii ttcl hakuna mnakifanya sokon mnapaka hina tu hakuna matokeo
 
Habari ya leo wadau.

Leo nina kilio juu ya kampuni yetu ya TTCL. Kwa kipindi kirefu kampuni hii imeshindwa kabisa kushindana na makampuni binafsi yanayotoa huduma ya mawasiliano. Kushindwa huku binafsi nilitarajia waliopewa wajibu wa kuliongoza na kusimamia uendeshaji wake wangekuwa wabunifu na aggressive kutafuta huduma ambayo wangeweza kuisimamia na kuendesha shirika kwa mafanikio.

Kuna hii huduma ya Internet ya majumbani na maofisini ya T-fiber, binafsi baada ya TTCL kuianzisha hii huduma niliona ndio chaka lao la mafanikio. Lakini kwa masikitiko makubwa, TTCL wameshindwa kabisa kuendana na kasi ya ukuaji wa mahitaji ya huduma hii kwa watanzania. Katika ulimwengu wa sasa, watu wengi wenye vipato vya kati wangependa kuwa na huduma hii majumbani mwao kwa ajili ya kutumia kusupport devices zinazohitaji mtandao wenye speed, lakini ni huzuni kuona kwamba kampuni yetu hii imekwama kabisa kuendana na kasi ya uhitaji wa huduma hii majumbani.

Kwa masikitiko makuba, imekuwa ni jambo la kawaida kabisa kwa TTCL Dodoma mtu au watu kuwasilisha maombi ya kuunganishiwa huduma, lakini ukakaa miezi mitatu hawajaja kuunganisha huduma, huku wakisema hakuna vifaa, vifaa vimeisha tusubiri mpaka vije.

Hii ni aibu na binafsi ninaona kabisa watendaji hawa wanahujumu kwa maksudi jitihada za muheshimiwa rais Samia Suluhu Hassan na waziri za kuhakikisha huduma ya internet inawafikia watanzania waliowengi iwezekanavyo. Lakini pia, kwa maksudi wanakosesha mapato serikali, maana hawa watu wanaoomba kuunganishiwa huduma wapo tayari kulipia huduma hii kila mwezi.

Natoa wito kwa Mh. Waziri, angalia watendaji wako katika hili shirika, wengi ni goigoi, wavivu, wasiokuwa na morale ya kuhakikisha shirika linajiendesha kwa faida. Fanya mabadiliko ya haraka ya uongozi hapa Dodoma, jiji linakuwa kwa kasi huku proportion ya middle class ikipanuka kwa kasi sana, watu hawa wanahitaji hii huduma, weka watendaji watakaoweza kuendana nah ii kasi ya ukuaji wa Jiji.

Ni mimi muhitaji wa huduma ya T-fiber, ambae nina miezi mitatu karibu na nusu tangia nimeomba kuunganishiwa huduma bila mafanikio. Nimepigia simu wahusika mara kadhaa nimekuwa nikipewa ahadi, mara vifaa vimeisha, mara vimekuja lakini kwa sasa hatuna ratiba ya kuunganisha huko unakoishi.

Naomba niseme kwamba, nikirudi tena kutoa taarifa hapa, nitataja majina ya watumishi wote ambao kwa nyakati tofauti tofauti nimekuwa nikiwaomba waniunganishie huduma lakini wamekuwa wakinipa majibu ya kukatisha tamaa.
Hawa toka wameze ndoano ya Mo hadi leo bado imewakwama kooni. Wameshindwa kabisa kujikwamua pamoja na Serikali kuwapa mkongo wa bure.
 
NAPE,NAPE,NAPE.MAMA SAMIA NI LINI MTAIWEZESHA TTCL KUEPUKA AIBU HII
Hiyo hata iwezeshwe vupi kwakuwa watu wanajua mwisho wa mwezi hakuna longolongo watalupwa tu hakutakuwa na ufanisi labda waamue vinginevyo.
 
Back
Top Bottom