Serikali Umivu ya Kishetani

Serikali Umivu ya Kishetani

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
11,186
Reaction score
22,819
Ni ya kinyonyaji ya kishetani. Inayoiba mali za umma kunufaisha watu wachache. Yeye mwenyewe kiongozi mwenyewe hana hili wala lile anapuyanga tu huku na kule.

kama zumbukuku ulimwengu upo huku. Watu wanachota tu fedha za maskini. Wenye mabakuli haya, wenye vijiko haya, wenye mabeseni haya, wenye masinia haya.

Chama Cha Mambuzi. Kila MBUZI ALE KWA UREFU WA KAMBA YAKE.
 
Ninafikiri hii ni shida ya nchi nyingi za Afrika na siyo nchi yetu tu. Ninawaza tu hata kama chama kingine kitaingia madarakani yatakuwa yaleyale. Kunatakiwa kufanyike maamuzi magumu ili kuokoa pesa za umma kama walivyofanya china kwamba ukiiba unakula shaba. Kwa jinsi hii ya kubembeleza hatufiki mbali bali ni wachache tu watakaoendelea kufaidi.
 
Kabisa haya mahujumu uchumi , mafisadi yawe yanauliwa tu maana nayo yanaua maskini na kufisadi pesa zao za kodi.
 
Ninafikiri hii ni shida ya nchi nyingi za Afrika na siyo nchi yetu tu. Ninawaza tu hata kama chama kingine kitaingia madarakani yatakuwa yaleyale. Kunatakiwa kufanyike maamuzi magumu ili kuokoa pesa za umma kama walivyofanya china kwamba ukiiba unakula shaba. Kwa jinsi hii ya kubembeleza hatufiki mbali bali ni wachache tu watakaoendelea kufaidi.
Kabisa haya mahujumu uchumi , mafisadi yawe yanauliwa tu maana nayo yanaua maskini na kufisadi pesa zao za kod8
 
Uizi umekuwepo awamu zote chini ya CCM, labda inatofautiana kiwango tu
 
Ni ya kinyonyaji ya kishetani. Inayoiba mali za umma kunufaisha watu wachache. Yeye mwenyewe kiongozi mwenyewe hana hili wala lile anapuyanga tu huku na kule.

kama zumbukuku ulimwengu upo huku. Watu wanachota tu fedha za maskini. Wenye mabakuli haya, wenye vijiko haya, wenye mabeseni haya, wenye masinia haya.

Chama Cha Mambuzi. Kila MBUZI ALE KWA UREFU WA KAMBA YAKE.
Duh ...!.
P
 
Hahahaa ila watanzania bwana, serikali ya jiwe mlisema nayo ya kishetani , inatupa watu coco beach kwenye mifuko ya sandarusi, na hii nayo ya kishetani?
 
Kodi kubwa kwenye miamala ya simu,benki ina fanya watu wasiweke hela simu,benki. Watu watatembea na hela mitaani. Nakuficha ardhini. Hivyo kusababishwa ongezeko, upgrading,wiki,ukabaji,kuongeza vibaka na magenge ya kihuni.naomba serikali ifute kodi za miamala
 
Back
Top Bottom